Tofauti nasie Me, Mwanamke anaposaliti kuchepuka ,ameamua kufanya hivo Kihisia, na hii inamaana Akili yake yote inakua imeshajikubali na ipo tayari kwa lolote.
Sasa Basi, Unapotokea umegundua Mkeo, mwanamke wako Kakusaliti, ama umefuma Namba za huyo jamaa na meseji. Ama ni taarifa tu unazopewa...