kontena

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Mchungaji Gwajima: Elimu bila connection ni sawa na kontena la maarifa yasiyo na matumizi

    Nimekutana na hii video mtandaoni, Mchungaji Gwajima anatoa hoja yake kuhusu umuhimu wa kuwa na Connection hata ukiwa umesoma. Mchungaji Gwajima anasema "Mwanangu soma sana, kuwa na Masters, kuwa na PHD lakini lazima awepo mtu. Academic breakthrough with no connection you just become a...
  2. M

    INAUZWA kontena ft 40 na ft 20 zinapatikana

    Habari jF, Kwa niaba ya mdau wa hizo kontena, naomba kutoa taarifa kuwa kontena za futi 40 na futi 20 sasa zipo na zinapatikana kwa bei rafiki kama ifuatavyo: 40 feet kwa 8M 20 feet kwa 6M Yard location : Temeke Contact person: +255 756 073354 NB. Nimeombwa kupost tu, maelezo zaidi piga/sms...
  3. S

    Chris Lukosi: Gharama za kusafirisha kontena kwenda Bandari ya Dar es Salaam zimepanda sana

    Ukimsikiliza huyo bwana hapo analalamikia gharama za kusafirisha container 40 fit umefikia mpaka US dollar 2300-2500 wakati bandari ya Mombasa ni US dollar 1300 anasema kuna hatari ya wateja kukimbia kama serkali haitachukua maamzi kuzuia hiyo hali!
  4. Kasomi

    Qatar Yatengeneza Uwanja wenye kontena

    Nchi ya Qatar ambayo ndio mwenyeji wa Mashindano ya Kombe la Dunia mwaka 2022 wameamua kutengeneza uwanja wa Mpira wa miguu ambao umetengenezwa kwa kutumia makontena. Qatar imefikia uamuzi huo ili kuwezesha Kombe la Dunia kuchezwa katika uwanja huo na baada ya Kombe la Dunia la mwaka huo wa...
  5. Hajto

    Nahitaji kontena la futi 20

    Habari zenu waungwana, nahitaji kontena la futi 20, bajeti yangu milioni 2.......Likipatikana leo itapendeza zaidi
  6. Superbug

    Video ya mzee inayotrend amebeba mfuko na amevaa kanzu amepotelea hewani kwenye kontena Kenya ni ya kweli?

    Kuna video inayostua Sana inamuonyesha mzee akiwa sokoni anatembea huku kamera ya mwanahabari ikirekodi taarifa nyingine isiyohusiana na huyo mzee Ila Cha kushtusha mzee anapotea Kama upepo ni video inayotisha. Mwenye nayo aiweke namimi najaribu kuiweka.
  7. GENTAMYCINE

    Poleni wana Simba SC Wenzangu kwa Goli lile la 'Kubabatiza' na Kupaki Kwao 'Kontena', ila Mwanaume 'Hatairiwi' mara mbili

    Nilipumzika kidogo kama kwa miaka Mitatu kuwa katika Kamati ya Utamaduni ( Ufundi wa Jadi ) wa Timu yangu pendwa ya Simba SC ila kwa 'Dharau' zinazoendelea hapa mjini sasa 'Mwanamume' narejea Kazini na leo GENTAMYCINE nasema Kitakachowapata Yanga SC huko Kigoma tarehe 25 July, 2021 kitakuwa ni...
  8. C

    Naomba Maelekezo namna ya kununua kontena tupu

    Habarini wadau, Ninahitaji kununua kontena la futi 20 hivi karibuni.ila sijui namna bora ya manunuzi ili niwe salama.maana nasikia kontena huwa linakuwa na Document na sijawahi kuiona hiyo Document.Naomba kujuzwa namna bora ya manunuzi ili nisijepigwa ndugu zanguni. Nawasilisha.
Back
Top Bottom