Kömbe is a kind of börek from [[Sivas, Malatya Province Turkey. It exists in both the cuisine of Turkey and that of Azerbaijan and is popular among both Turkish and Azerbaijani people.
Mabadiliko mema kabisa kwa mwanahabari wakati Brazil inapata kipigo kikubwa kilichowahuzunisha si Brazil bali wapenda soka wote duniani.
Video clip inajieleza.
=======
Rais Samia akipokea Kombe
Ndungu Waalikwa mabibi na mabwana, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Kazi iendelee,
Leo tunafurahi, sana na tunasherehekea kuliona kombe la Dunia, ambalo limepita hapa kwetu kabla ya kwenda Qatar, Pia tunafurahoi kuwaona wageni waliokuja nalo, pia kumuona...
Amini usiamini nchi nzima hii haina bus yale kama yanayotumika nchi zilizoendelea kufanya city guiding tourism , yaani huku team ikishinda ni wachezaji na benchi la ufundi ni kupakizwa kwenye ma fuso au tandam, Godamn it
Natoa rai kwamba msogee hapo zambia tu mkakodishe hili bus ndugu zangu...
Habari!
Haya ni maoni yangu baada ya kufanya uchambuzi mfupi.
Huyu jamaa Haji Manara huenda nyota ya mafanikio iko mikononi mwake au kuna siri muhimu juu ya mpira wa miguu Tanzania anazijua ndizo zinazompa nguvu ya ushindi.
Imagine Yanga tuliburizwa na Simba sports miaka kadhaa tukiachwa na...
wasalaam wadau. napenda kujua Kama chama ataruhusiwa kucheza shirikisho caf kuanzia robo fainali maana napata mkanganyiko kuna wanaosema atacheza wengine wanasema hachezi
Rekodi hii imenitisha, mpaka utumbo umecheza kwa zile beki zile ambazo hazijui kuruka mipira ya krosi kuna maafa makubwa sana. Naiona balaa kubwa sana, yajayo hayafurahishi
Atacheza na Orlando Pirates, mechi moja Dar na nyingine South Afrika.
Then atarudi kutafuta nafasi ya pili katika Ligi Kuu maana ya Yanga hili Kombe mwaka huu ni letu. Hilo halina mpinzani.
Nasema hivi. SIMBA HAWAVUKI ORLANDO PIRATES. PIGA UA. HILI WATAALAMU WAMELIFANYIA KAZI MAPEMA. Ile match...
Yule refa aliyechezesha mechi ya RS Berkane vs simba jijini DSM aitwaye Joseph Nadala wa Congo amekuwa miongoni mwa marefa nane kutoka Afrika watakaochezesha Kombe la Dunia.
Ni habari mbaya kwa makanjanja yaliyoskitishwa na ushindi wa Simba kwa kudai goli la sakho lilikuwa offside
Pia...
Ikiwa imesalia miezi michache kwa kombe la Dunia mwaka 2022 kuanza, leo hii itafanyika Droo ya hatua ya makundi ya michuano hiyo mjini Doha. Droo hiyo itafanyika katika Kituo cha Maonyesho na Mikutano cha Doha, huku washindi wa zamani wa Kombe la Dunia kama vile Cafu na Lothar Matthaeus wakiwa...
Kwakweli kitendo cha Simba kupigwa na kuruhusu migoli mingi ugenini tunaomba kisiwe endelevu... et kwa kutegemea mechi za nyumbani utashinda.
Wanapofanya hivyo kwa stage ya makundi haina noma... ila kwa upande wa robo fainali na nusu fainali litabia hili likiendelea kuingia nusu fainali ni...
1. Geita gold
2.Kagera sugar
3.Simba
4.Young Africans sc
5. Pamba fc
6. Coastal union
7.Polisi Tanzania
8.Azam fc
Unatamani timu gani zikutane? Mimi natamani tukutane na watoto wa rose mhando
Dhamira ya mchezaji sakho kwa kipa wa Azam haikuwa Safi. Kama kigonya asingejilinda kwa mguu wake huenda Leo hii angekuwa Yuko mortuary. Speed ya sakho kuelekea kwa kipa ilikuwa kubwa sana hata pale alipoona kipa ameshaudaka mpira.
Alidhamiria kwenda kugongana na kipa hata kama mpira uko...
Ile haki bin haki inayofanywa na waamuzi wa Zanzibar kwenye kombe la mapinduzi ndio inayokosekaana kwenye ligi ya Bara. Kama refa angetoka Bara Yanga na Simba zingepata matokeo mazuri sana dhidi ya timu ndogo za Zanzibar kwenye mashindano ya mapinduzi.
Mungu awalaani waamuzi na watu wote...
TFF Hamuiwezi Simba wala Yanga nchi hii,
Hapa yenyewe mnasubiri viingilio hivi mpige pesa!
Bila simba na Yanga nchi hii mtakufa njaa nyie..
Oneni mpaka viingilio mnapanga ninyi..
Yanga waligomea Twiga mwekundu,
Mwaka huu huu game iliahirishwa na mpaka leo Sio simba wala Yanga aliyewajibishwa...
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa, amesema Tanzania ipo tayari kuwa mwenyeji Kombe la Dunia kwa soka la watu wenye ulemavu (WAF) baada ya kumalizika inayofanyika Oktoba, 2022 nchini Uturuki.
Tanzania ni moja ya nchi iliyofunvu kushiriki Kombe la Dunia, 2022 kupitia timu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.