kondomu

  1. Mke wangu anatoka maji ukeni baada ya kutumia Kondomu aina ya Salama

    Ndugu zangu nawasalimu nyote. Wiki mbili zilizopita nilikutana na mke wangu kwa tendo la ndoa na tukatumia kondomu kama kinga kuzuia ujauzito. Toka tulipotumia Kondomu mke wangu anatokwa na majimaji sehemu za siri. Je, wakuu shida inaweza kuwa nini? Mimi nimekuwa mwaminifu kwake la ningekuwa...
  2. F

    Kisa cha mapenzi: Kama asingetumia kondomu huenda angelea mtoto asiyewake au kupata maradhi

    Kevin alikua akifanya mapenzi na Aisha wakitumia kondomu. Waliendelea tendo kwa muda wa dakika tano. Ghafla Aisha akamwambia kevin avue mpira ili waendelee kufanya mapenzi bila mpira wa kondomu. Kwa vile Kevin hakujua hali ya Asha ya UKIMWI na pia hakutaka kumpa mimba. Kevin alikataa...
  3. Uvaaji Kondomu uboreshwe

    Kama ilivyo msisitizo katika kuvaa barakoa nashauri elimu itolewe uvaaji wa kondomu usisitizwe wakati wote kujiepusha na maambukizi japo unapunguza utelezi.
  4. Mipira ya kondomu yenye hitilafu yazua hisia kali Zambia

    Mbunge mmoja wa Zambia amelinganisha usambazi wa mipira ya kondomu nchini humo na glavu kutokana na bidhaa hizo mbili kushindwa kuafikia viwango vya usalama na ‘mauaji ya kimbari’. ‘’Kile ambacho wizara ya afya inakifanya ni mauaji ya kimbari'' mbunge Mwansa Mbulakulima aliambia BBC. Unapoweka...
  5. Waganda waishtaki Marie Stopes baada ya kondomu walizotumia kupasuka

    Raia watatu wa Uganda wameishtaki mamlaka ya dawa nchini humo pamoja na shirika la kimataifa la Marie Stoppes kwa kupata magonjwa ya zinaa na ujauzito baada ya kutumia kondomu ambazo hazikuwa na ubora. Taasisi hiyo isiyokuwa ya kiserikali ilisambaza kondom ambazo baadae mamlaka ya dawa...
  6. Kondomu kujaa na kuziba mitaroni!

    Nimepita baadhi ya Vichochoro hapa Mitaa ya Manzese Mitaro Inaonekana Imeshiba hadi kurudisha Chenji huku asilimia kubwa ya Unavyoweza kuviona pembezoni au ndani ya Maji hayo vikielea ni Mipira ya Kiume (Kondomu). Hii ikanikumbusha siku niliyomuona mtoto mmoja akipuliza Kondomu kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…