The Kingdom of Kongo (Kongo: Kongo dya Ntotila or Wene wa Kongo; Portuguese: Reino do Congo) was a kingdom located in west central Africa in present-day northern Angola, the western portion of the Democratic Republic of the Congo, the Republic of the Congo as well as the southernmost part of Gabon. At its greatest extent it reached from the Atlantic Ocean in the west to the Kwango River in the east, and from the Congo River in the north to the Kwanza River in the south. The kingdom consisted of several core provinces ruled by the Manikongo, the Portuguese version of the Kongo title Mwene Kongo, meaning "lord or ruler of the Kongo kingdom", but its sphere of influence extended to neighbouring kingdoms, such as Ngoyo, Kakongo, Loango, Ndongo and Matamba, the last two located in what is Angola today.From c. 1390 to 1857 it was mostly an independent state. From 1857 to 1914 it functioned as a vassal state of the Kingdom of Portugal. In 1914, following the Portuguese suppression of a Kongo revolt, Portugal abolished the titular monarchy. The remaining territories of the kingdom were assimilated into the colony of Angola and the Protectorate of Cabinda respectively. The modern-day Bundu dia Kongo sect favors reviving the kingdom through secession from Angola, the Republic of the Congo, the Democratic Republic of the Congo, and Gabon.
M 23 ipo kwa ajili ya kilio cha muda mrefu wa serikali ya Tshitsekedi; kwa ajili ya ukosefu wa huduma za jamii,ukosefu wa usalama wa raia na mali zao,rushwa katika serikali ya Kongo na uzembe na ubadhirifu wa serikali Ile.
Kwa sababu,sijui wewe una mlengo gani wa kisiasa,sijui una falsafa gani...
Kuna baadhi wameanza kulia kweli kweli kwa kwikwi wakilaumu suala hili, but my opinion our Neighbor, aingie mkataba wa win win situation, ili US Ifaidike na DRC Ifaidike, badala ya kuwa mali inaibiwa tu bure bure na wahuni,
===============
In his first interview since an armed group backed by...
Kama kawaida waafrika ni watu wanaopenda kutafuta visingizio kwa matatizo yanayowakabili ambazo mara nyingi wanajiletea wenyewe.
Mfano mzuri ni mgogoro uliopo nchini Congo unaohusisha serikali ya nchi hiyo na waasi wa M-23 ambao wengine wamekuwa wakidai kwamba huchochewa na wazungu japo hawatoi...
MADINI YOTE MUHIMU YANAYOCHIMBWA DRC CONGO, MADINI HAYO HATA SISI TANZANIA TUNAYO KATIKA MKOA WA KAGERA.
KATIKA MKOA WA KAGERA TUNA MADINI YAFUATAYO AMBAYO CONGO PIA WANAYO;
TIN (CASSITERITE)
NICKEL
COBALT
MANGANESE
TANTALUM (COLTAN)
TUNGSTEN ( WOLFRAMITE)
HAYA MADINI MKOA WA KAGERA YAPO...
Shirikisho la Soka la Kongo (FECOFOOT) limefungiwa na FIFA kuanzia Februari 6, 2025, hadi itakapotangazwa tena, huku sababu za uamuzi huo zikiwa bado hazijawekwa wazi. Kufuatia kusimamishwa huko, FECOFOOT itapoteza haki zake zote za uanachama kwa mujibu wa Kifungu cha 13 cha Sheria za FIFA, na...
Niende moja kwa moja kwenye mada dunia ya leo ya maendeleo ya sayansi na teknolojia haiitaji tu kuq na vifaa bora vya kupigana na adui yako ukizingatia ata m23 piq wamewekeza kwenye ubora wa vifaa na silaha zao.
Vita vya sasa vina itaji ujasusi wa hali ya juu kukabiliana na adui ukitegemea tu...
Mungu wape nguvu Hawa wapambanaji wa haki za wananchi waweze kuikamata kinshasa na kuweza kuleta Maendeleo Kwa wacongoman bila ubaguzi wowote sababu Hawa ndio wapigania haki wa kweli japo wanapigana dhidi ya magaidi ya FARDC waliozoea kunyonya raia wameenda kumsaidia gaidi mwenzao tshekedi ila...
Siku si nyingi niliandika hapa kuwa Kongo ni Taifa lililolaniwa.
Kwa akili za viongozi wao wale Taifa lao litazidi kulaaniwa
https://www.jamiiforums.com/threads/d-r-c-taifa-lililolaniwa-tangu-wapate-uhuru.2297606/
Wanajeshi wa Rwanda wanawahudumia wanajeshi wa Kongo wanaokimbilia Rwanda, ambao ni majeruhi wa vita. Jana, walipewa chakula, maji, na juisi. Licha ya yote, hawaonyeshi hasira wala kinyongo kwa kile ambacho serikali yao imewaambia.
Rwandan soldiers are treating Congolese soldiers fleeing to...
Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU
Nimechoka kabisa jeshi la nchi limeikimbia nchi na kuwaachia wananchi msala
Wanajeshi wa kongo wamekimbilia Rwanda na kupokelewa kama wakimbizi hii ni hatari sana aisee
SAYUNI BOY
Madereva wa malori kutoka Tanzania waliokwama nchini Kongo (DRC) wameomba msaada wa haraka baada ya waasi wa kikundi cha M23, kinachodaiwa kuungwa mkono na Rwanda, kuteka mji wa Goma.
Soma, Pia: Waasi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanasema wamechukua mji muhimu wa Goma
Sijaisikia jumuiya hii ikitoa kauli au kuitisha kikao cha dharura dhidi ya huyu mla nyama za watu na mnywa damu za binadamu. Wote ni wanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki.
N. B: for the first time simjui Mwenyekiti wa jumuiya hii wala katibu
Amani iwe kwenu
Nimewaza mbali sana
Lakini kuwaza kwangu kote huwa sipend kabisa kuona mtu akiteseka bila sababu
Mateso ya watu wa Kongo wananiumiza sana
Sasa nimekuja na suluhisho moja tu na suluhisho hilo moja tu linaenda kutamatisha hii vita ndan ya dakika mbili tu
Watu wa kongo na...
Serikali ya Congo imewaua wanaume wapatao 102 kwa njia ya kunyongwa wiki iliyopita, na wengine 70 wanatarajiwa kuuawa. Waziri wa sheria wa nchi hiyo alisema Jumapili katika taarifa kwa Shirika la Habari la Associated Press.
Waziri alisema wanaume hao, wenye umri wa miaka 18 hadi 35, walikuwa...
#DRC: Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo linalosaidiwa na wapiganaji wa kundi la Wazalendo limefanikiwa kurejesha udhibiti wa baadhi ya maeneo yaliyochukuliwa na wapiganaji wa M23. Jana Jumatano, makundi hayo ya vijana Wazalendo wanaoungwa mkono na jeshi la serikali walichukua udhibiti wa...
UN: Vikosi vya Rwanda vyasaidiana na M23 kupigana Kongo
Ripoti moja ya wataalam wa Umoja wa Mataifa iliyoonekana na shirika la habari la Ufaransa AFP inasema, kati ya wanajeshi 3000 hadi 4000 wa Rwanda wanashirikiana na waasi wa M23 katika mapigano mashariki mwa Kongo.
Ripoti hiyo inasema...
UFALME WA KONGO: "WENE WA KONGO, FALME PEKEE AFRIKA ILIYOKUWA YA KWANZA KUWA NA DEMOKRASIA NA DIPLOMASIA.
Na. Comred Mbwana Allyamtu (CMCA)
Thursday- 9/06/2022
Marangu, Kilimanjaro, Tanzania
Ufalme wa Kongo ambao ulijulikana kama "Wene wa Kongo au Kongo dya Ntotila" ni mojawapo ya falme za...
Jumuiya ya Maendeleo ya nchini za Kusini mwa Afrika (SADC), imetangaza kuwa vikosi vyake nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo vitafanya mashambulizi, kwa ushirikiano na vikosi vya serikali, ili "kuwamaliza waasi wa M23 na kurejesha amani na usalama."
SADC ilitangaza hayo katika taarifa yake...
Aaahem
Muda siku zote waenda mbele, muda hausubiri mtu, na katika kwenda kwake mbele Muda huja na mabadiliko. Ole wao wale wanaopingana na sheria hii ya mda kwa kukataa kukubali uhalisia kwamba zama zao sasa zaingia machwewo, hivyo kuweka ukinzani kuendelea kufanya mambo yao kama walivyokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.