kosa la ubakaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nurdin aenda jela miaka 30 kwa kosa la ubakaji wa mwanafunzi

    Mahakama ya Mkoa wa Lindi imemhukumu Nurdin Mwanga, mkazi wa Mnolela, kwenda jela miaka 30 baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumbaka Mwanafunzi wa Sekondari mwenye umri wa miaka 16. Hukumu hiyo imetolewa Oktoba 08, 2026, katika Kesi Na. 19961 ya mwaka 2026, na Hakimu Mkazi Deliphine Kimati...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mkazi wa Njiapanda, Malampaka wilaya ya Maswa afungwa jela kwa kumbaka mwanafunzi wa miaka 11

    Mkazi wa kijiji cha Njiapanda, Malampaka kilichopo wilaya ya Maswa mkoani Simiyu.Charles Mwiburi(50)amehukumia kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mwanafunzi wa miaka 11. Hukumu hiyo imetolewa leo,Jumatano Aprili 16,2025 na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya wilaya ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mbeya: Wawili wahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa makosa ya kubaka

    Bwana Erick Lucas Simtengu [24] mkazi wa Kijiji cha Mbugani Wilayani Chunya amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Isenyela mwenye umri wa miaka 15 [Jina linahifadhiwa]. Hukumu hiyo imetolewa katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…