Biniam Solomon, mchoraji katuni maarufu wa kejeli nchini Eritrea anayejulikana kwa jina la usanii Cobra, ameachiwa huru baada ya kukaa kizuizini kwa miaka 15 bila kufikishwa mahakamani.
Solomon alikamatwa mwaka 2011 jijini Asmara na tangu wakati huo hakuwahi kusomewa mashtaka yoyote wala kupata...