kosa

KOSA-TV, virtual and VHF digital channel 7, is a CBS-affiliated television station licensed to Odessa, Texas, United States and serving the Permian Basin area. The station is owned by Gray Television, as part of a de facto triopoly with MyNetworkTV affiliate KWWT (channel 30, also licensed to Odessa) and Big Spring-licensed CW+ affiliate KCWO-TV, channel 4 (which is simulcast in high definition on KOSA-TV's second digital subchannel); it is also sister to two low-power stations: Odessa-licensed Telemundo affiliate KTLE-LD, channel 7.5 (which is simulcast in standard definition on KOSA-TV's third digital subchannel and in high definition on KCWO's second digital subchannel), and Midland-licensed Cozi TV affiliate KMDF-LD (channel 30.5). The five stations share studios inside the Music City Mall on East 42nd Street in Odessa, with a secondary studio and news bureau in downtown Midland; KOSA-TV's transmitter is located on FM 866 west of Odessa. The station is relayed on low-power translator K31KJ-D in Big Spring.
On cable, KOSA-TV is carried on Reach Broadband channel 4, and on channel 7 on other systems in the market.

View More On Wikipedia.org
  1. Kutembea na mke wa mtu na kuzaa naye ni kosa kubwa sana

    Yaani inakuwaje unatembea na mke wa mtu mpaka unazaa nae. Hili ni jambo hatari sana katika jamii yetu.
  2. TFF yampa onyo kali Rais wa Yanga Hersi Said

    TFF imeipa onyo kali klabu ya Yanga kutokana na kitendo cha viongozi wake akiwemo Rais wake Hersi Said kuingia uwanjani na kupiga zogo na wachezaji wa Singida Black Stars baada ya mechi iliyochezwa hivi karibuni baina ya timu hizo mbili. Kitendo hicho kilichofanywa na viongozi hao wa Yanga...
  3. Dada poa ni wahalifu? Na wanakamatwa kwa kosa gani ambalo linajulikana kisheria?

    Habari Wana JamiiForums Napenda kujua hili suala la dada poa al maarufu Malaya hapa kwetu kumekuwa wakikamatwa nakupelekwa police ila sijawahi sikia hukumu zao zikitolewa mahakamani sasa nataka kujua hili swala kisheria likoje
  4. Hili kosa naliona sana na sijui kwanini linajirudia na linaniumiza zaidi kwakuwa wanaolifanya ni Wasomi kabisa

    Jamani tunapojitambulisha hasa katika Matukio au Maeneo mbalimbali hatupaswi kusema ....Majina yangu ni GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE JamiiForums bali tunatakiwa kusema / kujitambulisha kwa kusema.....Jina langu ni GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE JamiiForums sawa? Kosa hili likifanywa na Watu wasiosoma...
  5. A

    Kosa Dogo Ambalo Hupelekea Wakurugenzi Wa NGOs Kutumia Mamilioni Ya Fedha…

    Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGOs) ambayo yamesajiliwa kwa mjibu wa sheria ya mwaka 2002 ya Mashirika yasiyo ya Kiserikali, mashirika hayo yanawajibika kufanya marejesho ya taarifa za shughuli zake pamoja na taarifa zilizo kaguliwa na kuidhinishwa na mkaguzi aliyesajiliwa na Bodi ya Wahasibu...
  6. Mzazi alomfikisha Mahakaman Mwl Madrasa Kwa kosa la kuchapa watoto, akemewe popote pale anapoonekana na ikiwezekana Jamii imchukulie hatua

    Umeshindwa kumshikisha Mtoto wako Juzuu , umempeleka Madrasa, Elimu haimuingii mwanadam Kwa njia ya kufundishwa tu, Kuna vitu vingi vinavyochochea Elimu kumkaa MTU kichwani, Elimu inataka Nidhamu Kwa aina yake , Kwa mzazi wa namna hii, jambo la msingi Ilikua ni kuchukua mtoto wake na Kumtoa...
  7. Lile kosa ni la Camara sio Chasambi

    Rejeeni magoli mawili aliyofungwa kwenye mechi kati ya Coastal Union na Simba, ni kama la jana tu, anajitahidi kujiweka kwenye kiwango ambacho hana, matokeo yake anagawa uroda kirahisi. Hongera Chasambi, wewe na Bacca wa Yanga ni mabeki wenye magoli NBCPL. Keep it up bro.
  8. Kosa la chasambi tumeliona game nzuri tumeshuhudia ila Mpanzu ni habari nyingine

    Hiyo dabi yanga wajipange mpanzu anapasua vichaka jamaa ni mwepesi sana anapiga ma-uturn ya kiulaya yale mapasi kama wenzie watamuelewa vyema tegemeeni Yanga kufa goli nyingi hata kama Refa atakuwa Ramadhani Kayoko au Hersi Saidi..... kifupi Mpanzu hakupaswa kucheza kwenye hii ligi dhaifu ya...
  9. Kuchota mchanga uliokusanywa na Wafagiaji barabarani ni kosa?

    Habari wana JamiiForums, Kuna jambo naomba ufahamu kidogo hapa. Ukipita barabara za lami utakuta kuna mchanga umefagiliwa na wasafisha barabara na umewekwa pembezoni mwa barabara (ila ni kwenye lami). Je, kuchota mchanga huu ni kosa kisheria? Mfano wa huo mchanga ni kama kwenye picha hapo
  10. Lilikua kosa la kiufundi kumnyang'anya Lissu ubunge

    Huyu mwamba alipaswa kuwa Bungeni ili awe bize kujadili mambo ya Bungeni. Asahau mengine. Huku kukaa nje ya Bungeni kumemjenga Sana. 2025-2029 veggies tujipange
  11. F

    Leo wajumbe wa mkutano mkuu CHADEMA msifanye kosa la kukirudisha chama kwenye siku za uanaharakati

    Lissu hajaweza na hataweza kutoka kwenye hulka yake ya uanaharakati (activism). Hii ni hali ya chini kisiasa au utoto wa kisiasa. CHADEMA chini ya Mbowe kilishavuka hatua hiyo kitambo sana. Lissu ataivuruga CDM kwa mambo mengi ikiwa ni pamoja na kukosa uzoefu na uvumilivu kwa wanachama...
  12. J

    Kosa kubwa la watanzania na wafrika wote kwa ujumla ni kuabudu watu badala ya principles na integrity.

    ukiangaria siasa za Tanzania na afrika kwa ujumla kama ni mtu unaye fikiri vizuri utaona kunashida kubwa katika nchi zote za Africa. Shida kubwa sio tu kwa viogozi wa Africa tu bali hata raia wa Africa wote walisha kuwa watu wa kuabudu watu badala ya kuwalazimisha kufuwata...
  13. Mwenyekiti wa kijiji na serikali yake wahitajika kituo cha polisi kwa kosa la kuwahoji wafugaji walioingia kijijini bila utaratibu wa kisheria

    NAMTUMBO -RUVUMA Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mimi ni mkazi wa mjini Songea ila mzaliwa wa wilaya ya Namtumbo katika kijiji cha Songambele. Kutoka na maisha ya mjini na changamoto zake nikaamua kuja kijijini kwa ajili ya kilimo cha mahindi ili mambo yaende sawa...
  14. Msaada wa mawazo, mwenyekiti wa kijiji na halmashauri yake yatakiwa polisi kwa kosa la kwenda kuhoji wafugaji.

    Nimehamishia jukwa la siasa
  15. Kutembea na mwanafunzi siyo kosa kisheria

    Watu wengi wamekuwa wakishindwa kuwa na uelewa sahihi wa kisheria kuhusiana na swala la kutembea (kufanya mapenzi) na mwanafunzi. Kwenye sheria za Tanzania, hakuna kosa la kutembea (kufanya mapenzi) na mwanafunzi. Ili jambo liwe kosa kisheria ni lazima kuwe na sheria inayopiga marufuku kutenda...
  16. Naomba Ushauri Kwa Huyu Msichana Nimefanya Kosa Au Ni maringo yake tu

    Ebwaana Eeh Kilichonikuta jana Kabla ya mkesha wa Xmass Ni balaa! Kuna kimchepuko kimoja nilikipenda kutokana na kuwa ni kizuri sana na kina umbo zuri sana nikaona sio mbaya nikitongoze.. Mtoto yule nimemtongoza Ila akawa ananitolewa nje ooh Mimi nakupenda sana ila ningependa tuwe kama kaka na...
  17. U

    Mwanamke jina Happyness Khalfan amekatwa mkono na mume wake kwa kukataa asisome sms kwenye simu yake baada ya kuchelewa kurudi nyumbani

    #Repost @wasafifm —— Mwanamke aliyefahamika kwa jina la Happyness Khalfan amekatwa mkono na mume wake Charles Peter kwa kosa la kukataa asisome ujumbe mfupi (SMS) kwenye simu yake mara baada ya kuchelewa kurudi nyumbani. Tukio hilo limetokea mnamo tarehe Desemba 15, 2024 katika kata ya...
  18. Video: Jamaa atandikwa viboko kwa kosa la kumpiga mama yake mzazi.

    Huko Kilimanjaro ukifaya kosa utapigwa viboko vya kutosha mbele ya mama yako, mkeo, watoto wako na jamii kwa ujumla, ili iwe fundisho.
  19. D

    Kosa la Mbowe ni kumshauri Wenje kupambana na Lissu, kwa hasira Lissu akampandia juu. Uamuzi ambao nauona sahihi kwake hata akishindwa

    Ulitafakari kwa makini baadhi ya sentwsi na sababu za Lissu kuamua kuachana na umakamu hoja ya msingi kaificha. Lakini ukweli uliojificha ni hasira zake dhidi analoamini lina kiburi cha fedha za Abdul na mama yake kutaka kumpora cheo ndani ya chama. Lissu aliamini kabisa akishindana na Wenje...
  20. Mwanamke kunyoa sehemu za Siri bila ruhusa ya mme wake, ni kosa la kuvunja ndoa

    Hapa wengi watabisha, kwakuwa Mila zetu za ki Africa zilipigwa teke Mwanamke aliyefundwa, aliyeenda unyagoni ni marufuku kunyoa sehemu zake za Siri bila ridhaa ya mmewe Kitendo cha mwanamke kujiamulia kunyoa sehemu zake za Siri ni ishara ya umalaya na dharau kubwa Kwa mme wake Mwanamke kunyoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…