kuagiza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. beth

    #COVID19 Tanzania kupokea dozi milioni 2 za chanjo aina ya Sinopharm

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi Milioni 2 za Sinopharm kutoka Nchini China. Kwenye chanjo hiyo, mtu atapokea dozi mbili tofauti na Johnson & Johnson ambayo inachomwa mara moja Akizungumza kutoka Mkoani Singida, Msigwa ameeleza kuwa idadi ya...
  2. K

    Kwa wenye uzoefu na kuagiza mizigo Dubai

    Naleta kwenu wana JamiiForums Kwa wale wenye uzoefu wa kuagiza bidhaa mbalimbali kutoka Dubai kuja Tanzania tupeane experience japo kidogo EXPERIENCE HUSANI KATIKA; • Masoko: ni masoko yapi maarufu kwa kuuza nguo,mikoba, electronics devices,simu used nk • Platform: ni online platform gani...
  3. M

    Je ni kibali gani natakiwa kuwa nacho kuagiza vyakula nje ya nchi

    Msaada wadau.nipo mbioni kiagiza bidhaa za chakula..raw material za kupikia vyakula hivi natakiwa kuwa nakibali kipi?.asanteni
  4. M

    Vipi naweza kuagiza mzigo kupitia kampuni ya Alibaba mzigo ukafika salama?

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nahitaji kuagiza machine ya incubator hivyo kuna duka wanahitaji kuniuzia hiyo machine lipo China kupitia alibaba ebu nipeni uzoefu mliowahi kuagiza MZIGO nje ya nchi kupitia alibaba
  5. A

    Kuagiza gari na autocom Japan

    Habarini wana jamvi, Naomba kujua ubora wa gari kutoka kampuni ya autocom japan maana naona bei zao ni nafuu kidogo ukilinganisha na wauzaji wengine (Befoward & sbt). Je, nini kina chagiza hili maana nina hitaji kununua gari kutoka kwao ila nina mshaka nao.
  6. M

    Habari nahitaji kuagiza vitenge Zambia utaratibu kwa anayefahamu naomba msaada wake

    Mimi nahitaji kufanya biashara kutoa vitu zambia kuleta tanzania (vitu kama vitenge). kwa anayefahamu utaratibu naomba msaada nijue cha kufanya.
  7. S

    Kuhusu Kuagiza TV kutoka Nje ya Nchi

    Wakuu kwema? Niende kwenye mada husika, nataka niagize TV kutoka China, nataka zile kubwa kuanzia 65" kuendelea smart ambazo kwa hapa Bongo naona Kama ziko expensive hivi. Vipi logistics zake? Bei yake? Usalama wake? Na anything relating to this? Thanks in advance.
  8. KIMOMWEMOTORS

    Car4Sale PDF: Jumla ya Gharama za Kuagiza Baadhi ya Magari kwa Mwaka 2021

    Na KIMOMWE MOTORS (T) Ltd- Waagizaji Magari picha chini inaonesha jumla ya gharama kwa baadhi ya gari tulizoagiza kwa mwaka huu 2021. Hivyo ukihitaji kumiliki gari yako kutoka nje inaweza kugharim wastani wa gharama hizo hapo chini.
  9. Analogia Malenga

    #COVID19 Tanzania kujenga kiwanda cha kuzalisha chanjo ya Covid-19

    Serikali imeanza mchakato wa kutengeneza chanjo ya Virusi vya Corona hapa nchini ili kupunguza gharama ya kuagiza nje ya nchi na kuzifanya ziwe karibu na wananchi. Akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dodoma Katibu Mkuu, Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Afya Prof. Abel Makubi amesema...
  10. Shujaa Mwendazake

    Zanzibar inasubiri idhini ya Samia kuagiza chanjo ya COVID-19

    Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Mazrui alisema afya sio jambo la muungano ila kwa suala la chanjo inabidi wafanye kazi kama #jamhuri kwa kuwa mashirika ya kimataifa yanatambua #Tanzania Bara na #Zanzibar kama nchi moja, kwa hivyo hawawezi kupata chanjo kwa kutengwa. My Take: Bado naona...
  11. World Logistics Company

    Unapotaka kuagiza gari au chochote nje ya nchi, usikurupuke..

    Habari za wikiendi pevu wadau wa JF, Kutokana na uzoefu wetu, tumeshuhudia watu wengi wakipata hasara pale wanapoagiza bidhaa nje ya nchi kutokana na sababu mbalimbali. Ni kweli kuagiza kutoka nje ni nafuu kuliko kununua hapa nchini, lakini ni lazima kuwa mwangalifu kuepuka kupata hasara na...
  12. Ferdinand Junior

    Msaada kuhusu kuagiza bidhaa kutoka Ebay

    Natumai wazima wana JF. Naomben msaada nan mwenye uzoef wa kuagiza bidhaa kwenye kampun ya Ebay.. Inakuwa vp taratibu zake had kunifikia hyo bidhaa.
  13. JipuKubwa

    Naomba kujua kati ya kununua gari hapa Tanzania na kuagiza kutoka nje ni njia ipi bora?

    Wanabodi habari, Kwa heshima zote naomba kujua ipi ni njia nafuu ya kupata gari bora kati ya kununua hapa bongo au kuagiza nje ya nchi maana natarijia kununua gari hivi karibuni. Naomba ufafanuzi tafadhali.
  14. Miss Zomboko

    Marekani imetangaza marufuku ya mwaka mmoja ya kuagiza mbwa kutoka nchi 113 kwa kuhofia ugonjwa wa kichaa cha mbwa

    Kituo Cha Marekani cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimetangaza marufuku ya mwaka mmoja ya kuagiza mbwa kutoka nchi 113 kwa kuhofia ugonjwa wa kichaa cha mbwa. Marufuku hiyo inahusisha mbwa wote, pamoja na wale wanaotumika kutoa msaada wa kifikra kwa wanaohitaji usaidizi wa wanyama hao na...
  15. Meneja Wa Makampuni

    Siasa ya Mafuta na Gesi: Kuibadili gesi asilia kuwa mafuta ya petroli inaweza punguza gharama tunazotumia kuagiza mafuta hayo kutoka mataifa ya nje

    Petroli ni moja ya mafuta ambayo huagizwa kutoka katika mataifa ya nje kwa ajili ya kutumiwa katika magari madogo na ya kati. Mafuta ya petroli ambayo yanaigizwa kutoka mataifa ya nje yanachukua karibia robo (1/4) ya bidhaa za mafuta ambayo huagizwa kutoka mataifa ya nje kama ilivyo ripotiwa na...
  16. A

    Msaada wa kuagiza vitu kutoka Kenya

    Habari za muda huu ndugu zangu? Ukweli ushamba mzigo kumbe kenya wanabei ndogo ya simu kuliko aliexpress? Juzi nilikuwa nataka simu aliexpress nilikuwa na laki 8 niliona ngoja nitafute xiamon maana kunawatu walikuwa wanazisifia sana nilipata xiamo note 10 pro kwa bei ya laki 8 niliongea na yule...
  17. KIMOMWEMOTORS

    Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan

    HABARI YA MAJUKUMU? KIMOMWE MOTORS (T) LTD, TUNAPENDA KUKUKARIBISHA KUAGIZA GARI LAKO KWA GHARAMA NAFUU, HARAKA NA UHAKIKA KUPITIA KAMPUNI YETU. VILE VILE TUNAKUKARIBISHA KATIKA FURSA YA BIASHARA YETU NA UKAWEZA KUTENGENEZA KIPATO CHA ZIADA ENDAPO TU UTAWEZA KUAGIZA GARI AMA KUMLETA MTEJA...
  18. E

    Nchi karibu zote duniani sasa zinapigana kumbo kuagiza chanjo dhidi ya ugonjwa wa Corona

    Naam sasa nchi zimeamuka, nchi mbali mbali duniani zinapeleka oda zao kupata chanjo ya CORONA. teyari jirani zetu Kenya chanjo hiyo imetua nchini mwao kwa GULF air majuzi. Nchi zingine zimeenda mbali zaidi hazitoruhusu wageni kuingia nchini mwao pasi na kupata chanjo hiyo ya Corona Pia shirika...
  19. E

    #COVID19 Nchi zote duniani sasa zinapigana kumbo kuagiza chanjo ya Corona

    Naam sasa nchi zimeamuka, nchi mbali mbali duniani zinapeleka oda zao kupata chanjo ya CORONA. Tayari jirani zetu Kenya chanjo hiyo imetua. Nchi zingine zimeenda mbali zaidi hazitoruhusu wageni kuingia nchini mwao pasi na kupata chanjo hiyo ya Corona mfano Saudi Arabia, Imetangaza wazi kabisa...
  20. The Assassin

    Ushauri wenu kwenye kuagiza hii gari wakuu.

    Wakuu, naagiza gari hapa kutoka Japan, Harrier tako la nyani ya 2008 kwa usd 5700, km 61k, je nilipie ama napigwa. Naomba uzoefu wenu kwenye hili. Ahsante
Back
Top Bottom