kombe

Kömbe is a kind of börek from [[Sivas, Malatya Province Turkey. It exists in both the cuisine of Turkey and that of Azerbaijan and is popular among both Turkish and Azerbaijani people.

View More On Wikipedia.org
  1. Jidu La Mabambasi

    Ushoga wa Ulaya na Marekani unataka kuharibu mustakabali wa Kombe la Dunia

    Sasa ni wazi. Nchi za Ulaya na Marekani wana nia rasmi ya kueneza USHOGA dunia nzima. Sina lugha nyepesi zaidi ya kusema huu ni USHENZI ambao dunia huru haiwezi kuukubali. Hakuna dini inaruhusu suala la ushoga, si Uislamu au Ukriso. Wameamua kuifanya Qatar kuwa mfano wa kulazimisha ushenzi...
  2. BARD AI

    Saeed Abdullah Bakhresa, Mtanzania aliyejenga uwanja wa Lusail Qatar unaotumika Kombe la Dunia

    Jina la Saeed Abdullah Bakhresa litaibuka kila wakati Uwanja wa Lusail wenye uwezo wa kuchukua watu 80,000 huko Doha, ambao ni uwanja mkuu, ukitajwa. Mhandisi Bakhresa, mmoja wa wafanyakazi wengi wasio wazawa wa Qatar walioajiriwa ili kutoa kile kilichoonekana kama kazi isiyowezekana kwa wakati...
  3. BARD AI

    Simu zapigwa marufuku Magerezani Uganda wakati wa Kombe la Dunia

    Agizo hilo limewataka Wafanyakazi wa Magereza kutotumia 'Smartphone' muda wote wakiwa kazini kwa maelezo kuwa Wafungwa wanaweza kutumia msisimko wa Soka kutoroka. Msemaji wa Magereza Frank Baine amesema "Wafanyakazi wote hawatakiwi kuripoti kazini na Simu kwa sababu zinavuruga umakini na...
  4. The Burning Spear

    Ndugu Nape Nnauye umeona kombe la dunia ndiyo kipaumbele kuliko matatizo mengine?

    Ewe bwana mdogo nape, nimeiona kauli Yako juu ya malalamiko ya watu juu ya uonyeshwaji wa kombe la dunia Sasa wakati tunalalamika na vifurushi Kwa Zaidi ya mwaka mzima hujatoka hadharani kukemea. Msitufanye kama watoto wadogo, kutupa makopo tuchezee huku mnapiga madili. Acheni kabisa hizo...
  5. NetMaster

    Ukristo uliomezwa na utandawazi, kuna mengi ya kujifunza kwa Waislam wanaosimamia maadili kombe la dunia Qatar

    Ni vitu ambavyo hata kwenye biblia vimekatazwa lakini mataifa mengi ya kikristo kwa sasa yamemezwa na utandawazi, imehakuwa kawaida sasa kiogozi mkubwa wa kikristo anatoa ushirikiano badala ya kukemea vitendo kama mapenzi ya jinsia moja, huko makanisani nako ishakwa kawaida wanawake kavaa nguo...
  6. 5

    Mrusi alituambia mara hii hakutakuwa na kombe la dunia imekuwaje tena?

    Ndivyo tulivyokuwa tunapeana habari baada ya timu ya Russia kuondolewa kwenye mashindano hayo kwa kosa la kuivamia Ukraine Kijeshi, kwamba rais Putin ametangaza kuwa hakutakuwa na kombe la dunia kwa vile timu yake imeondolewa ikitafsiriwa Urusi itapeleka mashambulizi huko Qatar ili shughuli za...
  7. BARD AI

    Je, Wajua Kombe halisi la Dunia liliibwa na halijawahi kupatikana?

    Machi 20, 1966 miezi 4 kabla ya Michuano, Kombe la Dunia liliibwa na kugunduliwa na mbwa wa upelelezi aitwaye Pickles siku 7 baadaye likiwa limefungwa kwenye gazeti huko London. Desemba 19, 1983 liliibwa tena na kusababisha Wanaume 4 kuhukumiwa kwa wizi bila ushahidi na Kombe hilo halijawahi...
  8. Execute

    Nawapongeza Senegal kwa Kufuzu Hatua ya 16 bora Kombe la Dunia 2022

    Baada ya kuwaona Ecuador na Qatar wakicheza hivi leo, ninaona Senegal tayari ameshapata point sita kutoka hizi timu mbili. Mane asihangaike na makundi, asubirie kupona vizuri ili acheze mechi ya mtoano. Ninaamini Senegal atapata sare na Uholanzi ambaye pia yupo kundi hilo.
  9. Ngongo

    Wakuu tunaomba matokeo kombe la Dunia- Huku kwetu hakuna umeme

    Wakuu heshima sana. Huku kwetu madongo kuinama hukuna umeme. Mitaa ya matejoo,Kambi ya Fisi,Matevesi,Olkeriani,Olkokola,Kaloleni,Ngarenaro,Daraja II,Mkonoo na vitongoji vingi hakuna umeme. Kwakuwa Sisi waTanzania tumejaa upendo,tunawaomba wale wote waliojaliwa kumiliki majenereta wasisite...
  10. amadala

    Tupia picha ukiwa unaangalia Kombe la Dunia

    cc: Stress Challenger
  11. BARD AI

    Michuano ya Kombe la Dunia 2022 imeanza rasmi leo

    Michuano itajumuisha Mechi 64 kutoka kwenye timu za Mataifa 32 duniani kote ambazo zinakutana katika taifa hilo lenye tamaduni za Kiarabu. Mechi ya ufunguzi inachezwa kati ya wenyeji Qatar dhidi ya Equador na michuano itadumu kwa jumla ya siku 28. Bara la Afrika linawakilishwa na timu za...
  12. REJESHO HURU

    Azam achieni chanel ya TBC Taifa watu waangalie kombe la dunia

    Ajabu sana CHANEL ya TBC TAIFA ni bure kwenye kisimbuzi cha azam ajabu mda huu wameanza uchambuzi azam wameifunga hiyo CHANEL ya TBC je hii ni halali hii fungeni CHANEL zote Hii inchi inachezewa sana
  13. M

    Msiangalie Kombe la dunia chukueni tahadhari

    Leo kombe la dunia linaanza. Nawatahadharisha msiangalie. Ni mbinu za shetani kupitia Freemason kuwaingiza mkenge. Chukueni hii tahadhari seriously kuepukana na sintomfaham siku ya kiyama. Pia Freemason wanawaingiza mkenge bila kujijua kupitia whatsapp, Twitter, paypal, mastercard, western...
  14. Teko Modise

    TANESCO tunaomba umeme usikatike kipindi hiki cha Kombe la Dunia

    Najua mpo humu tena ngoja niwatag TANESCO Poleni na majukumu makubwa sana ya kutukatia umeme kila uchwao, sasa mimi nikiwa kama mdau wa soka, kombe la dunia linaanza leo hivyo tunawaomba sana msitukatie umeme mkatunyimba burudani ya soka ambayo huja kila baada ya miaka minne. Kwakuwa TBC1...
  15. JanguKamaJangu

    Karim Benzema aumia, kukosa michuano ya Kombe la Dunia 2022

    Ndoto za mshindi huyo wa Tuzo ya Ballon d'Or 2022 kucheza michuano ya Kombe la Dunia inayofanyika Nchini Qatar imezimika baada ya kupata majeraha ya nyama za paja alipokuwa katika mazoezi ya timu ya taifa ya Ufaransa. Licha ya kuelezwa atakuwa nje ya uwanja wa wiki tatu, Benzema mwenyewe...
  16. MakinikiA

    Kwa mara ya kwanza kombe la dunia halitakuwa na mvuto, mimi MakinikiA sitaangalia

    On February 28, FIFA and UEFA, under recommendations from IOC, suspended Russia and Russian clubs from participating in the their competitions including the 2022 World Cup. Tulikubaliana siasa isiingie kwenye Mpira why now, mbona USA aliingia Iraq bila kibali cha UN . Wapumbavu sana wote...
  17. K

    UTABIRI: Ufaransa anatetea ubingwa wa Kombe la dunia

    Historia ipo ili ivunjwe Mpaka sasa hivi hakuna nchi yenye kikosi kipana na bora kama Mabingwa watetezi
  18. Teko Modise

    TBC: Kombe la Dunia tutaonesha Full HD

    Sie watazamaji yetu macho, ngoja tuone kama kutakuwa na ukweli au sound kama ilivyo desturi yao.
  19. Zanzibar-ASP

    UTABIRI: Argentina huenda ikatwaa Kombe la Dunia 2022 Qatar

    Mara kwa mara nimekuwa nikijizuia kuandika chochote hapa JF chenye ubashiri kwa woga wa kuonekana ni muongo au mzushi, lakini baadaye ule ubashiri wangu (niliobakia nao akilini) kwa sehemu kubwa umekuwa ukitokea! Na kwa kuwa JF ndio umekuwa mtandao wenye kueleweka au kuaminika zaidi hapa...
  20. Championship

    Nimefika salama Qatar kutokea Thailand kwa ajili ya kuangalia mechi za kombe la dunia

    Nilipanga mwaka huu niwepo viwanjani live na nimefanikiwa kufika Qatar. Ilibakia kidogo sana nikose maana moja ya client wetu alipata changamoto ya mifumo kule Bangkok na ikabidi nisafiri wiki hii kuweka mambo sawa. Miaka yote kwenye kombe la dunia huwa nazipenda Ufaransa, Ujerumani na Italia...
Back
Top Bottom