Mimi imenitokea, mwaka 2017 npo chuo, Nlitokea kumpenda binti wa kiislamu,nlitengeneza mazingira ya urafiki, ila wa upande mmoja yani mm ndio nimtafute.
Nlimjali Sanaa ili kuongeza urafiki tu kwa kumpigia simu ila Mara nyingi hapokei, text hajibu kwa wakati iliniuma ila nlimpenda kutoka...