kuachana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gepard

    Umewahi kuachana na mtu kwa uzuri?

    Mimi imenitokea, mwaka 2017 npo chuo, Nlitokea kumpenda binti wa kiislamu,nlitengeneza mazingira ya urafiki, ila wa upande mmoja yani mm ndio nimtafute. Nlimjali Sanaa ili kuongeza urafiki tu kwa kumpigia simu ila Mara nyingi hapokei, text hajibu kwa wakati iliniuma ila nlimpenda kutoka...
  2. Misunderstood

    Hivi hii tunaiitaje kitaalamu?

    Nimetoka kazini nimeshuka zangu kituoni paaap! Ghafla namuona ex wangu ambae hatujaonana takriban mwaka naaa hivi! Asee nikapanic bila kujielewa nikaingia dukani nikaanza kununua vitu ambavyo sivihitaji ilimradi nisionane nae, nimenunua mivitu kibao ili nipoteze muda! Kutoka kumbe ameniona...
  3. Maleven

    Breakup is hard to do, kuachana kusikie kwa mwenzio

    Yan uwe wewe ndo umeanzisha au mwenza ndo kaanzisha, the moment unamaliza kusema tuachane kinaanza kipindi kigumu sana, hakuna mwanaume wala mwanamke, sema ngoja nione mwisho wake.
  4. Mbwa dume

    Mkiamua kuachana ni vizuri kuachana kwa amani maana hujui kesho yako

    Wengi hasa vijana wamezoea kuachana kwa matusi na kila mmoja kusema mabaya ya mwenzake kwa watu lakini hujui yawezekana siku moja ukajikuta umempigia magoti ex wako unaomba akupe hata kimoja tu! Mimi binafsi nilikuwaga najiamini nikimwacha msichana siwezi kurudiana naye lakini mwaka jana mwezi...
  5. Ryan Herman

    Nini chanzo cha baadhi ya mahusiano kudumu na mengine kutodumu?

    Mahusiano ya kimapenzi huwa na mazuri pale mwazoni, wengine hudai kuwa unavyoanza mahusiano mapenzi mwanzo ndivyo hukua. Je, ni kwanini baadhi ya mahusiano ya mapenzi huvunjika na mengine hudumu daima? Je, umewahi kujiuliza “Kwa nini ni uhusiano wetu una shida sana? Mambo yalikuwa mazuri sana...
  6. super mimi

    Ulitumia njia ipi kumwacha ex wako?

    Salutiii....MMU....!!!!!! Niingie janvin mojakwamoja ..binafsi mm ex wangu. Nilimtext. Nikamfahamisha. ...enhe wadau karibun tujuzane..... Je wewe ulitumia njia ipi???
  7. tang'ana

    Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

    Mambo vipi watu wa Mungu? Leo naomba kila mwana MMU ataje sababu iliyopelekea kuachana na mpenzi/wapenzi wake wa zamani. Tukianza na mimi mleta mada niliachwa coz sikua msabato mwenzie na vile sikua mnyakyusa mwenzake. Na yeye sababu alizonipa kabla ya kanitema ni kwamba wazazi wake walikua...
Back
Top Bottom