Mwaka umekuwa na mambo mengi sana, tupunguze stress kidogo.....Ulishawahi kupata aibu hii?
Miaka ya nyuma kidogo nikiwa bado mwanafunzi form 4 nadhani kuna jibaba enzi hizo buzi, likanipa mistari na kuniita mahali jioni, nikajisema si kula tu??? Naenda mie...mida imefika nikachukua simu ya...
Kuachiliwa kwa wafungwa 11 waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha maisha kwa ubakaji na mauaji nchini humo kumezusha maandamano, huku mwathiriwa wa ubakaji akitoa wito kwa Serikali kubatilisha uamuzi wake, akisema umetikisa imani yake katika haki
Bilkis Bano alikuwa na ujauzito wa miezi mitano...
28 July 2022
Ukerewe, Mwanza
MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA KTK KESI No. 171 OF 2021, YAWAACHIA HURU WANACHAMA WA CHADEMA
Waliokuwa wagombea udiwani kupitia chama cha CHADEMA washinda rufaa yao na kuachiwa huru. Mzizi wa Hii kesi ilitokea wakati wa kurudisha fomu za udiwani, walipigwa risasi...
Shirika la kutetea haki za binadamu nchini humo limetoa wito wa kuachiliwa mara moja kwa maelfu ya watu wa Tigray wanaozuiliwa katika kambi mbili katika eneo la kaskazini-mashariki la Afar tokea Desemba 2021 kinyume cha sheria.
Inaelezwa kuwa ukosefu wa huduma za kimatibabu katika kambi hizo...
Kikubwa tutafuteni tu Hela za Kutunza Familia zetu ila Kuwashadadia akina Sabaya na Makonda kuwa Wafungwe Maisha au ikiwezekana Wanyongwe ili mfurahi na mridhike ni Kupoteza muda Wenu kwani hawa Watu 'System' iliwatumia huko nyuma na huenda hata Kuachiwa kwa huyu Sabaya Kuna 'Operation'...
Pongezi nyingi kwenu viongozi wetu Mama Samia na Mheshimiwa Mbowe. Kwa hakika kama taifa mmetutoa kimasomaso.
Mama Samia kauvaa ushujaa kwa kutuondolea aibu taifa hili na kuamua kutuunganisha bila kujali maumivu kokote.
Mheshimiwa Mbowe japo muathirika mkuu wa kadhia hii, kwa maslahi ya taifa...
Asilimia kubwa ya waliopo humu JF ni watu wenye IQ kubwa sana. Nilichokiona suala la kuachiwa Mbowe ni suala kubwa na halikwepeki kuchukuwa nafasi kubwa katika media hasa za ndani including hapa JF.
Kiuhalisia humu JF limechukuwa nafasi yake lakini sio kwa kiwango kinachostahili. Kwa mtazamo...
Kufuatia kuachiwa huru kwa Mh. Mbowe na watuhumiwa wenzake na yaliyofuatia hadi Ikulu, kwa ujumla kumeleta furaha kubwa nchini.
Heko Samia, Mbowe na wote waitakiao mema nchi hii.
Mshindwe na mlegee enyi mliojawa na nyoyo za ufedhuli ambapo kwenu, mema ndiyo maovu na maovu ndiyo mema.
Angalia...
Nimepita mitaani, nikapitia mitandao ya kijamii, nimesikiliza watu wazima, watoto , vikongwe na watu kama hao, wanafurahi Mbowe ameachiwa na kuishangilia Chadema.
Maana yake nini? Chadema iko mioyoni mwa watu! Erythrocyte
Chuki huzaa chuki, heri huzaa heri na kicheko huzaa kicheko.
Kwenye sakata hili la Mbowe kuachiwa huru wa kushukuriwa hapa ni Rais Samia full stop.
Kama Rais JPM angekuwa bado Yuko kwenye kiti jambo hili la kuachiwa Mbowe kwa namna hii lisingewezekana.
Ndugu zangu Tanzania imepata kiongozi...
ASIKUDANGANYE MTU, kwa propaganda yoyote kuwa DPP kutangaza kutokuwa na nia ya kuendelea na mashitaka ya tuhuma za ugaidi na uhujumu uchumi dhidi ya M/Kiti wa CHADEMA - Taifa ndugu Freeman A. Mbowe na wenzake eti ni kwa sababu zingine zozote zile bali ilikuwa ni suala la muda tu siku hii ifike...
Picha ni Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu baada ya kufutiwa mashtaka ya ugaidi na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) leo Ijumaa Machi 4, 2022.
Muendesha Mshataka Mkuu wa Serikali ya Ukraine ametangaza kuwaachia wafungwa wote wenye uzoefu wa kijeshi ili wasaidie kuipigania nchi yao
Baadhi ya wafungwa wameshaanza kuachiwa. Ili kuweza kupambana na majeshi ya Urusi ambayo yameendelea kupiga nchi hiyo
Aidha wanawake wa nchi hiyo wamesema...
Hivi ilikuaje Power Kaaya aliyemaliza kutoa ushahidi leo mahakamani yeye na mwenzake walikamatwa haraka, wakashtakiwa haraka na kisha kuhukumiwa haraka kwa kesi ya Ugaidi bila kuunganishwa na Wenzake hawa kina Mbowe na Walinzi wake?
Kwani kwa ushahidi huu aliotoa mbona hakuna utofauti wa kesi...
Je nini hatma ya wote hawa waliodaiwa kugawiwa hela za Escrow na James Rugemalira wa IPTL?
Je hao watu walioitwa majizi na Mh. Tundu Lissu bungeni ndio tuhuma zilizowakabili zimefutwa na sasa nao hawana hatia?
Je hii ina maana gani zaidi ya kwamba hizo hela walizovuna zilikuwa halali zao...
Nangoja kusikia Gdp figures za Kenya. Nasikia kwamba GDP ya Kenya imekuwa rebased na kwa hivyo size ya GDP itaongezeka significantly.
Kaeni mkao wa kula habari ikitoka nitapost humu.
Mh Mbowe ata achiwa ila moto wa siasa utapamba moto mara saba sabini ya sasa ikumbukwe ana achiwa kwa mashinikizo yanaendelea na hali inayo endelea kwa sasa hasa ule mgomo unao taka gawanya watanzania kwa udini na vyama.
Nashukuru watu waidara za serikali walio shauri na wanao zidi shauri...
Magaidi waliobainishwa na Jeshi imara la Polisi Tanzania wameachiwa leo akiwemo Mwenyekiti wa Bavicha Pambalu, hii ni hatua mpya ambayo haikutarajiwa na wengi.
Bado tunaendelea kutafakari, bali inafurahisha sana ikiwa kama Magaidi wanaachiwa bila kufikishwa Mahakamani kujibu mashitaka ya ugaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.