kuagiza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Taratibu za Kuagiza Pikipiki kutoka nje ya Nchi

    Wakuu Habari. Naomba kujuzwa taratibu za kuagiza pikipiki kutoka nje (Mfano Japan). Kwa magari tunaona kuna website kama Beforward Tradecarview Autocom etc, sasa kwa pikipiki kuna utaratibu huo? Na ikishafika bandalini, wakati wa kuitoa ushuru una kadiriwaje au unafuata taratibu gani? Shukrani.
  2. Ipi ni kampuni bora ya kuagiza gari Japani

    Wana Jf habari, Pameibuka makampuni mengi sana, ambayo yanajihusisha na uuzaji magari kutoka japan kuleta huku Na kila moja akijitangaza kuwa bora zaidi. Kitu ambacho kwa wageni ambao wanahitaji kufanya maamuzi ya uagizaji, huwa kinawachanganya, wasijue ipi ni sahihi ipi sio. Naamini tunao...
  3. Naomba ushauri katika kuagiza gari. Je, nitumie mitandao mikubwa au niende kwa dealers

    Habari zenu, Nataka kuagiza gari naona hata hao makampuni ya kuagiza wanacwanachukua picha za beforwad na Japanese autocom. Sasa si heri ninunue tu huko beforwad au autocom! Ushauri wenu experts na experience zenu zitanisaidia
  4. Naomba kujua namna ya kuingiza silaha (Bastola) kwa matumizi binafsi

    Habari wanajamvini Nimepita Tanganyika Arms kwa lengo la kujua utaratibu wa kuingiza silaha (bastola) kwa ajili ya matumizi binafsi lakini sikufanikiwa kupata majibu. Naomba muongozo kwa anayefahamu utaratibu wa kuingiza kifaa hiki.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…