kozi

Közi is a Japanese musician, singer-songwriter and DJ. He is best known as guitarist for the visual kei rock band Malice Mizer. After the band went on indefinite hiatus in 2001, he formed the industrial rock duo Eve of Destiny and also started a solo career. Közi is currently in the bands Dalle, XA-VAT, ZIZ and Vamquet, while occasionally performing solo shows.
During his time in Malice Mizer, Közi often assumed the role of a pierrot doll, dressing in clown-like costumes with large ruffs, always in shades of red, his favorite color. In music videos and on-stage he would often make movements reminiscent of a marionette. Közi has continued this visual style to some extent, but his contemporary stage costumes are more gothic. His work on the Izayoi no Tsuki project was reminiscent of carnival music, and artwork for his projects usually follow a dramatic, theatrical theme. Very few details about his private life are known.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    Naomba kuuliza kuhusu kozi ya International Relations and Diplomacy

    Wakuu naomba mnisaidie sehemu za kupata field ya mtu aliesomea kozi ya International Relations and Diplomacy, kwasababu nahangaika Hadi now sijapata field, yaani duuuuh!!!! 🤔 0787044620 my number
  2. I

    Ipi tofauti ya kozi hizi??

    Habarini wana jf,hamjambo? Kama kilivyo kichwa cha habari,naamini humu kuna wajuzi wengi wa elimu mbalimbali,ni kwamba jambo hili limekuwa likinikereketa kwa mda mrefu sasa,ni hivi huwa najiuliza (uenda kulingana na uelewa wangu),hizi kozi au fani mfano uhasibu,finance,uchumi,hivi...
  3. Kozi na chuo kizuri kusoma digrii

    Habari wakuu Natanguliza shukurani Mimi ni muhitimu wa Diploma in Insurance and Risk Management, but nataka niende degree this year, ila nahitaji kubadilisha course ambayo iko marketable, naombeni ushauri nisome course gani wakuu na chuo gani. 🤔
  4. J

    Kwa matokeo haya naweza kwenda advance kwenye shule za serekali na kwa kozi gani?

    Habari zenu wapendwa mimi nimemaliza form four mwaka wa jana matokeo yametoka mwaka huu sasa nilikuwa na omba kuuliza kwa matokeo haya naweza kuchaguliwa kidato cha tano katika shule za serikali na kama ndio kwa combination gani ? matokeo yenyewe ni MATHEMATICS (C) , CHEMISTRY (C) , BIOLOGY (C)...
  5. I

    Ni kozi gani??

    Ni kozi gani? Ambayo huwezi mshauri ndugu au rafiki au mtoto wako aisome??
  6. W

    Kafaulu freshi form 4 anataka aende kusomea computer, Aende kusomea Taaluma ipi na chuo gani ?

    Nina wadogo zangu baadhi wameamua kwenda kuanza mapema kusomea Taaluma vyuoni. Nikiwa kama mtu mzima ninayezijua changamoto za wahitimu wa sekondari kupata wakati mgumu kuchagua taaluma ya kusomea nimeona nifanye extra research wasikurupuke kusomea vitu watavyojutia baada ya kuhitimu. Kuna...
  7. P

    Ameacha chuo mwaka wa pili kozi ya clinical medicine na anataka kwenda kusoma degree ya ufamasia

    Hello habari kuna dogo kaamua kuacha kozi ya clinical medicine na kwenda kozi ya ufamasia ,na alikuwa anafanya vizuri tu sasa ilikuwa anakarbia kufanya mtihani wa cat one mwaka wa pili kaamua kuacha anataka akasome ufamasia tumemweleza aendelee kwanza na diploma afu atajiendeleza badae hataki...
  8. P

    Waliosoma uganda au wenye kujua kuhusu hii kozi ya ufamasia nchini uganda

    Wakuu habari,hivi ni vyuo vikuu gani vizuri Kwa kozi ya pharmacy ngazi ya degree nchini Uganda nataka nimpeleke ndugu yangu akasome huko Uganda msaada wakubwa
  9. Kubadilisha kozi ukiwa umeajiriwa na Serikali

    Habari JamiiForums, Nina maswali mawili kidogo. 1. Nahitaji kukuuliza swali kidogo, hivi mtu akiajiriwa na Serikali anatakiwa kukaa miaka mingapi kazini ndo akasome tena mfano ana diploma anataka degree🙏 2. Na mfano Serikali imekuajiri kama mtu mwenye diploma ya environment health na unataka...
  10. Kwanini kozi za uongozi wa serikali za mitaa zitolewe chuo kikuu mzumbe halafu za maedeleo vijijni zitolewe Chuo mipango Dodoma?

    Samia yuko Morogoro, time to trigger Hawa wa mitaa waungane hapo Dodoma?
  11. Data management

    Habari wakuu naombeni mimi ni CO muajiriwa serikalin kutokana na kuwa na muda mwingi kazin kwangu nimewaza kusoma kozi ya data management pale open university bika kuomba ruhusa kazin,vipi kuhusu upatikanaji wa ajira au recategorization nitakapomaliza degree yangu?
  12. Nahitaji kusoma kozi za Mtandaoni

    Naombeni msaada wa uelewa kuhusu online courses, nahitaji kusoma online je niwapi nitapata course za online ambazo nitakuwa certfied? Na je hizi course gharama yake ikoje? Je ziko kozi za bure mitandaoni ambazo ukisoma unaweza kupata ujuzi fulani? Ni site zipi nitapata hizo kozi?
  13. Kati ya IT(Information Technology) na Computer Science je ni kozi ipi Ina fursa zaidi na inaongoza kwa watu wengi waliofanikiwa?

    Wadau msaada Je, kati ya IT(Information Technology) na Computer Science je ni kozi ipi Ina fursa zaidi na inaongoza kwa watu wengi waliofanikiwa?
  14. Sijapata mkopo kwa ajili ya diploma katika kozi ya Clinical Dentistry

    Wakuu habari za saa, Mimi ni mwanafunzi niliyechaguliwa Kozi ya clinical dentistry . Katika utoaji wa mkopo Kozi yangu pia ni moja ya kozi iliyopewa kipaumbele kupata mkopo ngazi ya diploma. Lakini tangu nilipofanya application mwezi wa nane mwaka huu hadi Leo hii batch zote zilizotangazwa...
  15. J

    Muda wa kwenda chuo mwezi huu vitu gani vya msingi kwa mwaka wa kwanza kuwa navyo hasa kwa Kozi za Udaktari

    Na kuhusu vyuo vya udaktari Bora
  16. Serikali itambue kozi ya Health Information Science kwenye portal ya ajira za serikali

    Tunaomba serikali itambue kozi ya Health information Science kwenye Portal za Ajira za serikali. Je, serikali Ina mikakati gani? Maana huu ni mwa wa Saba na intake ya 8 Toka ianzishwe pia serikali tunapenda kupate mwafaka maana wengn tunatoka familia masikini Pili, funguo la kujitolea Kwa...
  17. Naombeni ushauri chuo gani kizuri kwa kozi ya ICT

    Naombeni ushauri chuo gani kizuri kwa kozi ya ICT kati ya vyuo hivyo hapo kwa level ya degree!. Chuo kizuri kwa kozi ya ict kati ya must, arusha tech na ardhi
  18. Kwa Dar es salaam. Ni wapi naweza kwenda kusoma kozi ya Store keeping japo Nipatie Certificate tu.

    Nitashukuru zaidi kama utaniambia na Bei ya hiyo kozi na muda wake hadi kozi kuisha. Natanguliza shukrani
  19. S

    Wadau ninasoma bachelor of science in chemistry sion future katika hii kozi naomb ushauri

    Wadau mimi ni mwanachuo nasom bachelor of science in chemistry mwaka wa pili lakini sioni future katika hii kozi kutokana na uhaba wa ajira na msoto wa waliomaliza naombeni ushauri
  20. J

    Naomba ushauri namna ya kuhama kozi chuo cha udom

    Samahani viongoz wangu!Nilikuwa naomba mnisaidie je naweza kuhama kozi katika chuo cha udom kutoka nursing kwenda pharmacy au md nanabidi nifuate hatua zp? Na itakuaje kuhusu mkopo? Naomben msaada wenu nilikuwa pcb ufaul wa CBC yan points 8
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…