kombe

Kömbe is a kind of börek from [[Sivas, Malatya Province Turkey. It exists in both the cuisine of Turkey and that of Azerbaijan and is popular among both Turkish and Azerbaijani people.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Yanga yaingia mkataba na kampuni ya vifaa vya umeme ya HAIER

    Itaidhamini katika mashindano ya kombe la shirikisho ambayo klabu ya yanga inashiiriki Mkataba huo wenye thamani ya shilingi bilioni moja na millioni Mia tano utaisaidia yanga katika mashindano hayo Jezi za yanga za shirikisho zenye nembo ya haier zitauzwa sh 50,000
  2. NetMaster

    Nakazia: Kombe hili mshindi atakuwa Simba, Yanga atapoteza mechi 2 na Simba atashinda zote zilizobaki

    Mechi 2 za mwisho atazocheza Yanga kule Mbeya dhidi ya Prisons na Mbeya city kuna moja ataangusha points zote. Siku ya Derby kuna maajabu yake, Believe that!!
  3. xxtycoon

    Usiku wa kisasi wa Arsenal na Hatua moja kuchukua kombe ligi kuu

    Ukiachana na timu zote kuwa vizuri hivi karibu, kwenye mechi ya leo itakuwa ngumu kidogo ila wanangu wa Arsenal tutashinda sababu tukifungwa tena ni dharau 😂😂 na hatuwezi kufungwa kwa sababu kombe tunalitaka na hatumtaki Manchester United kwenye top four 🔫 THE GUNNERS
  4. Christopher Wallace

    Chelsea leo wanaanza ligi baada ya Kombe la Dunia, Fulham atakufa nyingi

    Wakali wa London, Chelsea leo wanaanza likizo baada ya likizo ya Kombe la Dunia. Ni mchezo wa derby ya London ya Magharibi, Fulham Vs Chelsea. Baada ya kipindi cha muda mrefu Chelsea kupitia magumu kwa kutokupata matokeo mazuri leo Fulham atakufa goli 3. Wale mashabiki wa timu nyingine...
  5. kavulata

    Tanzania iwe na ligi moja, Kombe la Mapinduzi ni mzigo kwa timu

    Tanzania tunatafuta vitu vya kusaidia kudumisha muungano wetu kila siku. Hakuna haja Wala faida ya muungano kwa Tanganyika na Zanzibar kuwa na ligi mbili tofauti. Hata kule Spain Barcelona ni timu ya visiwani lakini Iko kwenye ligi ya Spain. Mashindano ya mapinduzi cup Yana lengo la kudumisha...
  6. Pang Fung Mi

    Yanga wanarudi lini na kombe la mapinduzi?

    Asanteni wana yanga Kwa Dua zenu mrudi na kombe lenu hio kesho, yanga Mbele Daima nyuma tuwaachie Singida BS.
  7. Mcanada

    Walichokifanya Simba Sc kwenye Mechi ya Mlandege ni wazi wameamua kulipuuza Kombe la Mapinduzi na kuamua kujitoa kimkakati

    Habari wanajukwaa wa JF, Naamini mwaendelea vyema kabisa huko bongo. Mimi ndugu yenu nipo hapa Canada baridi ni kali kweli kweli ila wakati huu ambao nimepumzika hapa na mchepuko wangu wa kizungu (maana mkewangu kaja huko Tanzania kusalimia wazee) nimeona nishee jambo kidogo kuhusu mambo ya...
  8. Mohamed Said

    Kwaheri Pele: Kumbukumbu Yangu ya Kombe la Dunia 1966

    KWAHERI PELE: KUMBUKUMBU YANGU KOMBE LA DUNIA 1966 Kombe la Dunia mwaka wa 1966 nilikiuwa na miaka 14 kwa umri huu niliweza kutambua kuwa kulikuwa na mashindano makubwa Uingereza. Hivi ndivyo nilivyokuja kumjua Pele. Mwalimu Mkuu wa Kinondoni Primary School Mr. Reveta alikuwa akija darasani...
  9. Sol de Mayo

    Kwa mujibu wa kura za BBC, kombe la dunia 2022 ndio kombe lenye mvuto zaidi

  10. Dj Aiman

    Je, CHRISTIANO RONALDO ananafasi ya kuchukua KOMBE LA DUNIA kupitia kwa mtoto wake CRISTIANO RONALDO JR?

    Baada ya kumalizika kwa Kombe la dunia nchini Quatar 2022, Baadhi ya mashabiki wa Christiano Ronaldo wamevunjika moyo sana nakuona kama ndoto za mchezaji huyo maarufu Duniani wa Ureno za kutwaa kombe la dunia zimeishia hapo kwani kwasasa anaumri wa miaka 37 hivyo itamuwiya vigumu kushiriki kombe...
  11. JanguKamaJangu

    FIFA kuchunguza kitendo cha mpishi Salt Bae kushika Kombe la Dunia

    Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) limefikia maamuzi hayo baada ya mpishi huyo maarufu wa nyama kuingia uwanjani baada ya mchezo wa fainali kujumuika na wachezaji wa Argentina kushangilia ushindi na kulishika kombe kwenye Uwanja wa Lusail, Desemba 18, 2022. Sheria za FIFA zinatamka kuwa...
  12. JanguKamaJangu

    Picha ya Messi akibeba Kombe la Dunia 2022 yaweka rekodi kwenye Social Media zote

    Picha hiyo ya Lionel Messi aliyoposti kwenye ukurasa wake wa Instagram saa kadhaa baada ya timu yake ya Argentina kutwaa taji hilo, imeweka rekodi ya kuwa picha yenye ‘likes’ nyingi katika mitandao ya kijamii yote kwa jumla kuwahi kutokea. Picha hiyo ina likes milioni 67.5 imeivunja rekodi ya...
  13. mdukuzi

    Tulioangalia Kombe la Dunia mwaka 1986 nyumbani kwa Sheikh Yahya Magomeni tukutane hapa

    Huu uzi kuna watu watapita kama hawaoni maana wengi mwaka huo walikuwa viunoni mwa wazazi wao, wengine mlikuwa Sitimbi huko hamjui hata video ni mdudu gani. Mwaka 1986 kulikuwa na fainali za Kombe la Dunia nchini Mexico, Germany Magharibi anapigwa 3-2 na Argentina, Argentina anachukua ubingwa...
  14. technically

    Kikosi Bora cha Kombe la Dunia

    Duh! Messi anapangwa namba 9 toka lini messi akacheza namba 9 hiki kikosi hapana.
  15. J

    Hatimaye Rais wa FIFA akiri, ataja sababu ya Argentina kushinda kombe la Dunia

    Kwa Tafsiri ya Kiswahili ni " Ingekuwa sio haki Kama Messi angestaafu bila kushinda kombe la Dunia" Kumbuka na Hawa walishatabiri Argentina itabeba kombe baada ya kuona Mambo yalivyokuwa yakienda
  16. N

    Kombe la dunia lakuza uchumi wa Tanzania

    Kama tunakumbuka vizuri Rais Samia Suluhu alifanya ziara ya kikazi nchini Qatar na akafanikiwa kudumisha mahusiano mazuri ya kibiashara (Diplomasia ya uchumi) baada ya ziara hiyo Tanzania tumenufaika zaidi katika biashara mbalimbali ikiwemo ya uuzaji nyama katika nchi hiyo ya kiarabu...
  17. BARD AI

    Ushindi wa Kombe la Dunia wabadili mpango wa Messi kustaafu

    Siku chache baaa ya kuiambia BBC kuwa Michuano ya Kombe la Dunia 2022 itakuwa ya mwisho kwake, Nyota Lionel Messi amebadili uamuzi huo na kueleza kuwa ataendelea kucheza kama Mchezaji wa Mabingwa wa Dunia. Messi mwenye miaka 35 ameshinda Mpira wa Dhahabu na kuwa Mchezaji Bora wa Kombe la Dunia...
  18. Execute

    Timu inayochukua Kombe la Dunia ni lazima iwe na wachezaji hawa

    Kombe la dunia limefikia tamati. Ilikuwa rahisi kukisia matokeo ya mechi nyingi na kuona timu ambazo hazitafika mbali. Ili timu yoyote ibebe kombe la dunia ni lazima wachezaji hawa wawepo: 1. Mchezaji anayeweza kubadilisha matokeo wakati wowote 2022 Argentina - Messi 2018 France - Mbappe 2014...
  19. THE FIRST BORN

    Mambo Matano (5) ya kusisimua ambayo unatakiwa kuyafahamu kuelekea Fainali ya Kombe la Dunia hii leo

    Leo majira ya saa 12 jion kwa saa za Afrika Mashariki kutakua na tukio la kidunia pale Nchini Qatar. Mchezo wa leo utapigwa katika Dimba la Lusail. Match itakua baina ya Miamba ya Ulaya France dhidi ya Miamba ya Amerika kusini Argentina. Katika kuelekea Fainali hii yafuatayo ni mambo 5 Ya...
  20. kavulata

    Tunaishukuru TBC kuonesha Kombe la Dunia 2022, lakini kulikuwa na mapungufu mengi

    TBC ni chombo umma wa watanzania kinachoendeshwa kwa Kodi za watanzania wote. Ninamshukuru waziri mwenye dhamana ya michezo, waziri wa habari na mawasiliano na Mkurugenzi wa TBC kwa kuwafikiria matajiri wao (walipa Kodi) kuwaletea matangazo ya moja kwa moja kutoka Qatar, ahsanteni sana kwa...
Back
Top Bottom