Nabi rasimi kathibitisha kuwa hatakuwa pamoja na kilabu ya Yanga kwenye mechi yao dhidi ya TP-Mazembe nchini Kongo katika mchezo wa marudiano wa shirikisho la Afrika.
Kumekuwa na sintofahamu na mashabiki wengi wa soka wakijiuliza juu ya kumkosa kocha mkuu wa yanga katika mchezo huo...