Inafamika kuwa Serikali inakusanya Kodi kutoka kwa wananchi, na inakopa kwa niaba ya wananchi wake, inafahamika pia kuwa serikali inapanga na kutekeleza mipango kwa kutumia fedha za wananchi. Je, wananchi hawezi kuishitaki serikali Yao kwa kupangiwa mipango mibaya iliyowatia hasara wananchi...