Kuna mambo yamenifanya nianze kuamini kuwa Kuna hujuma dhidi ya Rais Samia ingawa nilikuwa nikisikia tu na kutoamini huko mwanzoni. Mambo haya ni
1. Tanesco kukata Umeme hovyo nchini- Na hii ni nchi nzima, hata muda huu, umeme umekatika maeneo mengi nchini. Kalemani yuko kimya, Wizara ya...