Jana usiku wakati mnaenda kulala mlikuwa fresh tu. Mmelala ila hukumpelekea moto, asubuhi anaamka amenuna. Anaamka anafanya kazi zake za asubuhi hakusemeshi. Kama mna watoto, yaani ni full kufokewa utafikiri hakuwazaa yeye. Unajaribu kuscan umefanya kosa gani over a night unajikuta mbona hamna...
Tundu Lissu, akihojiwa na kituo Cha online TV kiitwacho Ngasa, alisema huwa anachelewa kuamka asubuhi na kwamba anaweza kuamka saa nne asubuhi au zaidi.
Hivi kama tukiwa na Rais wa aina hii, wa kuamka saa nne saa tano asubuhi, ataongozaje nchi? Maana muda wa kazi yeye ndio bado anavuta shuka...
Nimeanza kuona kama ni ugonjwa fulani hivi, nipo mikoa yenye baridi kwa asili huwa nikiamka naamka kwa kujikokota sana na hata ratiba za mazoezi muda mwingi napuuzia; inabidi nivute vute muda sitoki kitandani mpaka nikikaribia kwenda kwenye shughuli zangu.
Mikoa yenye joto ikifika tu hata saa...
Nauliza tu kwa nyie wanajamii wenzangu, hivi hii inasababishwa na nini asubuhi kuamka kwenda kazini yaani uvivu wa ajabu yaani natamani kurudi kitandani nilale.
Kuna muda nilidhani labda nachelewa kulala maana huwa nalala saa sita usiku basi hata nikilala saa nne usiku bado nahisi sijalala vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.