korea kaskazini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Korea Kaskazini yakosoa mkataba wa kijeshi wa Marekani na washirika wake, wadai wanatengeneza NATO ya Asia

    Korea Kaskazini imeukosoa mkataba wa ushirikiano wa kijeshi uliosainiwa kati ya Marekani, Japan na Korea ya Kusini ikidai una lengo la kuiongezea nguvu Marekani hasa dhidi ya wapinzani wake. Korea Kaskazini wanaamini umoja huo ni sehemu ya kujiimarisha kwa Marekani na kutengeneza ngome yake...
  2. beth

    #COVID19 Korea Kaskazini yadai mlipuko ulisababishwa na 'vitu vya ajabu'

    Serikali imedai Mlipuko wa kwanza wa COVID-19 ulianza baada ya Wagonjwa kugusa "Vitu vya ajabu" (Alien Things). Imeripotiwa kuwa, Uchunguzi uliwabaini watu wawili waliopata maambukizi mwanzoni mwa mlipuko huo baada ya kushika vifaa visivyojulikana karibu na mpaka wa Korea Kusini. Japokuwa...
  3. JanguKamaJangu

    Ugonjwa wa ajabu wa tumbo waibuka Korea Kaskazini

    Korea Kaskazini inapambana kudhibiti mlipuko wa ugonjwa "mbaya" wa matumbo ikiwa ni mwezi mmoja baada ya nchi hiyo kukumbwa na mlipuko wa maambukizi ya COVID-19. Vyombo vya habari havijaweka wazi taarifa zaidi kuhusu ugonjwa huo lakini Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un ametuma timu ya...
  4. hamis77

    Korea Kaskazini yapambana na Covid kwa maji ya chumvi na tangawizi

    Korea Kaskazini inapambana kupunguza maambukizi ya Covid kwa raia wake ambao idadi kubwa hawajachanjwa, bila utumiaji wa dawa bora za kukinga virusi. Mwanzoni mwa 2020, nchi ilifunga mipaka yake kujaribu kujikinga na janga hili. Uongozi wake hadi sasa umekataa msaada wa matibabu kutoka nje...
  5. JanguKamaJangu

    #COVID19 Korea Kaskazini: Maambukizi ya Covid-19 yawakumba zaidi ya Watu milioni 2

    Korea Kaskazini imeweka wazi kuwa imeanza kupata matokeo mazuri katika vita yake dhidi ya Ugonjwa wa Covid-19 lakini idadi ya walioambukizwa ikitajwa kuwa imefika zaidi ya watu milioni 2 Rais wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol na Rais wa Marekani, Joe Biden ambao wanatarajiwa kukutana leo...
  6. beth

    #COVID19 Vifo vipya 21 vyaripotiwa Korea Kaskazini

    Vifo vipya 21 vimeripotiwa huku ikielezwa watu wengine walikuwa na dalili za Homa. Kiongozi wa Taifa hilo, Kim Jong Un amesema mlipuko wa COVID-19 umeiweka Nchi katika machafuko makubwa. Korea Kaskazini ambayo ni mojawapo ya Nchi ambazo hazikuwa na kampeni ya chanjo ina kiwango cha chini cha...
  7. John Haramba

    #COVID19 Korea Kaskazini yathibitisha kifo cha kwanza cha Covid-19. Kim Jong Un avaa barakoa kwa mara ya kwanza

    Shirika la Habari la Korea Kaskazini (KCNA), leo Ijumaa Mei 13, 2022 limethibitisha kifo cha kwanza cha mgonjwa wa Covid-19, ikiwa takwimu za kwanza kutolewa rasmi siku moja baada ya nchi hiyo kuthibitisha mlipuko wa kwanza wa Covid tangu janga hilo lianze. Watu 187,800 hivi sasa wanapatiwa...
  8. Lady Whistledown

    #COVID19 Kisa cha kwanza cha Covid-19 chagunduliwa Korea Kaskazini

    Korea Kaskazini imegundua kisa cha kwanza kabisa cha maambukizi ya Covid-19, kulingana na vyombo vya habari vya serikali, ambavyo viliita hali hiyo "dharura kuu ya kitaifa." Imeripotiwa kuwa, Sampuli zilizokusanywa kutoka kwa kundi la watu katika Mji Mkuu wa Pyongyang waliokuwa na homa mnamo...
  9. Miss Zomboko

    Wataalamu wa UN: Korea Kaskazini yaiba mamilioni ya dola kupitia udukuzi mitandaoni

    Wataalam wa Umoja wa Mataifa wamesema kwenye ripoti yao kwamba Korea ya Kaskazini inaendelea kuiba mamilioni ya dola kutoka katika taasisi za kifedha na makampuni yanayojihusisha na sarafu za mitandao na ubadilishanaji fedha. Wataalamu hao waliowanukuu wataalamu wa masuala ya mitandao kwenye...
  10. Suley2019

    Majaribio ya Makombora Korea Kaskazini

    Vyombo vya Habari vya serikali nchini Korea Kaskazini vimetoa picha zinazosema kuwa zilichukuliwa kutokana na majaribio ya kombora lake kubwa zaidi kutoka mwaka 2017. Picha hizo zinaonesha sehemu za rasi ya Korea na maeneo yaliyo karibu yakionekana kutoka angani. Korea Kaskazini ilisema kuwa...
  11. britanicca

    Fourth week in North Korea ( Askari na Usalama wa raia nchini Korea Kaskazini)

    Kiwango cha rushwa nchini Korea Kaskazini kiko chini sana! Askari akikamata muarifu amepewa bonus hizi 1. Kama ni mwizi wa pesa 25% ya Pesa anazookoa ni ya kwake na 75% zinaenda ziliko ibwa 2. Askari akikamata Mbakaji Au anayetembea na mtoto wa shule Au chini ya Miaka 21 anapewa 300$ Kwa...
  12. britanicca

    North Korea Night life/Maisha ya Usiku Korea Kaskazini Msidhani kuna Misambwanda

    Ni maisha fulan amizing . Tumeaminishwa Mengi yasiyo sahihi Nimepita maeneo wanayosema hatari kwa mweusi nikiwa Mwenyewe bila escort, nimefanikiwa kupiga piga vi video kidogo japo kwa kujiiba sana 1. Pombe wanakunywa kawaida na wana Uhuru kwa hilo wanaopiga Maji hawabughudhiwi, Bar ziko open...
  13. Suley2019

    Korea Kaskazini: Ahukumiwa kunyongwa kwa kutazama na kusambaza nakala za series ya 'Squid Game'

    Mwanaume mmoja raia wa Korea Kaskazini ambae utambulisho wake haujawekwa wazi amehukumiwa kifo kwa kutazama na kusambaza nakala za series maarufu kutoka Netflix 'Squid Game'. Inasemekana hukumu ya kunyongwa kwake hadi kufa ia tatekelezwa na kikosi maalumu cha kurusha risasi. Mbali mwanaume...
  14. K

    Rais wa Korea Kaskazini apoteza zaidi ya kg 40 toka January 2021

    Katika kile kinachoonekana kama athari za ugonjwa wa kisukari ama matumizi ya teknolojia za AI katika matibabu ya bwana Kim hatimaye ameweza kupungua uzito zaidi ya kilo 40 toka mwanzoni mwa mwaka huu Ikumbukwe mpaka mwaka 2019 bwana mdogo Kim mwenye umri wa miaka 37 alikuwa na uzito wa zaidi...
  15. Sam Gidori

    #COVID19 Nchi 15 zisizo na maambukizi ya COVID-19 duniani

    Tangu kuripotiwa kwa kisa cha kwanza cha Ugonjwa wa UVIKO19 katika jimbo la Wuhan nchini China, maambukizi ya virusi hivyo yamepindukia visa milioni 200 huku zaidi ya watu milioni 4.5 wakipoteza maisha. Kubadilika kwa aina za virusi vya corona kama Alpha, Beta, Delta nk., kunaongeza chumvi...
  16. Mapank

    Korea Kaskazini yajaribu kombora jipya la masafa marefu lenye uwezo wa kupiga Japan

    Korea Kaskazini imefanya jaribio la kombora jipya la masafa marefu linaloweza kupiga sehemu kubwa ya Japan, vyombo vya habari vya serikali vimesema Jumatatu. Jaribio lililofanywa mwishoni mwa wiki lilishuhudia makombora yakisafiri hadi umbali wa km1,500 (930 maili),kulingana na KCNA. Jaribio...
  17. Sam Gidori

    Utata wagubika kupungua uzito kwa Kim Jong-Un

    Televisheni ya Taifa la Korea Kaskazini imerusha maoni ya wananchi kuhusu afya ya Kiongozi wa Taifa hilo, Kim Jong-un baada ya video iliyokuwa ikimwonesha kupungua uzito kusambaa, hali ya nadra kutokea nchini humo kwa afya ya kiongozi wa nchi kujadiliwa kwenye chombo cha habari. Korea Kaskazini...
  18. Sam Gidori

    Kim Jong-Un akiri Korea Kaskazini inakabiliwa na njaa

    Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong-Un amekiri nchi yake kukabiliwa na baa la njaa, akisema hali ya uhaba wa chakula inazidi kuwa mbaya wakati taifa hilo likiwa katikati ya mapambano dhidi ya virusi vya corona na vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na Marekani kufuatia majaribio ya silaha za nyuklia...
  19. Kasomi

    Fahamu hili kutoka nchini Korea kaskazini

    Nchini Korea kaskazini, watu walo zaliwa tarehe 8 mwezi wa 7 na tarehe 17 mwezi wa 12 hawaruhusiwi kusherehekea siku yao ya kuzaliwa kwa sababu viongozi wao Kim jong I na Kim II_sun walikufa.
Back
Top Bottom