Wakuu, poleni na majukumu ya hapa na pale.
Mimi ni mtumishi wa serikali kwa miaka takribani 7 hivi na mwenye mshahara (take home) usiozidi 700,000/= kwa mwezi. Kwa hili namshukuru MUNGU.
Kuna biashara ninafanya ya vyakula vya binadamu kwa miezi takribani 8 sasa, ninaingiza faida ya kati ya Sh...