korogwe

Korogwe is a town in Tanzania, with a population of 56,282 in 2012. It is the main centre of Korogwe District, which is within the Tanga Region.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia anatarajiwa kuzindua mradi wa maji wa Mwanga, Same, Korogwe wenye thamani ya zaidi ya Bilion 300

    Rais wa Jamuhuri wa muunngano wa Tanzania Mh Dkt Samia Suluhu Hassani anatarajiwa kuzindua mradi wa maji wa Mwanga,Same,Korogwe wenye thamani ya zaidi ya Bilion 300 utakao wanufaisha wakazi wa wilaya ya Mwanga na Same Mkoani Kilimanjaro Akizungumza March 4,2025 Mkuu wa Wilaya ya Mwanga Bi...
  2. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Korogwe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Korogwe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Chuo cha Ualimu Korogwe mkoani Tanga tarehe 24 Februari, 2025.
  3. Picha Korogwe

    ASANTE KOROGWE
  4. Rais Samia Asikia Kilio cha Wananchi Barabara ya Soni - Bumbuli - Korogwe

    RAIS SAMIA ASIKIA KILIO CHA WANANCHI BARABARA YA SONI - BUMBULI - OROGWE Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesikia kilio cha wananchi wa Bumbuli, mkoani Tanga kuhusu ujenzi wa barabara ya Soni - Bumbuli - Korogwe (km 77), kwa kiwango cha lami ambapo ameeleza kuwa ujenzi wa barabara hiyo...
  5. KAZI INAENDELEA! VIJIJI 28, WANANCHI 20,000 KUNUFAIKA NA MRADI WA UMWAGILIAJI MKOMAZI, KOROGWE TANGA

    KAZI INAENDELEA! VIJIJI 28, WANANCHI 20,000 KUNUFAIKA NA MRADI WA UMWAGILIAJI MKOMAZI, KOROGWE TANGA Mradi wa Mkomazi ni wa kihistoria, kwani ulianzishwa zaidi ya miaka 50 iliyopita lakini utekelezaji wake umekuwa ukisuasua kwa muda mrefu na Sasa unatekelezwa kikamilifu chini ya Serikali ya...
  6. Pre GE2025 Serikali imetangaza kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Soni - Bumbuli - Korogwe kwa kiwango cha lami

    Serikali limetangaza imetangaza kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Soni - Bumbuli - Korogwe kwa kiwango cha lami. Ujenzi huo utaanza rasmi baada ya kufunguliwa kwa zabuni ya mkandarasi mnamo Machi 6, 2025, ambapo awamu ya kwanza itahusisha kilomita 20 kutoka Soni hadi Bumbuli, hatua inayotajwa...
  7. Shamba la mitiki linauzwa lina zaidi ya miti elfu 1700 karibu ununue karibu uwekeze kwa uwaminifu sana lipo tanga korogwe

    Habari za wakati huu ndugu zangu najua wengi mmesikia kuhusu kilimo cha miti ya mitiki hekari moja inaweza kukuingizia zaidi ya milion 300 kwa hekari moja kwa miti iliyokomaa. sasa basi lipo shamba lenye hekari 6 lenye miti zaidi ya 1700 lililopo tanga korogwe lenye miti ya miaka 12 mpka 14...
  8. Hatimae nimefika Kijiji cha mpale korogwe tanga.

    Kijiji kipo juu milimani , miundombinu mibovu hasa barabara hamna maji ya bomba , ni kwenda mtoni , network ni YAS tu, Shughuli za kilimo cha chai ndo kipo huku ila kiwanda kimefungwa . Serikali ifanye uwekazaji huku hasa barabara. Nimetumia 20k kutoka korogwe mji hadi huku. Bora ningebaki...
  9. Korogwe: Wananchi walazimika kupambana na Mamba ili kupata maji

    Wananchi hawa wa Korogwe huko Tanga wanalazimika kupambana hadi na Mamba katika harakati za kusaka Maji.
  10. KOROGWE MJI TUNAKWENDA NA KAMANDA MBOWE

    Utafiti niloufanya katika jmbola KOROGWE MJI ambalo linawajimbe watatu wa mkutano mkuu kati yao wawili wamesema watampigia kura MBOWE
  11. Msaada wa mbinu ya kuruka Mtego

    Iko hivi wadau, kuna Manzi mimi nilikua namuimba.. Karuka, na kudai tuwe marafiki. Nikaforce sana huo urafiki badae nikakata tamaa alikua anakwepa tusionane. Zilipopita kama week tatu, nikampandia hewani tena, kubembeleza, nikaona respond ipo kidogo Sasa Leo nimeenda kwake Manzi, na...
  12. Korogwe: Waziri Ndejembi amng’oa Afisa Ardhi kwa kusababisha migogoro

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, amemuondoa kwenye nafasi yake Afisa Ardhi wa Wilaya ya Korogwe, Nyambega Kichele, kwa kutokufuata utaratibu wa kutoa hati za ardhi na kusababisha migogoro. Waziri Ndejembi amechukua hatua hiyo wakati wa ziara yake ya siku...
  13. Waziri Aweso ashiriki Maulid ya Mtume Korogwe, nakusoma kitabu cha Maulid, Mlango wa Nne

    Waziri wa Maji na Mbunge wa Pangani, Jumaa Aweso, ameungana na waumini wa dini ya Kiislamu katika hafla ya Maulid ya Mtume iliyofanyika kijijini Kwa Mndolwa, wilayani Korogwe, mkoani Tanga. Hafla hiyo pia ilihudhuriwa na Sheik Mkuu na Mufti wa Tanzania, Abubakar Zubeir, ambaye aliongoza waumini...
  14. KERO Mataa ya Korogwe, Bucha (kwa Thomas) na Kibo hayafanyi kazi na kupelekea madereva kuvunja sheria za barabarani

    Habari za muda huu waungwana, kutokana na ujenzi unaoendelea wa upanuzi wa barabara kutoka Ubungo mpaka Kimara mwisho haya mataa ya hapa Korogwe, Bucha (kwa Thomas) nasikia hili jina lilikuja kutokana na huyo mzee yeye ndio alikuwa anauza mdudu pendwa yule kwa wale wenzetu wasiopenda kumla...
  15. Pre GE2025 Korogwe: Wananchi wataka vikwazo vya ushiriki mdogo chaguzi za 2019 na 2020 vishughulikiwe kuongeza ushiriki chaguzi za 2024 na 2025

    Matukio ya wagombea kudaiwa kutoa rushwa, kukosekana kwa elimu ya uchaguzi na kutoaminiwa kwa baadhi ya wagombea na wananchi, kumechangia ushiriki hafifu wa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu uchaguzi wa mwaka 2019 wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Hayo yamebainishwa...
  16. Chadema KOROGWE MJI wapata viongozi wapya

    Atimaye Jana terehe 18/10/2024 chadema Jimbo la KOROGWE wamepata viongozi baada ya uhaguzi wa kidemoxrasia kufanyika ambapo nafasi mbalimbali kugombaniwa ambapo nafasi ya mwenyekiti aligombaniwa na wagombea watatu ambazo ni kamanda John mapunda alikuwa anatetea nafasi yake Ezekiel mbwilo pamoja...
  17. Basi la Kapricon lapata ajali Korogwe, wanne wafariki na 15 wajeruhiwa

    Wenye ndugu zao waliosafiri usiku wajaribu kufanya mawasiliano. Ni basi na lori, haijafahamika ni basi la kampuni gani. Kwa mwenye habari zaidi atatujulisha. Pole sana kwa wahanga wa ajali hiyo. ======= Watu wanne wamefariki na wengine 15 wamejeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Kapricon (T...
  18. A

    KERO RITA Korogwe kuna tatizo upande wa kutoa vyeti vya kuzaliwa

    RITA Korogwe kuna shida kupata cheti cha kuzaliwa ulichoomba online na kuwa approved na kuthibitishwa kipo tayari, kukipata utazungushwa nenda rudi bila kujali unatoka mbali tena vijijini na umetumia gharama kubwa kukifata. Soma Pia: RITA ni tatizo, wiki ya tatu sasa vyeti vya wanangu...
  19. Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango akagua mradi wa maji wa Same - Mwanga - Korogwe

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewapongeza viongozi wa Wizara ya Maji kwa kusimamia na kufanikisha vema utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Same -Mwanga – Korogwe. Makamu wa Rais ametoa pongezi hizo alipokagua Mradi huo na kushuhudia wananchi wakianza...
  20. K

    Nampa maua yake DTO wa Korogwe ila Kampuni ya BM ijitafakari kuhusu huduma zao

    Basi tulilolitumia ambalo lilikwama njiani tukasaidiwa na RTO (Regional Traffic Officers) Nikiwa mmoja wa Wasafiri katika Basi la BM, tukitoka Dar kuelekea Arusha, ambapo liliondoka Dara majira ya Saa Nane Mchana jana Mei 19, 2024, tulikutana na changamoto ya kiufundi njiani. Picha linaanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…