Kömbe is a kind of börek from [[Sivas, Malatya Province Turkey. It exists in both the cuisine of Turkey and that of Azerbaijan and is popular among both Turkish and Azerbaijani people.
Mkiona Nahodha wa Yanga SC Bakari Nondo Mwamnyeto Siku hiyo akiomba Waanze Wao Kuanzisha Mpira na waanzie Goli la Kusini na Mchezaji wao Aziz K au Fiston Mayele au Kenmeth Musonda Refa akipuliza tu Filimbi Mechi kuanza wakiupiga mpira upande wa Kulia wa Uwanja kutokea Goli la Kusini...
Kama Jibu ni ndiyo basi kuna Watu Medali pekee watakazorudi nazo nchini Tanzania ni Tiketi zao tu za Ndege ya Msaada waliyopewa na Kuipanda.
Kudadadeki....!!
Makolo msimu huu wanatia huruma sana. Leo wanafurahi lakini kila siku humu wanasema hilo ni kombe la looser. Sasa kama ni kombe la looser, hiyo furaha inatoka wapi?
Wengine walipoona Yanga ametinga fainali, wakaanza kuipongeza ila sio kwa kupenda bali kwa kuumia na leo tumewajua.
Niwaulize tu...
Hiki ndio kinakwenda kutokea huko ugenini tarehe 03/06/2023. Yanga ushindi ni popote ugenini au nyumbani. Waarabu hawataamini kama ilivyotokea kwa wale Waarabu wa Tunisia.
Goli moja walilopata Yanga ndio itakuwa chachu kwa Yanga na ndio litawapa nguvu ya kupambana tofauti na kama wangefungwa...
Nahodha na beki wa timu ya Taifa ya Nigeria U20 inayoshiriki World Cup ya U20 huko Argentina, kinda mwenye miaka 17, Daniel Kolocho Bameyi imebainika kuwa alidanganya.
Imezoeleka wachezaji wengi wa Kiafrika wanadanganya umri, lakini kwa Bameyi imekuwa tofauti kabisa.
Bameyi katika taarifa...
shalom shalom
Tusipangiane ipi timu ya kuishabikia, suala la uzalendo halipo kwangu.
Natanguliza salamu za heri kwa timu ya USM Alger katika mbungi itakayopigwa hapo kesho.Kila la heri katika kulisaka taji la kombe la shirikisho hapo kesho.
Tunawapongeza Yanga kwa hatua hii mliofikia hakika ni kubwa sana kwenu na kwa nchi kwa ujumla.
Kwa mazingira ya mechi yalivyo USM ni bingwa. Najua mtapinga ila huo ndio ukweli hata nyie mnajua, na ndio maana mmeshaanza kuhangaika kwa waganga ili wawasaidie mmeshachelewa.
Shalom shalom
Hekoheko marafiki na mashabiki wa klabu ya Union Sportive de la Médina d'Alger maarufu kama USM Alger au USMA. Mara baada ya kuibamiza klabu ya Asec mimosas hapo jana jijini Algers nchini Algeria kwa kichapo kizito cha mabao mawili bila ya majibu ,tunarejea tena kuwawinda underdog...
Kampiga na kumtoa nje ya michuano Mwarabu (Club Africain), hakuna timu Tanzania imewahi kumfunga Mwarabu akiwa kwenye ardhi ya nyumbani kwake ndani ya dk. 90!
Kampiga Rivers nyumbani kwake ambapo alikuwa hajawai kufungwa tokea 2021 kwenye uwanja wake wa nyumbani, tukumbuke na Whydad Casablanca...
Mchambuzi nguli mwenye kujua vizuri kiingereza Goeff Leah kutoka sports headquarters Efm amesema ana uhakika Marumo atashinda tena goli kuanzia 3-0 na Yanga hatofuzu na hivyo ndoto za ubingwa zitaishia hapo.
Mimi kama mjumbe siuwawi, njooni mtoe ya moyoni, mtiririke na kuserereka
Sisi wanasimba furaha yetu tulishazimaliza na kuwapongeza kwa mafanikio yetu ya msimu huu baada ya timu kutoka Morocco. Sisi kauli ni ile ile hatuwadai benchi la ufundi, hatuwadai wachezaji na hatuwadai viongozi hakika malengo yetu ya msimu tumefanikiwa. Tuna kombe la robo fainali, kombe la kufa...
“Pongezi kwa Klabu ya Yanga kwa kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup), na kila la kheri katika maandalizi mliyoanza sasa kwa mchezo ujao. Mmeandika historia jalili. Mmetuheshimisha sana. Hamasa yangu inaendelea, na sasa imeongezeka. Kaifanyeni kazi.”
Yanga baada ya kuonekana anaenda semi final simba wakatoka huko waliko wakasema washawahi cheza fainal ya Confederation Cup inachekeshesha sana.
Hivi niulize nani anauzi au ana taarfa inayosema simba ishacheza Fainali iliyosemwa almost 2 months ago au hata mwezi mmoja uliopita kama kuna taarfa...
Kwema Wakuu,
Kuna haya Makombe mawili ya Africa baadhi ya Watu wanayachanganya. Yaani wanashindwa kujua value ya Kombe flani kwa level fulan ni ipi.
Sasa hapa natumia common measurement ya value in term of zawadi watakazopata washiriki kulinganisha Ili ujue Timu yako iko katika thamani ipi.
Hii timu kwa msimu huu imezidi kuwa tishio kwenye CAF champions league.
Uwanjani wanakupa kila unachokitaka, mpira mzuri, umiliki wa mpira, magoli mazuri na matokeo mazuri. Naweza kusema wamekamilika mpaka sasa kwa michezo ambayo tumeshaishuhudia ndani ya Ligi ya mabingwa Afrika.
Nnawiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.