kosa

KOSA-TV, virtual and VHF digital channel 7, is a CBS-affiliated television station licensed to Odessa, Texas, United States and serving the Permian Basin area. The station is owned by Gray Television, as part of a de facto triopoly with MyNetworkTV affiliate KWWT (channel 30, also licensed to Odessa) and Big Spring-licensed CW+ affiliate KCWO-TV, channel 4 (which is simulcast in high definition on KOSA-TV's second digital subchannel); it is also sister to two low-power stations: Odessa-licensed Telemundo affiliate KTLE-LD, channel 7.5 (which is simulcast in standard definition on KOSA-TV's third digital subchannel and in high definition on KCWO's second digital subchannel), and Midland-licensed Cozi TV affiliate KMDF-LD (channel 30.5). The five stations share studios inside the Music City Mall on East 42nd Street in Odessa, with a secondary studio and news bureau in downtown Midland; KOSA-TV's transmitter is located on FM 866 west of Odessa. The station is relayed on low-power translator K31KJ-D in Big Spring.
On cable, KOSA-TV is carried on Reach Broadband channel 4, and on channel 7 on other systems in the market.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Niseme nisiseme? Watoto kufundishwa ulawiti huko Kilimanjaro kosa ni la Serikali

    Shule zinazotumia mitaala ya nje lkn zinasajiliwa hapa nchini na serikali yetu zinaongezeka kila uchwao. Lakini cha kushangaza ni kwamba waliopewa dhamana ya kutoa usajil kwa shule hizo (wizara ya elimu) hawajisumbui kukagua kwa undani kilichomo ndani ya mitaala hiyo. Kilichotokea Kilimanjaro...
  2. Kosa la kulawiti mtoto chini ya miaka 18: Adhabu ni kifungo cha maisha gerezani

    Ukimlawiti (kumwingilia kinyume na maumbile) mtoto (wa kike au wa kiume) wa chini ya miaka 18, adhabu ni kifungo cha maisha jela (life imprisonment). Adhabu hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 154(2) cha sheria ya Kanuni ya Adhabu (Penal Code) Sura ya 16 (Cap. 16), kama ilivyofanyiwa marejeo...
  3. S

    Nilishaeleza kwanini hatupaswi kuona ni kosa kwa Tanzania kukopa fedha za miradi kutoka nje, kwa kuwa tusipokopa athari zake ni hizi hapa

    Watanzania wengi hawaelewi kwamba suala la kutekeleza miradi mikubwa nchini kwa kutumia fedha yetu ya ndani sio suala la kujivunia wala kujisifia hata kidogo. limetuletea maumivu makali katika karibu kila sehemu ya uchumi, hasa wakati wa Magufuli. Miradi ya Magufuli aliyojivunia kutumia fedha...
  4. Kupiga Honi ovyo au maeneo ya Shule, Mahakamani na Hospitali ni kosa kisheria

    Dereva anatakiwa kutumia honi tu iwapo ni lazima katika kuwaonya watumiaji wengine wa barabara au kuwajulisha kuwa kuna gari nyingie ipo karibu nao. Sheria ya Usalama Barabarani ya mwaka 1973 Kifungu cha 39 (3) Sura ya 168 inawakataza Madereva kutumia Honi katika #Kusalimia, Kuonesha hisia...
  5. Sakata la vitendanishi; Aliyerekodi ageukwa, Rose hana kosa

    Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) kimesema kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii tarehe 05 January 2023, na kuzua taharuki kwa jamii ikiwahusisha Watumishi wa Kada ya Afya wawili ambao ni Rose Shirima (Muuguzi Mkunga) na James Getogo Chuchu...
  6. Je ni kosa kisheria kulala na kahaba?

    KUNA mwananzengo mwenzetu alikamatwa usiku uliopita kwenye vyumba vya Wale wanawake wa lile kabila wakiuza Tukuyu zao. Polisi wanasema wamemkamata kwa uzembe nanuzururaji, je mtu anaweza kuzurura chumbani?
  7. Ukraine wapewa kichapo kwa kosa lao

    More than 600 Ukrainian troops killed in ‘retaliation operation’ – Moscow The strike in Kramatorsk was a response to the Ukrainian shelling of Makeyevka on New Year’s night, the Defense Ministry says More than 600 of Kiev’s troops have been eliminated in a Russian missile strike in the...
  8. Ukraine wapewa kichapo kwa. kosa lao ..

    More than 600 Ukrainian troops killed in ‘retaliation operation’ – Moscow The strike in Kramatorsk was a response to the Ukrainian shelling of Makeyevka on New Year’s night, the Defense Ministry says More than 600 of Kiev’s troops have been eliminated in a Russian missile strike in the...
  9. Rose Shirima hana kosa lolote, mwenye Makosa ni James Getogo kuibua makosa ya serikali/mwajiri wake

    ROSE SHIRIMA HANA KOSA LOLOTE, MWENYE MAKOSA NI JAMES GETOGO KUIBUA MAKOSA YA SERIKALI/MWAJIRI WAKE Anaandika, Robert Heriel. Watanzania Wengi tunapenda Sana mambo ya kudandia dandia mambo. Kufuata Mkumbo. Kwenye nchi hii ni rahisi Sana kumchafua MTU na watu wakaamini na kumuona MTU Fulani ni...
  10. Kuuliza si ujinga: Hivi Diwani Athumani kashuka au kapanda?

    Wala hakuna tatizo lolote jamani, nimeuliza tu maana kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS hadi kuwa Katibu Mkuu Ikulu, sijajua wapi ni juu? Je, sasa amepandishwa cheo au ameshushwa? Natanguliza shukrani.
  11. Ni kosa nililolijutia kuwa na mke wa mtu mwaka 2023. Huyu mwanamke anaviranga

    Kama mjuavyo bongo Ina raia wengi wa Tanzania wenye ndg zao mataifa ya arabuni. Basi bana jamaa alikubali Kiulainii asijue amedanganywa bin kudanga. Mkewe anakubali safari Dubai na marafiki kubiashara. Huyu mwanamke Hana hata genge la nyanya. Ameomba aende majuu na mashoga zake ajifunz biashara...
  12. BASATA, kosa la Dulla Makabila ni lipi akionesha Mchungaji akihukumiwa kwenda moto wa milele?

    Katika wimbo wa Dulla Makabila wa Pita huku, kaelelezea hukumu ya adhabu ya moto wa milele. Kwamba hukumu hii inaweza kumpata yeyote kutegemea na matendo yake maovu aliyoyafanya hapa Duniani. Haidhalilishi wadhifa aliokuwa nao hapa Duniani. Kaonesha daktari, mchungaji na watu wengine mbali...
  13. Kosa wanalolifanya watu wengi na kuwagharimu katika maisha yao yote.

    Habari! Katika maisha watu wengi wanasahau kuweka kumbukumbu ya watu wanaokutana nao na reactions zao. Kila mtu unayekutana anaweza kuwa daraja la kupanda , kushuka au neutral yaani ni mtu tu hana msaada kwako na hawezi kuwa daraja la kukushusha. Mtu ambaye ni adui atabaki kuwa adui tu maisha...
  14. D

    Kichaa cha kulogewa huonesha kosa ulilofanya

    Ukipita pita huko mtaani angaza! 1. Vichaa wengi walioiba nguo wanapenda kukaa uchi huku wakiwa na furushi mgongoni. 2. Kichaa aliyeiba bodaboda hakosi ELEMET kichwani au koti/refrecta. 3. Kichaa aliyekula mke wa mtu muda wote mbele za watu akifika hukata mauno au kupampu kiuno mwanzo mwisho...
  15. Kosa kubwa alilofanya Hayati Magufuli ni kupambana na adui bandia na kuacha maadui halisi. Wenye ndoto za kuwa Rais mjifunze

    Kwema Wakuu! Ndio nimeamka sasa hivi Hapa, nikaota na kuambiwa kuwa JPM alipambana na maadui Bandia huku akiwaacha Maadui halisi wakipeta. Ndoto hiyo ambayo nina uhakika nayo Kwa Asilimia Mia moja inanipa tafsiri kuwa JPM alishindwa kutambua maadui wake halisi na Hilo kwenye uwanja wa vita ni...
  16. Mkurugenzi Tanesco: Jamii ielewe, sekta binafsi kuzalisha umeme sio tatizo. Adai ndio namna ya kufikia malengo

    Mkurugenzi wa Tanesco, Maharage Chande ameongelea mahitaji ya umeme miaka ijayo ambapo amesema mpaka 2035 angalau megawatt 80,000 zitahitajika akikadiria nchi itakuwa na watu milioni 70-80 kutoka milioni 61 iliyopo sasa ili watoto wanaokua wapate ajira kwenye viwanda na kinyume chake itakuwa...
  17. Kosa la Dr. Bashiru ni kusema, "Tusichague Mtu kwa Ubwabwa, kofia, Kanga wala Tshirt

    Dr. Bashiru anauliza, tabia yenu na mienendo yenu wakati wa Uchaguzi ikoje? Chama mnachokichagua mnakijua? Mnaye mchagua mnamjua? Tusichague Mtu kwasababu ametupa Ubwabwa, kofia, Kanga, pesa au Tshirt. Dhana ya Uwajibikaji: Muna nafasi gani kusimamia Serikali ili iwe upande wenu? Veo vyote...
  18. S

    CCM na wanaccm, nini kosa la Bashiru? Demokrasia kwenu ni nongwa?

    Sijafurahishwa na mfululizo wa kejeli, matusi na majibu dhidi ya Dr. Bashiru mara baada ya yeye kutumia Uhuru wa kikatiba wa kujieleza. Nafahamu akiwa "mtoto pendwa" awamu ya 5 Dr. Bashiru aliwahi kunena maneno ya makufuru dhidi wa watanzania kwamba "ccm itatumia hata vyombo vya dola ili...
  19. Hivi Taifa lolote likiwa na 'Crisis' ya Maji na Umeme 'Kiusalama' kutangaza 'State of Emergency' ni Kosa au Kujidhalilisha?

    Na je, Maadui ( wenye Utaalam na walioiva Kimedani ) hawawezi kutumia Crisis ya Kukosekana kwa Maji na Umeme katika Taifa lolote duniani katika Kujipanga Kimashambulizi na hata Kuliharibu ( Kuliteketeza ) Taifa na Kizazi chake? ONYO Katika haya Maelezo yangu hapa sijaitaja nchi yoyote ile sasa...
  20. Kosa la ndugu yangu halijaniacha salama

    Wasalaam wakuu Ngoja nikupe stori kwa ufupi ili uone ni namna gani unaweza kunishauri.. Miaka kama 2 iliyopita nilikuwa nafanya katika kampuni flani hivi, nilipata marafiki wengi pale. Miongoni mwao yupo mmoja ambaye ni rafiki(rafiki kweli kweli!) Ambaye tumekuwa tukiShare mambo mengi. Siku sio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…