DC JOKATE MWEGELO - TUSHIRIKIANE TULETE MAENDELEO, TUACHE ALAMA YA KUDUMU KOROGWE
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Jokate Mwegelo ameshiriki Siku ya Wnawake Duniani iliyoadhimishwa tarehe 08 Machi, 2023 Ulimwenguni kote ikiwa na Kauli Mbiu: "Ubunifu na Mabadiliko ya Teknolojia, Chachu Katika...
Na Basilla Mwanukuzi
KUNA CHA KUJIFUNZA
Aina yangu ya uongozi siku zote na muda wote ilijikita na itajikita katika kwanza kuweka mbele maslahi ya wananchi kwa gharama zote (hata ikibidi kukosa cheo)
2. Pili kuleta matokeo
Hakuna jambo kwangu ni hasara kama kua kwenye hali ya kutakiwa kuleta...
Tukiacha Yale mambo ya ujumla kama vile uhaba wa madaktari, dawa , vifaa n.k yafuatayo ni mambo nimejionea wakati namuuguza mdogo wangu aliyevunjika mguu
1. Vyoo vya wodini havina Maji
Yaani ni mpaka unashangaa kama upo hospitali ya Wilaya au zahanat ya Kijiji. Kama una mgonjwa inabidi uwe na...
Angekuwa Magufuli haya yasingetokea trust me uzembe umekuwa mkubwa sana ofisini siku hizi:
Nipo natazama ITV super brand mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya na wananchi walijitokeza wakati wa ajali mbaya iliyouwa Watanzania 20 watatu wakifua hospitalini wanathibitisha kuwa madaktari walipigiwa simu na...
Heshima sana,
Jana nilikuwa natokea Dar kwenda Arusha.Muda wa saa 2 asubuhi tukapitia hotel ya Kilimanjaro Bus pale Korogwe.
Nikaagiza mtori na sambusa tatu na mwenzangu naye akaagiza kama mimi.Baada ya kumaliza tukaletewa bill kibakuli cha Mtori tsh 5,000 sambusa moja 2,000.
Nikawauliza huu...
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba amempa saa 24 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe Vijijini, Khalfani Magani kujieleza kwa nini asichukuliwe hatua za kinidhamu kwa madai ya kuficha fedha za mfadhili za ujenzi wa shule.
Agizo hilo amelitoa jana Alhamisi Septemba Mosi 2022 wakati wa mkutano...
Korogwe Mjini, Tanga Karibu na Magereza, Kuna raia alikuwa na gari private akisafiri kuelekea Moshi kutokea DSM. Gari ilipata ajali barabarani kabisa kabisa na bar maarufu iitwayo the spirit, karibu na Magereza Korogwe.
Abiria alipelekwa Hospital ya Wilaya Magunga na akafariki the same day...
Mwongozo uliotolewa ni wale wote wenye sifa na waliotimiza vigezo kupelekwa kwenye halmashauri na kata zao ili wafanyiwe usaili!
Lakini kwa halmashauri ya Korogwe mjini Hali ni tofauti kwani tayari nafasi za Wasimamizi wa sensa viongozi wameshaweka watu wao!
Na mbaya zaidi Kuna waliotimiza...
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basila Mwanukuzi amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga, Bombo baada ya kupata ajali ya gari katika Barabara ya Tanga- Segera eneo la Hale Wilayani Korogwe.
Kaimu RPC wa Tanga, David Mwasimbo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo "Ajali imetokea usiku wa...
SITA WAFARIKI KWA AJALI TANGA.
Kutoka Tanga.
Watu sita wamefariki Dunia na wengine 19 wamejeruhiwa baada ya gari waliokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka wilayani Korogwe mkoani Tanga.
Akithibitisha kutokea Kwa ajali hiyo kamanda wa polisi mkoa wa Tanga Safia Jongo amesema ajali hiyo...
Taarifa zinaeleza kwamba Mwandishi huyo anayeripotia ITV kutokea Mkoa wa Tanga , amekamatwa na Polisi wa Korogwe na kulundikwa Sero kwa Amri ya Mkuu wa Wilaya hiyo , Ambaye pia ni Mlimbwende wa Tanzania wa miaka iliyopita Mtukufu Basila Mwanukuzi .
Bado haijafahamika kosa lake
Chanzo : Kitenge TV
Nitoe hongera kwa uwekezaji wa hotel /motel zilizopo Korogwe zinazohudumia Wasafiri wa kutoka Dar-Arusha.
Kiukweli japo bei ya vyakula ni juu kiasi ila nimeupenda huu uwekezaji, nashauri na maeneo mengine waige uwekezaji huu mzuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.