Ni wiki 2 mfululizo maeneo nayoishi kuna jamaa alimleta mkewe kwao ambaye alitoka kujifungua mtoto wa kike. Ndani ya hizo wiki mbili katoto hako kachanga hakakua na afya nzuri usiku kalikua kanalia sana. Cha kushangaza Kanapolia au anamaliza tu bundi naye akawa analia sana hasa mida ya kuanzia...
Wasalaam, Tumsifu kristo na bwana wa majeshi.
Nimekuwa nikitafari sana juu ya waliofanya jambo la kuleta huu mkataba na nimepata kuamini pamoja na watawala wengi kuwa ni wafuasi wa freemasons na illuminati lakini bado nguvu ya Mungu haiteteleki.
Jeuri, kibri, dharau havina nguvu mbele ya Mungu...
Katika maisha kila mtu ana amini katika kile anachokiamini kuanzia kwenye maisha binafsi, dini, uchumi, siasa n.k.
Kuna watu wanaamini biashara bila ndumba haiendi, kuna wanao amini mapenzi bila pesa lazima mwanamke Aku cheat n.k.
Mimi kwa upande wangu nilikuwa naamini kutumia miti shamba...
Nimeona taarifa ya Tanesco kuwa kumetokea hitilafu ya mfumo katika kituo chake cha uzalishaji umeme kwa njia ya gesi cha Ubungo na kusababisha upungufu ya uzalishaji wa umeme kwa jumla ya megawati 268 kwenye mfumo, hivyo baadhi ya maeneo kwenye mikoa yanakosa umeme nyakati tofauti.
Nimempigia...
Nasoma post nyingi hapa zimeondoka kwenye hoja na kuhamia kwenye Udini; mfano kamata kamata inayoendelea na idadi ya wapinga hoja ya bandari imeleta picha kwamba watu dini moja kwa pamoja bila kujali vyama wanakubaliana na kinachoendelea wakiwemo hata wapinzani.
Upande wa pili hali inaonyesha...
Sauti ya Rais ni faraja,
Rais, kwa sauti yake, ni dira ya nchi na wananchi
Lakini pia, yeye ndiye kocha mkuu, kunapotokea wasaidizi wake wameelemewa uwanjani, yeye hutokea kubadili upepo wa mchezo
Sasa yapata mwezi na ushee nchi ipo kwenye mzozo wa mkataba wa bandari!
Kila upande...
Na ndio maana elimu ya uzazi hupewa tangu tulipokuwa darasa la saba na huko sekondari form 3, ni sababu wengine wanakuwa washaanza kufanya ama kushawishiana kuanza michezo hii.
Binafsi nakumbuka shuleni kwetu darasa la sita mwaka 2004, darasani wengi tulikuwa na miaka 12 hadi 14, wengine...
Hili suala nilikua nalisikia tu lakini sasa niko asilimia nyingi kuamini kua kuna wanawake ukiwanao au ukikutana nao wanakua na bahati sana.
Kuna mdada kila tukikutana baada ya hapo nitapata habari njema, nashangaa sana.
Ni kweli haya mambo yapo au ni coincidence tu?
Kuna mambo yanayothibitisha mkanganyiko ktk kumtafsiri rais Samia.
Ukimsikiliza ktk hotuba zake na matamanio yake juu ya wapi anataka kuipeleka nchi yetu rais Samia anaonekana anapenda haki na utangamano.
Ukianzia namna alivyorekebisha mtanziko wa kisiasa uliokuwepo kwa kuruhusu mikutano ya...
Mtu yoyote anayesema bingwa keshapatikana naamini bado haujui mpira vizuri, ninaamini bado hajauona ubora wa Yanga. Zipo dakika 90 nyingine za kutetea hiki kilichotokea jana uwanja wa Mkapa.
Njoo nikejeli, nitukane ila Jumamosi utakuja kusema nilitabiri. Naandika hivi nikifahamu vyema home...
Huyu ni miongoni mwa trusted lieutnants wa Rais Samia. Kuna sakata la wafanyabiashara linaendelea hapo kariakoo.
Wafanyabiashara wametoa ya moyoni, wamemkaanga kisawasawa na kumtuhumu Waziri wa Fedha kama kikwazo katika biashara zao.
Wafanyabiashara wakaenda mbali sana na kudai waziri huyo ni...
Wanaoamani Mungu hutumia uumbaji kama hoja kuu ya kuamini Mungu yupo, siwalaumu because after all bila uumbaji tusingekuwepo kubishana hapa kama mungu yupo au la! Na uwepo wake usingekuwa na maana.
Hoja yao ipo hivi:
1. kila kitu kilichopo kina chanzo hakiwezi kutokea from nothing,
2. Hivyo...
Kwa Sasa sheria za barabarani hapa nchini kwetu ni kama hazipo kabisa.
Bodaboda wanajiamulia Wanavyotaka,wanavuka zebra Huku wakiendesha Katikati ya kundi la raia wanaotembea kwa miguu.
Maderava wanapiga honi katika zebra wakiwa mbio wakati watembea kwa miguu wakiwa wanavuka,yaani mtembea kwa...
Wiki iliyopita nilikutana na mwanamke niliyefahamiana zamani sana, tena utotoni kabisaa, hata ugwadu wa barehe niliumalizia kwake, sio mimi tu, hata na marafiki zangu waliponea kwake na kwa marafiki zake kwa ujumla. Nilikutana nae maeneo ya Sinza
Siku iliyofuata alinialika kwake maeneo ya...
Ndugu zangu, Uraisi siyo kazi ya kitoto. Urais siyo lelemama. Hata Nyerere alilitambua hilo hadi akasema mtu anayetumia nguvu au fedha kuingia ikulu ni wa kuogopwa kama ukoma.
Tafasiri ya haraka haraka ni kwamba mpaka Dakika hii Samia nchi imeshamshinda, hakuna nchi ngumu kuongoza kama...
Stay tuned hapa kwa updates mbalimbali kwa yatakayojiri katika droo hii hapo baadaye saa 3:30 usiku.
Simba SC 🇹🇿 anaweza akakutana na timu moja wapo kati ya hizi
• ES Tunis 🇹🇳
• Mamelodi Sundowns 🇿🇦
• Wydad Club Athletic 🇲🇦
Yanga SC 🇹🇿 inaweza kukutana na tumu moja wapo kati ya
• A = USM Alger...
akili
bangi
dewji
fainali
inahitaji
kombe la shirikisho
kuamini
ligi ya mabingwa
mo dewji
morocco
news
rivers united
salama
shirikisho
simba
simba sc
tanzania
wapenzi
yanga
yanga na simba
Sikutaka kuchambua hili, sikutaka kuchambua kwasababu namheshimu sana Godbless lema!
Nikiongozi mzuri na amekuwa na maono mengi mazuri!
Pamoja na yote hayo!
Namna Lema alivyoanzisha kampeni ya kupinga bodaboda na vikoba kakengehuka kidogo!
Anayo nia njema kabisa kiufupi ingekuwa ni wimbo basi...
Mara kadhaa nimekutana na stori nyingi kuhusu upekee wa hizi namba (3,6 na 9), wengine wakidai zikitumika katika manifestation zina nguvu kubwa. Kwamba zinatuunganisha na Universe, kwa hiyo ukizitumia vizuri unaweza kuomba chochote (huku ukikifanyia kazi) na kikakuletea matokeo chanya.
Swali...
Taasisi ya tiba ya mifupa kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili (MOI) imesema Mwanaume aliyeonekana akigongwa na Basi la abiria “mwendokasi” Jijini Dar es salaam jana, amelazwa Hospitalini hapo kwenye chumba cha Uangalizi Maalum (ICU).
Meneja wa Kitengo cha Uhusiano cha MOI Patrick Mvungi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.