Nawasalimu nyote.
Huyu ni binti wa Kizanzibar, ingawa maisha yake ni bara huku, binti wa miaka 19 au 20 ivi, Bado Yuko kwa wazazi, nazan ni mtoto wa mwisho pale kwao.
Pale kwao ni mabingwa wa kutengeneza vitafunwa Sana, na mm ni mteja wao, kwa vile vitafunwa vyao ni pendwa ukichelewa tu...