kombe

Kömbe is a kind of börek from [[Sivas, Malatya Province Turkey. It exists in both the cuisine of Turkey and that of Azerbaijan and is popular among both Turkish and Azerbaijani people.

View More On Wikipedia.org
  1. THE FIRST BORN

    Je, Messi akikosa Kombe La Dunia Atakua Juu ya Cristiano Ronaldo?

    Habarani Wapenda Michezo. Naomba niseme mapema mimi ni shabiki wa Ronaldo the Boy from Madeira CR7 shabiki Kufakufa. Hio haimanishi siwez kusema mazuri ya Messi NO, MESSI is so F*ck*ng Talented Kabisa. Nirud kwenye Mada. Leo ndio ndio ile siku Maalum. Macho Mengi yapo kwa Messi. Dua Nyingi...
  2. Dalton elijah

    Kombe la dunia kwa ngazi ya vilabu kuanza mwaka 2025

    OFFICIAL: Rais wa Shirikisho la soka Duniani FIFA Bwana Gianni Infantino amethibitisha kuwa mfumo mpya wa kombe la dunia kwa upande wa vilabu utaanza mwaka 2025. Mfumo huo utakuwa na timu 32 na utaendeshwa kama Kombe la Dunia la ngazi ya timu za Taifa. Umepokeaje? #FIFAWorldCup
  3. Dalton elijah

    Kombe la Dunia kwa Ngazi ya Vilabu kuanza mwaka 2025

    OFFICIAL: Rais wa Shirikisho la soka Duniani FIFA Bwana Gianni Infantino amethibitisha kuwa mfumo mpya wa Kombe la Dunia kwa upande wa vilabu utaanza mwaka 2025. Mfumo huo utakuwa na timu 32 na utaendeshwa kama Kombe la Dunia la ngazi ya timu za Taifa. Umepokeaje? #FIFAWorldCup
  4. J

    Tazama upendeleo wa wazi anaofanyiwa Messi kwenye Kombe la Dunia

    Kwenye mechi dhidi ya Croatia Messi mliona alivyopiga chenga na na kutoa pasi nzuri iliyozaa goli la 3. Ilikuwa pasi nzuri na ni kweli ilionyesha Messi ni mmoja wa wachezaji bora zaidi duniani Basi mitandao ilichafuka kwa sifa kuhusu alivyocheza Messi dhidi ya Croatia Lakini jana kwenye...
  5. Dong Jin

    Je, utabiri wa Pep Guadiola kuhusu mshindi wa Kombe la Dunia utaenda kutimia hapo Jumapili?

    Mnamo Oktoba Julian Alvarez alipohojiwa na waandishi wa habari, alisema: "Wachezaji wa Ureno na Rodri walikuwa wakizungumza kuhusu nani angeweza kushinda Kombe la Dunia. Walikuwa wakisema Ureno, Ufaransa, na mataifa mengine ya Ulaya. Kisha Pep [Guardiola] akasema, 'unajua nani ana nafasi nzuri...
  6. MK254

    Mfalme wa Saudi Arabia ashukuru Morocco kwa kuwawakilisha waarabu kwenye kombe la dunia

    Juzi mchezaji wa Morocco alisema ushindi wa Morocco ni kwa ajili ya waarabu na nchi za kiislamu, naye mfalme wa Arabia ameshukuru Morocco kwa kuwaakilisha waarabu vyema.... Waafrika tuache makelele haya mambo hayatuhusu, hata maustadhi waarabu wa Bongo ambao hupenda kushobokea waarabu asili...
  7. BARD AI

    Mzaha mzaha mara Morocco Bingwa Kombe la Dunia, nyie wachukulieni poa tu!

    Wiki iliyopita Morocco waliotengeneza historia ya kuwa Taifa la kwanza Afrika kuingia nusu fainali ya Kombe la Dunia. Hatua hiyo imeifanya Simba wa Atlas kutengeneza historia ya soka lakini sasa inaisubiri Ufaransa katika nusu fainali. Morocco wamebakisha mechi mbili tu kunyakua kombe la dunia...
  8. J

    Nilibisha sasa nimeamini, FIFA wanataka Messi ashinde hili Kombe la Dunia

    Imesemwa na wachezaji wa Ureno na wachambuzi wengi kuhusu Argentina kupendelewa, nikabisha. Yaani hadi sasa Messi ana magoli 5, na 4 kati yake ni penalti! Argentina wamepewa penati nyingine yenye utata tena leo, tena baada ya Croatia kunyimwa kona ya wazi. Hii sio mara ya kwanza Agentina...
  9. BARD AI

    Maajabu ya Croatia kutoka kwenye Vita ya Umwagaji Damu hadi Kombe la Dunia

    Panama, Mauritania, Georgia na Eritrea ni nchi nne zenye takribani saizi sawa za watu wa Kroatia. Mataifa hayo manne yanashiriki mechi moja ya Kombe la Dunia baina yao na hiyo ilikuwa wakati Panama ilipocheza Urusi 2018, ikimaliza hatua ya makundi kwa vipigo vitatu na kuruhusu mabao 11. Asili...
  10. Execute

    Messi anaenda kufunga 'hattrick' yake ya kwanza Kombe la Dunia katika mchezo dhidi ya Croatia

    Mwaka 1958 Pele alifunga hattrick kwenye nusu fainali na akaja kufunga mawili kwenye fainali. Siku ya leo rekodi hiyo inaenda kufikiwa na Messi maana atafunga magoli matatu. Vamos Argentina.
  11. Nsumba ntale tz

    Timu Morocco ndiyo itakuwa bigwa wa kombe la dunia 2022

    Kwa mara ya kwanza tangu kombe la dunia lianzishwe timu kutoka bara la afrika inaenda kutwaa kombe hilo, wengi hawaifikiri na bado hwaidhanii kuwa timu ya Morocco itaweza hata kuingia fainali lakini ni ukweli usiyo na shaka yoyote kuwa kombe hilo linaenda Afrika kwa mara ya kwanya. Subscribe uzi...
  12. BlackPanther

    Hili ndilo Kombe la Dunia bora kwangu kuanzia mwaka 1998 mpaka 2022

    Katika mashindano yote niliyoshuhudia, from 1998-2022, basi hili ndio shindano bora kwangu(2022), sio tu shindano, bali na muandaaji mwenyewe QATAR na tamaduni zake nimezifurahia sana sana, wengine walijaribu kubip suala la ushoga wakagonga mwamba.. hongereni sana wana-QATAR, hakika mmewaweza...
  13. A

    Morocco ndiye Bingwa Kombe la Dunia (TV kienyeji)

    Kwa niaba ya Wa-Morocco weusi hapa Ikwiriri nafurahi kuwatangazia hadhara hii ya hapa Tungekinya kuwa Morocco Hana mpinzani. Na ndiie Bingwa Kombe la dunia 2022 toka ardhi takatifu Al Arabiya Qatari. Source:TV Kienyeji.
  14. Execute

    Ufaransa atafunga magoli manne katika mchezo wa nusu fainali ya kombe la dunia kati yake na Morocco

    Mwaka 2004 ugiriki walibeba kombe la mataifa ya ulaya wakati haikutarajiwa. Walikuwa wanafunga goli halafu wanarudi nyuma na kupaki basi. Hapakuwa na burudani kwasababu timu moja ndio ilikuwa inacheza peke yake huku nyingine ikizuia. Morocco naona wameanza vizuri kwa kufuata mfumo kama ule...
  15. Mcanada

    Unabii: Kombe la dunia 2022 litachukuliwa na Morocco

    Habari wadau wa jukwaa kubwa la JF, Nikiwa katika harakati zangu za kujiandaa na krismasi hapa canada nimejikuta nikisisimka na mwenendo wa mechi za kombe la dunia na baada ya kujiridhisha na hesabu zangu za kimwili pamoja na kupima ulimwengu wa roho nimejiridhisha pasi na shaka kwamba hili...
  16. N

    Kuona kombe la Dunia kupitia TBC1 katika king'amuzi cha Antena cha Azam

    Habari wajumbe, Naomba kujuzwa kama wanaomiliki ving'amuzi vya Azam vya Antena , wanaweza kuona mechi kadhaa zinazorushwa na TBC1 za Kombe la Dunia. maana nimekuwa nikisikia taarifa zinazokinzana, kuna wale wanaosema , unaweza ukaona na wengine wanasema Azam wanablock TBC1 wakati wa mechi...
  17. Execute

    Ningekuwa kocha wa Brazil ningechukua kombe la dunia mapema asubuhi

    Wachezaji ambao nisingewaita ni kama Neymar, Paqueta, Richarlison, Fred, Raphinha na Anthony. World cup sio kwa ajili ya mabishoo na wavivu. Ningembadilisha Martinelli ili acheze winga ya kulia, kushoto angekaa Vinicious halafu namba tisa angesimama Firmino huku namba kumi ningempa Gabriel...
  18. Page 94

    England National Football Team (Three Lions), Special Thread

    Huu uzi ni mahususi kwa ajili ya matukio yote yanayoihusu timu ya mpira wa Miguu ya Uingereza. Timu hii inajulikana kwa jina la Utani la Three Lions, yaani Simba Watatu. Jina hili limechochewa zaidi na nembo ya timu hiyo yenye alama ya Simba watatu (tazama picha) Timu hii ipo chini ya...
  19. Execute

    Mechi ya Fainali Kombe la Dunia Qatar 2022 itakuwa kati ya Ufaransa na Argentina

    Baada ya kuziangalia timu zote kwenye mechi zilizowapeleka robo fainali, imekuwa dhahiri kwangu kwamba fainali itakuwa kati ya timu hizo. Brazil anaweza kumtoa Croatia ingawa sitarajii iwe hivyo. Argentina atamtoa Uholanzi kisha ataenda na kumtoa Brazil/Croatia kwenye nusu fainali Ureno...
  20. vibertz

    Kombe la Dunia na maigizo

    Ni kama vile timu kubwa zinawekewa vipaumbele kwa kila namna zipate kufuzu hatua zinazofuata. Mechi ya Senegal dhidi ya Uingereza, kabla hata Uingereza kupata goli kulikuwa na tukio la wazi la mchezaji wa Senegal kuchezewa foul ndani ya 18 lakini mwamuzi na watu wa V.A.R wakamezea. Jana pia...
Back
Top Bottom