Kömbe is a kind of börek from [[Sivas, Malatya Province Turkey. It exists in both the cuisine of Turkey and that of Azerbaijan and is popular among both Turkish and Azerbaijani people.
Mzuka Wanajamvi!
Kutokana na hali ya vita huko Ukraine hali inazidi kuwa tete. Na leo kwenye hotuba yake Putin ameendelea kusisitiza hatanii kutumia mabomu ya nyuklia.
Na uwezekano wa kizitumia ni mkubwa kwasababu anapokea mkong'oto wa haja kutoka majeshi ya Yukrein.
Hii itasababisha vita ya...
Ligi kuu huwa inasimama kupisha mechi za timu za taifa. Je! Wakati Augustine Okrah atakapokuwa anaiwakilisha Ghana itabidi ligi kuu Tanzania bara isimame?
Chama cha Soka (DFB) kimetoa ahadi hiyo leo ikiwa ni takriban siku 55 zimesalia kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia huko Qatar.
Kwa mujibu wa DFB wachezaji wa Timu ya Taifa wakifanikiwa Kufuzu kwa hatua ya makundi, kila mchezaji atapewa Tsh. Milioni 113 na wakifanikiw kuingia katika nane bora...
Dstv wameshaanza kutangaza kurusha mechi zote 64 za kombe l dunia. Hawa wenzetu wa AzamTv naona mpaka leo wapo kimya, je watarusha mechi zote 64 au watatupa mgao wa mechi kama tanesco ya kipara?
Msemaji wa Wizara ya Michezo Mohammed Fawzi amethibitha kuwa nchi hizo tatu zimekubaliana kuungana ili kuomba kibali cha FIFA na mazungumzo hayo yanahusisha wasimamizi wa michezo wa nchi hizo.
Misri inataka kutumia uzoefu wake wa muda mrefu katika masuala ya michezo ikiwemo kuwa mwenyeji wa...
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeipongeza kampuni ya Multichoice kupitia DStv kuamua kutangaza kwa Kiswahili Mashindano ya Kombe la Dunia yanayotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu nchini Qatar.
Akizungumza Septemba 01, 2022 Dar es Salaam katika hafla ya Maonesho kwa Vyombo vya Habari...
Ikiwa imebaki miezi kadhaa kabla ya Kombe la Dunia la mwaka huu pale nchini Qatar tayari timu shiriki zimeanza kuachia jezi zao. Tuone timu zipi zina jezi kali.
Jumla ya tiketi Milioni 2.45 kati ya 3,010,679 zilizotengwa kwaajili ya Michuano ya Kombe la Dunia litakalofanyika nchini Qatar zimeuzwa huku tiketi 520,532 zikiuzwa ndani ya siku 43 (Julai 5 - Agosti 16).
Kwa mujibu wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), nchi za Marekani, Uingereza, Saudi...
Najua wengi mtanipinga ukweli ni kwamba mpira wa bongo una Sarakasi nyingi sana nje ya uwanja.
Babra hajui chochote kuhusu soka, kibaya zaidi hata wale wanaojua siri za mpira wa nchi hii amewaweka kando.
Kama babra ataendelea kushupaza shingo na kutaka kila kitu afanye yeye msimu huu yanga...
Kama majitu yanaweza kuhesabia ngao ya hisani kwamba ni kombe na wanasema wameshinda treble watshindwa nini kuongea uongo mkubwa zaidi?
NYIE WAJINGA, JOSEPH OMOG KOCHA WA ZAMANI WA SIMBA, AZAM NA MTIBWA NDIYE ALIIPA AC LEOPARDS UBINGWA WA AFRIKA 2012 WALIPOIFUNGA DJOLIBA HUYO MWARABU WENU...
Timu ya taifa ya Tanzania ya mchezo wa kabaddi imefuzu kushiriki mashindano ya dunia ya mchezo huo ambayo yanatarajiwa kufanyika nchini India mwishoni mwa mwezi Oktoba. timu hiyo imefuzu baada ya kushika nafasi ya pili katika mashindano ya afrika ambayo yalimalizika mnamo julai 28 katika mji wa...
SIMBA SC NA PRE SEASON 2021
Tujikumbushe kidogo mechi za kirafiki kwa Simba SC na Pre season tukiachana na ile waliyopigwa za kutosha huko ughaibuni ila wakaficha
Agosti 21, 2021 FA Rabat Simba 2-2 Rabat (Dilunga, Sakho)
Agosti 26, 2021 Olypique 1-1 Simba SC (Pape Sakho)
Septemba 8, 2021...
Shirikisho la Kandanda duniani Fifa limepitisha mpango wa kila timu kutumia kikosi cha majina 26 kwenye fainali za Kombe la Dunia Qatar 2022.
Itakumbukwa ongezeko hilo linakuja baada ya hapo awali kila timu ilitakiwa kuthibitisha majina ya wachezaji 23 kwenye kikosi chake lakini sasa kutokana...
"Yanga tunakwenda kuwafundisha watu jinsi ya kushangilia UBINGWA"
"Tofauti ya Yanga na timu zingine ni kwenye ufanyaji wa shughuli zake, Just imagine kuna watu ubingwa waliubeba kwenye Kenta"
"Tumeomba viongozi wa Uwanja wa Sokoine na wa bodi ya ligi kusogeza nyuma muda wa kucheza kutoka saa...
Si wote tunaijua mithali isemayo: Maskini akipata .................. hulia MBWATA!! , kwa hiyo tusishangae kusikia sauti ya mbwata, mbwata, mbwata! baada ya watani kulipata mwaka huu baada ya kuteseka kwa miaka 5. Hongera watani!!
Michuano ya dunia ya darts imeanza leo huko Ujerumani June 16 mpaka June 19 itakapoisha.
Ukiacha South Africa hakuna nchi nyingine ya Africa inayoshiriki hili kombe la dunia.
Rai: wizara ya michezo itie mkazo kwenye hii michezo midogo midogo inaweza kututoa kimasomaso, msikazanie soccer tu!
Kwanza nawashukuru kwa dhati NBC kwa kudhamini ligi yetu, kwakweli mwakahuu vilabu hata vile vidogo havikuwa na ukata wakutisha kama tulivyo zoea kipindi cha nyuma vilabu vilikosa mpaka nauli.
Pamoja na hayo, kwakweli waliopewa kandarasi ya kutengeneza kombe la mwaka huu kwakweli sijui wana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.