Kama umefuatilia angalau chache kati ya post zangu, utagundua kuna maneno huwa yanajirudia, mfano: DUNIA IMEJAA UONGO, UNACHOONA SICHO KILICHOPO, nk.
I mean what I say.
Kile ambacho dunia iliambiwa ni sababu za kuvamiwa na kuuawa kwa Sadamu Hussein ni uongo
Kile ambacho dunia iliambiwa ni...