kuacha kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. David Harvey

    USHAURI: Nataka kuacha kazi ila nina mkopo Benki

    Habari za asubuhi? Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza nimeajiriwa na serikali taaluma yangu ni Daktari wa binadamu (medical doctor) kuna mkopo nimechukua wa thamani ya mil 35. Nimefungua pharmacy pamoja na maabara. Nataka niache kazi nisimamie biashara zangu. Je, nikikimbia serikali...
  2. kyagata

    Nina wiki ya pili kazini, ila nataka kuacha kazi

    Mazingira ya hii kampuni tu hayajanivutia. Ni kazi ya mkataba wa mwaka mmoja(renewable). So naona siwezi kuendelea nao mbele. Ndio kwanza nina week ya pili kazini ila nataka kuacha. Mnanishaurije?
  3. mwenye shamba

    Je, aliyewahi kuacha kazi anaweza kuomba tena kazi na akapata?

    Wakuu kwema? Wayback kidogo bro wangu aliajiriwa serikalini sekta ya afya huko mtwarwa, alifanya kazi kwa miaka 3 na akaacha kazi kwa sababu anazozijua yeye. Baada ya muda kupita maisha yamemnyoosha vilivyo,nimeona juzi anadai amefanikiwa kutuma maombi Swali; Je, anaweza kuajiriwa tena?
  4. Hivi punde

    Natengeneza 30,000/= kwa Siku, niache kazi Serikalini?

    Wakuu, poleni na majukumu ya hapa na pale. Mimi ni mtumishi wa serikali kwa miaka takribani 7 hivi na mwenye mshahara (take home) usiozidi 700,000/= kwa mwezi. Kwa hili namshukuru MUNGU. Kuna biashara ninafanya ya vyakula vya binadamu kwa miezi takribani 8 sasa, ninaingiza faida ya kati ya Sh...
  5. Rurakha

    Uamuzi wa kuacha kazi baada ya mapato ya biashara kuzidi mshahara

    Habari zenu wadau mimi ni muajiriwa sekta binafsi Katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita nilikuwa najishughulisha na ujasiriamali mambo yalikuwa magum sana sikua na mtaji wa kutosha kuhimili soko na ushindani na ilifika wakati hata kodi ilisumbua Namshukuru mungu nilipata ajira kwa mkataba wa...
  6. Too face

    Mawazo yenu tafadhali, nakaribia kuacha kazi

    Kwenu wakuu I hope mko salama.. Nianze kwa kusema mi ni mtumishi idara ya elimu halmashauri flani SINGIDA. SHIDA YANGU KUU NI UHAMISHO kutoka SINGIDA KURUDI DAR WILAYA YOYOTE ILE HATA PEMBEZONI MWA MJI TU!! Nimejaribu Mara kadhaa kufanya process za uhamisho lakini zinadunda kila nikiandika...
  7. S

    Ndugu yangu amenipa sharti la kuacha kazi ya kuajiriwa ili anipe mtaji wa Tshs 200M nianze shughuli yangu mwenyewe lakini sijui nifanye shughuli gani!

    Mara nyingi nimetetea uraia pacha ili wana Diaspora wapewe nafasi za kuwekeza nchini. Sababu kubwa ya kufanya hivyo ni kwamba nina ndugu yangu huko nje alichukua uraia wa huko, na sasa anasema inakuwa vigumu kuwekeza Tanzania kwa kuwa yeye sio raia tena wa Tanzania. Sasa juzi hapa kanishauri...
  8. sinza pazuri

    Msaada namna ya kuacha kazi ili upate stahiki zako zote

    Kwa sekta binafsi dogo ni mgonjwa. Yupo sick leave karibu two months sasa na anasema hataki tena kufanya kazi anataka apumzike kwa muda. Mnaozijua sheria tuambieni afanyaje ili achukue stahiki kama gratuity, pesa ya mizigo nk
  9. kikiboxer

    Sheria inasemaje kuhusu kuacha kazi kwa kutoa notice ya mwezi mmoja?

    Wakuu kuna sehemu nataka niachie ngazi ili kupata muda wa kufanya mambo yangu mengine. Sasa wakati naplan kuondoka ningependa kujua sheria ipoje kwa upande wangu. Je baada ya kutoa notice ya mwezi mmoja nitatakiwa kufanya kazi huo mwezi bila malipo au nikitoa notice tu inatosha na huo mwezi...
  10. K

    Taarifa kwamba wapo wakuu wa wilaya wameomba kuacha kazi kwa ajili ya majukumu mengine binafsi zina ukweli?

    Zipo taarifa nimesoma kwenye group moja la WhatsApp kwamba baadhi ya wakuu wa Wilaya wamepata mchongo mpya na wameomba waruhusiwe kwenda kuimarisha carrier zao japo majibu hayajatoka. Rafiki wa karibu wa DC mmoja Kanda ya ziwa anaeleza kwamba rafiki yake ameshaomba na ametuma baadhi ya wazee...
  11. mapipando

    Nimefikiri hivi katika kuogeza kipato

    Heshima kwenu wakuu. Nilianzisha uzi hapa "huu ni mwaka wangu wa mwisho kuajiriwa" na kweli nilipanga kuacha kazi baada ya kuona mshahara hautoshelezi mahitaji yangu na familia kwa ujumla. Lakini kutokana na baadhi ya michango yenu hasa mlioniambia nisiache kazi bali nitafute namna yeyote...
Back
Top Bottom