Wakuu,
Ninapenda kuagiza mabelo ya mitumba toka UK, CANADA na USA. nimejaribu kusearch bila mafanikio.
Kwa mwenye uzoefu, naomba maelekezo au ukashare linki ya site inayo uza.
Habari za leo waungwana.
Mimi nataka kuagiza used gari kutuka nje na nime narrow down kwenye hizo nchi kwani ndio nimeambiwa magari mengi yanatoka huko
Mazingatio makubwa kwangu ni Uimara, usalama na matengenezo ( japo nimeambiwa gari ambayo haijatumika sana hugharamiki sana matengezo au...
WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI - TANZANIA INAJIPANGA KUACHA KUTUMIA FEDHA ZA KIGENI KUAGIZA MAFUTA NJE YA NCHI
SERIKALI imekutana na wadau wa kuzalisha Mafuta ya kupikia kwa ajili ya kujadili changamoto zinazosababisha kushuka kwa bei ya Mafuta ya Alizeti nchini.
Katika kikao kilichofanyika tarehe...
Wakuu nimeongea na seller alibaba kama watatu nataka kuagiza smartwatch 30 pcs akanipa mchanganuo wa cbm 30*5.65=169.5usd naona kama gharama kubwa zaidi ya bei ya bidhaa au mimi ndo sijaelewa maana ni mgeni kwenye sbm nimeshazoea kuagiza AliExpress
Je kuna njia yoyote naweza kutumia kupunguza...
Habari za humu members,naombeni msaada katika hili nimejichanga hela kidogo nna mil.12 net.Sasa nataka kufanya maamuzi ya kupata usafiri wangu wa kwanza kabisa (sijawahi miliki gari)nataka gari ndogo tu itakayo nisaidia kwenye mishe zangu za hapa mjini.naombeni mawazo kwenye maamuzi yangu haya...
Nimekuwa nikiagiza mizigo AliExpress kwa muda Sasa ,, nataka tumia alibaba kwa baadhi ya mizigo
Nimechat na seller kanitumia link na nili inquiry logistics company akanipa cheapest Ni Dola 30USD
Njia za Alibaba zinaonekana Ni fast Sana Ila Zina Bei Sana
Nasikia Kuna silent ocean nisaidieni...
Habari Ndugu Zangu
Nataka Kufanya Biashara ya Simu used Kutoka Dubai, Naomba msaada wa vitu vifuatavyo.
1. Jinsi ya kupata connection ya kuagiza vitu hivyo Kutoka Dubai
2. Mtaji unaohitajika (Kima Cha chini ya Mtaji)
3. Je, Biashara hii Ina Faida nzuri?
Wakuu habari ya majukumu!
Nimepata mfadhili anataka awe ananitumia bidhaa kutoka China, kaniambia nifanye utafiti wa bidhaa zinazouzika Tanzania. Msaada wa bidhaa na mtaji unaohitajika, natanguliza shukrani.
Nimeona gazeti la Habari Leo la tar. 05/03/2023 na kichwa cha habari. "CCM WAAGIZA KODI KANDAMIZI KUFUTWA"
Nimetafakari na kuhitimisha kwamba aidha watanzania wanachezewa akili au hao wahubiri kuna mahali wanapwaya huko kwenye medula zao.
Wanapoagiza zifutwe wanamuagiza nani? Mtu anaekaa...
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt.Ashatu Kijaji akiwa Dar es salaam leo amesema Serikali imetoa vibali vya kuingiza mchele nchini Tani Elfu 90 kwa ruhusa ya Rais Dkt.Samia “Tunatarajia kuanzia mwisho wa mwezi huu wa pili zao la mchele litapungua bei”
Lengo la Serikali mchele ushuke...
Habari za muda wanajukwaa.
Mimi nina rafiki yangu aliepo Asia (korea) wakati wa kujadili Idea za hela akaniambia yeye anafanyaga pia International trade.
Akaniambia kuwa maaana yake ni yeye ni mtafuta masoko wa kimataifa anatuma mizigo kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine ama bara jingine...
Ilikuwa ni mwaka 2020, anajulikana kama Alexander Kirk alikuwa ni mmoja wa wateja kindaki ndaki wa Pizza katika Duka la Domino.
Majirani wanasema ni mtu ambaye ni mara chache kuonekana mtaani na hata alipokuwa anagongewa mlango basi ilikuwa ni mara chache sana kuitikia au kufungua mlango...
Wakuu,
Katochi kangu kameanguka na kupasuka kioo..Najua Kariakoositakipata kwahyo Nina mpango wa kuagiza China, wapi ni salama zaidi na uhakika kupata bidhaa kati ya Aliexpress na Kikuu?
Aliexpress sina experience nao lakini naona ndiyo wanavyo vingi na pia bei zao ni ndogo lakini sijajua issue...
Habari wakuu. Poleni na majukumu.
Ni mara ya tatu Naagiza bidhaa mbalimbali kutoka ebay kupitia kampuni ya myus. Mara mbili nimepokea bidhaa nilizoagiza bila changamoto yeyote. Mara hii ya tatu bidhaa inaonekana imefika dar es salaam na inaleta meseji ya Clearance delay- import.
Clearance...
Super power mandonga aishiwa silaha, sasa akipigana miaka 2 si ataishiwa mpaka bunduki, hahaaaa super power wa mchongo anachekesha.
Russia to buy North Korean artillery shells, rockets: Report
Declassified intelligence from the US says that Moscow is turning to isolated state to secure weapons...
Habari wakuu. Ninahitaji kuagiza gari nimejaribu kufuatilia mtandaoni nimeona kuna kampuni tofauti kama beforward, sbi nk.
Napata changamoto maana nikiangalia bei zao ziko poa ila ukiangalia kampuni za tz instagram inakuwa mara mbili yake!
Naomba ushauri kuhusu hizi kampuni,
1. kuhusu gharama...
Hasa kwa watu wa Kanda ya Ziwa na mikoa Jirani.
Kwa mahitaji ya kuagiza magari kutoka Japan,Dubai,na UK, tuone "Rubo Motors Tanzania" magari tuagizayo ni Fuso, Canter,Hino,Isuzu,Rosa bus,Coaster,Nissan,na magari madogo ya kutembelea.
Malipo ni awamu mbili. ambayo ni malipo ya awali na malipo...
Habari wanafamilia wa km naomba Msaada mwenye kujua kuhusu hii gari nimeipenda mnoo natamani kuagiza Volvo XC60 haswaa upatikanaji wa spares na changamoto zake.
Tanzania hutumia TZS bilioni 20 kwa mwaka kuagiza lita milioni 10 za mchuzi wa zabibu ili kutosheleza soko la ndani linalohitaji lita milioni 15.
Serikali imeweka mkakati wa kuongeza uzalishaji & kuongeza thamani ya zao hilo hapa nchini ili liwanufaishe wakulima.
#MamaYukoKazini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.