kuacha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vitu 15+ unavyotakiwa kuacha kununua unapotimiza miaka 50

    Wasalaam. Leo naongea na wazee wenzangu, team nakataa ndoa na timu tunda kimasihara tafadhalini mtulie. 1. JIEPUSHE KUKIMBIZANA NA FASHENI ZA VIJANA Sio kila nguo ya vijana itakupendeza. Kumbuka kipindi hiki shape yako inakuwa imebadilika sana na haifanani tena na miili na maumbo ya vijana...
  2. Binti aandika barua kuacha shule, auza sare na madaftari

    Mzee Salum Bakari amesikitishwa na kitendo cha binti yake kuandika barua ya kuacha shule na kuuza sare zake kisha kutoroka nyumbani. Akizungumza na Mwananchi nyumbani kwake amesema kuwa siku ya tukio aliitwa shuleni na Mkuu wa shule ambayo anasoma binti ake kidato cha kwanza. “Kwanza alianza...
  3. T

    Kuanguka kwa Taifa la Marekani kwakaribia. Ni suala la muda tu; Mungu hawezi kuacha upuuzi wa nchi hiyo kuendelea

    Enzi na enzi, Mungu huchukizwa mno na ushoga! Na timbwili la kuanguka kwa Taifa hili kubwa Duniani_ inaanzia hapa. Mungu kuonyesha kwamba huchukizwa na upumbavu huo na havumilii kabisa kufuru hizo, aliwawasha moto Sodoma na Gomola. Kitendo cha Marekani kuacha misingi yake na kujikabidhi kwa...
  4. K

    Wale wanaotamba "Najua kuacha sijui kuachwa" mara nyingi baadae huwa wasumbufu kwa wapenzi waliowaacha

    Kuna wale wanajionaga mafundi wa mapenzi sababu ya mionekano yao,uzuri au fedha zao wanajiamini kwamba wanajua kuacha hawajui kuacha,ila baadae hujaga kuwa wasumbufu. Nakumbuka nilikuwa na demu mmoja mzuri, ki ukweli huyu demu alikuwa mzuri Black beauty bonge la figure, halafu mara nyingi...
  5. Njoo tushauriane jinsi ya kuacha kazi sehemu moja na kufuata greener pasture

    Hii imemtokea rafik angu kapata offer nzuri kampuni ingine kutokana na utendaji wake. Sehemu aliyopo kamaliza contract wanamlipa vizuri na anaishi vizuri tuu hapa mjini. Kawapa demand zake Ili a renew contract ila wamesema hawata ongeza maslah Kwa kiwango anacho taka yeye. Amefanya na hao...
  6. Papa Francis aitaka Urusi kuacha vita vya kipuuzi na kikatili

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amerejea wito wake wa kutaka kusitishwa kile alichokiita vita vya "kipuuzi na kikatili" nchini Ukraine. Wito huo ameutoa Jumatano mjini Vatican, katika hadhara yake ya kila juma, ikiwa ni kipindi kifupi kabla ya kutimia mwaka mmoja tangu...
  7. Abiria wa Precision Air, Walazimishwa kuacha mizigo Mwanza kwamba ndege imejaa

    Mwanza: Wasafiri ya Ndege ya Precision Air, Wakatazwa kupanda na mizigo yao kwa sababu ya ndege kujaa sana na haina uwezo kwa sababu za kiufundi Kitendo hicho kimewatia wasiwasi wasafiri wa ndege hiyo ambao imechukua masaa mawili hadi kukubali kupanda ndege hiyo ambayo walitaka maelezo ya kina...
  8. Tunaoshindwa, waliolishindwa na wasioweza kuacha kubet (mpira) au kucheza dubwi la Mchina au vyote (kamali) tujuane

    Wasalaam JF Tuwe wakweli mbele za Mungu, mimi kiukweli napenda sana kubet 1X na 2X kwa mzungu yaani meridianbet online, kwa wiki mara 3 kila nikiwaza kuacha nashindwa. Kama ni kula nakula kweli ila sasa natamani kuacha kabisa nashindwa kwa sababu winners za betting ndio zinanifanya niwe na...
  9. L

    Marekani yapaswa kuacha wasiwasi wa kupita kiasi kuhusu China

    Hivi karibuni puto moja la uchunguzi wa hali ya hewa la China ambalo lilifika Marekani kwa bahati mbaya limefuatiliwa sana na Wamarekani. Kutoka kugundua puto hilo tarehe Mosi hadi kuiliangusha kwa makombora tarehe 4 mwezi huu, baadhi ya wanasiasa wa Marekani wametumia fursa hiyo kuchochea wazo...
  10. Hotuba za Waitara Bungeni zinafanana na mtu anayeaga Bunge, ila anataka kuacha legacy tu

    Hotuba zake zinafanana na mtu mwenye msongo wa mawazo, ni kama anaona Kuna jitu linamfata, kama vile linamkimbiza, anasikia linapiga hatua nyuma yake, na akiangalia kushoto kulia, hana msaada aliozoea kuipata miaka michache iliyopita. Hana koti la uwaziri, hana mkono wa chuma ambao ulikuwa...
  11. Nimeshindwa kabisa kuacha kamari wenzangu mliwezaje?

    Ninapozungumzia kamari siyo hii mikeka ya jero. Nazungumzia spin and win, Trukey, Russian and European roulette, poker, black jack, Barrancas wheel of fortune nk, hizi unacheza na dealers yaani ni kugongwa tu. Kuna movie zinaitwa 👉God of gamblers 1, 2 , 3 weonesha uhuni wote unaofanywa na...
  12. TP Mazembe ya Katumbi niijuayo Mimi haiwezi kuacha Mchezaji mzuri na ikimuacha jua huyo ni 'Kapi' na hafai Kwingineko

    Ningeletewa Manzoki pale mbele, Bobosi hapa katikati na akarejeshwa Miquissone upande wa winga ya Kulia halafu nikampata na Kiungo wa Ulinzi halisia Mukoko kisha nikampata yule beki wa kushoto Mkongo (Bandeko Nangai) Baraka kutoka Namungo FC halafu tukampata na Kipa wa Kigeni wa Kumtia Adabu...
  13. CCM mnafeli wapi? Hiki kizazi cha nyoka mlichotengeneza ndiyo mkishawishi kuacha kulima na kubeti?

    Mmeharibu elimu, leo hii mtoto anamaliza Form Six hawezi kusoma na kuandika. Hawezi kufanya reasoning. Leo kama kijana hawezi kureason na kuwa na general knowledge mbagemea atakuwa mvuvi, mkulima au mfugaji? Mmesahau enzi zile kulikuwa na Sayansi, maarifa na Hesabu ilisaidia vijana kupata...
  14. Azimia kuacha kuangalia video/picha za ngono 2023

    Watu Wana malengo mengi Sana kila mwaka mpya ukianza na mengine ni Makubwa mno hata hayatekelezeki hata katika ndoto kwasababu hakuna ajuaye kesho yake, ingawa hii haitufanyi tusiache kuweka malengo. Ndugu zangu ili tufanikiwe basi tunahitaji Sana msaada wa Mwenyezi Mungu, kwani si akili zetu...
  15. Nimeamua kuacha kutafuta dada poa

    Nawasalimu ndugu zangu Huu uzi ni sawa na mrejesho wa uzi wangu uliopita juu ya sintofahamu yangu kuhusu upatikanaji wa Dada poa maeneo ya Mbezi Mwisho Nawashukuru wadau walichangia, wakanielekeza machimbo. Nami nilihakikisha nafika ili nipate mbususu, basi nilifika eneo hilo Lubumbashi Bar...
  16. Mwenye mbinu za kuacha mke anisaidie

    Wadau uzi huu nauleta kwenu.. Nataka niachane nae huyu mwanamke nilonae nilitoa posa tu ya elf 50, mahari sijatoa bado alikuja kwangu mwaka 2020 akang'ang'ania magetoni. Akakaa miezi miwili watu wakanitsha ikabidi nimtolee posa il kwao wajue niko naye. Sasa tumebahatika kupata mtoto mmoja ila...
  17. Rafu aliyochezewa leo Inonga iwe ni funzo kwake kuacha sifa za kijinga, ushamba na utoto

    GENTAMYCINE (Shabiki Tukuka wa Simba SC) nilishawahi kuandika Mada (Thread) hapa hapa JamiiForums ya Kuwaonya akina Inonga na Sakho juu ya Uchezaji Wao wa anao anao mwingi na kutafuta Sifa kwa Majukwaa huku Nikionya kuwa ipo Siku yatawakuta makubwa. Sikueleweka na baadhi ila nina baada ya...
  18. L

    Nchi za Magharibi zapaswa kuacha mara moja uchochezi wa “kutengana na China”

    Shirikisho la Kuhimiza Biashara la China hivi karibuni limehoji zaidi ya makampuni 160 ya kigeni nchini China, na matokeo ya hojaji hiyo yameonyesha kuwa, asilimia 98.7 ya makampuni yana nia ya kudumisha na kupanua uwekezaji nchini China, na asilimia 10.2 yanapanga kuhamishia viwanda vyao nchini...
  19. B

    Ni Wakati wa Serikali kuacha Ubaguzi wa Sisi Wakazi wa Oysterbay. Nimekasirishwa sana na hili jambo

    Nimekuwa nikitumiwa jumbe na wananchi walioko Tanzania mi nikiwa huku Argentina ( bado jamaa wanasherehekea kuchukua kombe la Dunia So nikaona nikae kwenye moja ya nyumba ambazo mzee alijenga huku. Hii nyumba inafanana sana na Ikulu ya Dom leo ndo nimegundua) Juzi wakati Mlinzi wangu...
  20. Taliban waamuru wanawake wote wa NGOs kuacha kazi

    Serikali ya Taliban inayoongozwa kwa kutumia sheria za waislamu, imeamuru wanawake wote wanaofanya kazi kwenye taasisi za kijamii waache kufanya kazi mara moja. Juzi waliamuru wanawake wasielimishwe, hizi dini bana, yaani mwanamke huchukuliwa kama takataka, kiumbe fulani hivi kisichokua na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…