kontena

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Natafuta gari 3 za kubeba kontena kwenda Zambia

    Habari Natafuta gari 3, trucks za kubeba 20ft container toka hapa dar es salaam mpaka Lusaka, Zambia. Kontena zipo ICD Nyerere Road. Payment : 50% advance payment after loading Mawasiliano 0692595127
  2. outsider man

    Biashara ya ufungaji wa kontena yaani container house

    Habari wana JF, Ninapenda kuwashirikisha/ kuwatangazia biashara yangu nliyojiajiri kwa muda wa miaka miwili sasa. Mimi ni mhandisi wa ujenzi nafanya design & installation ya containers mbali mbali Tanzania na nje ya nchi. Containers hizi zipo za aina mbali mbali; Steel customized containers...
  3. GENTAMYCINE

    Kwanini Watu wa 'Msaada Kontena Oysterbay' wanautolea macho mno huu Uchaguzi wa CHADEMA?

    au Uchaguzi huu wa CHADEMA ni sehemu ya Utendaji wao (kwa Kipaumbele) na kwamba yale mengineyo ya Kimsingi kwa sasa si Kipaumbele chao?
  4. Mtoa Taarifa

    Tanzania kuendelea na Mkataba wa Adani wa Dola Milioni 95 kuendesha Gati za Bandari ya Dar Licha ya Tuhuma za Rushwa

    Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kuheshimu mikataba yake na kampuni tanzu ya Adani Group licha ya mashtaka mapya dhidi ya Gautam Adani, mwenyekiti bilionea wa kundi hilo, anayekabiliwa na tuhuma za utoaji hongo na udanganyifu, afisa mwandamizi wa Mamlaka ya Bandari amethibitisha. Wiki...
  5. Lexus SUV

    Nahitaji kontena la futi 40

    Habari wandugu . Nahitaji kontena la futi 40. Lenye hali nzuri ....nipo moshi mjini.-kilimanjaro Kama unalo wasiliana nami.....0672701329 Asante.
  6. Crocodiletooth

    Nyumba nzuri sana, ambazo ujenzi wake hutumia kontena

    Ni nyumba nzuri zinazoweza kujengwa popote pale, lakini zinapendeza zaidi zikijengwa katika mazingira pembeni mwa Miji bushes.
  7. K

    Kontena 47 za ft 20, Kontena 23 za Ft 40 zinahitajika haraka

    Tajiri yupo Dar es salaam. Ananunua Kontena za Ft 20 na Ft 40. Ziwe katika Hali nzuri. Baada ya makubaliano, Usafiri ni juu yake. Atasafirisha kontena zilizopo Nje ya Dar es salaam. Zinahitajika haraka. Wahi mapema. Kwa mawasiliano Piga 0753021619.
  8. neggirl

    Nahitaji Kontena ft 20 -USED

    Salaam, Nahitaji kontena la futi 20 lililotumika liwe Mkoa wa Dsm. Liwe katika hali nzuri (halivuji, halina kutu) Mwenye nalo njoo DM. =65&hash=735915e41f15bfcf354a0b66ea806df8']Attach files
  9. Candela

    Msaada kontena kutoka South Afrika kwa Roli

    Kontena 20ft, kulitoa south mpaka bongo bei gani kwa roli wakuu. Likiwa na mzigo full. Natangulizw shukrani.
  10. 0

    Kontena ft 20 linahitajika

    Naomba kupata muongozo namna ya kupata kontena la futi 20 au hata zaidi ya hapo kama itawezekana. Bei iwe nafuu kidogo mana budget imenibana. Naomba anayeuza tuwasiliane au anayejua mahal naweza kuyapa kwa bei nafuu anisaidie
  11. Aramun

    Hakuna sababu za ki "Demand & Supply" zinazosababisha bei ya kontena kupanda bandarini, tunapangwa?

    Ukiangalia supply and demand ya import and exports, utagundua wakati huu wa awamu ya 6 ambayo imeboresha mazingira ya uwekezaji, kama nchi tuna demand kubwa ya bidhaa kutoka nje. Hivyo gharama za usafirishaji bidhaa kutoka nje zilitakiwa zishuke na siyo kupanda kwa sababu ndani kuna soko la...
  12. Abdul Said Naumanga

    Tetesi: Ilikuaje Makontena 329 yakapotea bandari kavu ya Azam na kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya Bilioni 12.6? Je, Nani alicheza huu mchezo?.

    UFISADI WA MAKONTENA 329 BANDARI KAVU YA AZAMU ICD (2015) To make a long story short, Kama umekua mfatiliaji wa mambo, utakumbuka mnamo December, 2015, Waziri Mkuu Majaliwa alifanya ziara TPA na kumuhoji Meneja wa TPA, (Abel Muhanga kwakipindi hiko), kuhusiana na tuhuma za ufisadi wa kupitisha...
  13. passion_amo1

    Kontena za kutunzia na kuivishia ndizi

    Wakuu habari za uzima? Natumai ni wazima wa afya, Nilikuwa naomba kufahamu mtu mwenye ufahamu na yale makontena ya kuivishia na kuhifadhia ndizi. nimeona Dar es salaam hii biashara lakini nataka kuangalia fursa katika mikoa nje na dar-es-salaam. Karibuni kwa wenye ufahamu na biashara hii.
  14. K

    Kontena la maiti za wanajeshi wa Israel kutoka Gaza

    Wakati vita ya Israel dhidi ya kikundi cha HAMAS ikiendelea kwa Israel kupiga mabomu watoto na wanawake,tazama sehemu ya maiti za wanajeshi wa Israel ambao wameuawa na HAMAS. Wana mgambo wa HAMAS wapo Gaza wakiendelea kupambana na wanajeshi wanaotumia deraya.
  15. R

    Kontena zaidi ya 2 ya Jezi feki zinazokadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya Tsh. Bilioni 2 zakamatwa

    Kontena zaidi ya mbili zenye jezi feki za Simba, Yanga na Taifa Stars zinazokadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya Tsh. bilioni mbili zimekamatwa kwenye ghala moja lililopo eneo la Chang’ombe Jijini Dar es salaam huku Mtu aliyeziingiza nchini pamoja na Mmiliki wa ghala lililokutwa na jezi...
  16. BARD AI

    Zaidi ya watu 55 wahofiwa kufariki baada ya kuangukiwa na 'Kontena'

    Kwa mujibu wa taarifa ya Mashuhuda, ajali imetokea eneo la Londiani Nchini Kenya baada ya Lori kupoteza uelekeo na kuwafuata waenda kwa Miguu, Wafanyabiashara na Mabasi madogo ya Abiria yaliyoegeshwa kando ya Barabara. Kamanda wa Polisi wa Londiani, Agnes Kunga amethibitisha ajali hiyo na...
  17. Nobunaga

    DP World tayari imejenga "Bandari Kavu" Rwanda yenye uwezo wa kontena elfu 50, wakati bandari yetu ni ya kontena elfu 19 tu

    Katika hili wala hauhitaji kujua aliye nyuma ya hawa DP World ni nani, haijatokea kwa bahati mbaya, hakuna coincidence hapa, ni mipango iliyopangwa ikapangika na sasa tunaenda kupigwa mchana kweupeee. ========================== TAARIFA KUHUSU UWEKEZAJI UNAOPENDEKEZWA NA DP WORLD TANZANIA DP...
  18. sky soldier

    Kama unataka Kudate na wanafunzi wa vyuo vikuu, wahi kontena jipya, makontena yaliyotoka bandarini kuingia kariakoo heri utafute binti mtaani?

    Na hata sisi tuliosoma chuo, hii ndio ulikuwa utaratibu wetu kupata mali yenye maileji ndogo na ukibahatika waweza kupata bikra, watu walikuwa wanawahi kwenda chuo wanazuga eti wanapenda shule kumbe wapo mawindoni kuvizia makontena mapya. Makontena mapya ni hawa wanaoingia chuoni kwa mara ya...
  19. McRiyckeel

    Pata Huduma ya Manunuzi ya Containers | Kontena [20 | 40 FT] Hapa

    Hello Wakuu, Kwa wale wote wenye mahitaji ya Kontena ama Makontena kwaajili ya kusafirishia Mizigo , Kutengenezea Fremu , Nyumba etc Karibuni, huu ndiyo uwanja wetu. Utaweza kupata Containers 20 au 40 Feet kuanzia Grade 1 hadi Grade 3. Lifuatalo ni Jedwali likionesha Sifa za Grade husika la...
  20. wa stendi

    Hivi madereva wanaoingiza magari kwenye kontena huwa wanatokaje?

    Yaani unakuta gari labda ni scania au isuzu tiper linaingizwa kwenye kontena halafu nafasi ya kufungua mlango ili dereva atoke haipo je, hao madereva huwa wanatokaje?
Back
Top Bottom