kuandamana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    Guys, yale magonjwa tuliodhania hadi ufike 50+ sasa hivi yanaanza kuandamana vijana kuanzia 35+ tena kwa mkupuo

    Tuendelee kuchukua hatua wakuu. Inaweza kuwa ngumu sana kukimbia huu mtindo wa mlo na maisha ila inawezekana kubalance. TUKIWEZA KUBALANCE HIZI MAMBO: Soda drinks. Milo, cocoa, coffee Energy drinks. Carbonated milk Carbonated drinks. Kiti moto Spirits...
  2. Mpwayungu Village

    Walimu mpo wengi mkiamua kuandamana hakuna wakuwashinda, jitambueni

    Sijui uoga wa nini ilihali mnaishi maisha mabovu, hivi mnashindwa kukiwasha ani, hata ccm watume mapolisi laki moja hawatawaweza nyinyi mpo wengi mnashinda Sasa mnaishi maisha ya kutupwa jalalani afu mnakuwa waoga kudai nyongeza ya mishahara, maisha yanapanda, vitu bei juu lkn mpaka leo...
  3. Nehemia Kilave

    Mbowe kuandamana na Binti yake, je alimaanisha kuandamana au alikwenda akakamatwe?

    Damu ni nzito kuliko maji, ujasiri wa Polisi wa Tanzania tunaujua na walizuia maandamano. Tuweke hisia za uvyama pembeni, je Mwenyekiti Mbowe tar 23/9/2024 alimaanisha kuandamana?
  4. kavulata

    Viongozi imarisheni vyama, maandamano Bado muda wake

    Muda wa maandamano ya vyama vya siasa Bado kabisa, ukifika hakutakuwa na chombo kitakachoweza kuyazuia kufanyika. Hakuna nguvu itakayoweza kuzuia nguvu ya umma muda ukitimia. Sasa hivi mnachofanya ni vurugu TU (nuisance), wananchi hawawaelewi mnachomaanisha, ndiyo maana maandamano yenu...
  5. L

    Wana CHADEMA wamsaliti na kumgomea kabisa Mbowe kuandamana mpaka ajikuta akikamatwa akiwa mwenyewe na waandishi wa habari tu

    Ndugu zangu Watanzania, Mbowe ametia sana huruma leo alipokuwa anakamatwa na kupakiwa kwenye Gari la kifahari la polisi .Amejikuta hakuna mwana CHADEMA hata mmoja aliyejitokeza wala kuwa karibu naye kumtetea au kumsaidia kwa lolote lile ,zaidi ya kuona waandishi wa habari wakiongozwa na KIkEKE...
  6. GENTAMYCINE

    Hii Nguvu Kubwa ya VITISHO kwa Walioamua KUANDAMANA leo ingetumika kuzuia UTEKWAJI na MAUWAJI ningewaona wana AKILI

    Na msichokijua wale Wote ambao MNAYAPINGA haya MAANDAMANO ama kwa KUTOKUJUA kwakuwa hamna Akili au kwa KUHONGWA au kwa KUJIPENDEKEZA Kwenu ni kwamba tayari LENGO MAMA la kuionyesha Dunia kuwa Tanzania sasa kuna TATIZO limeshatimia hivyo WALIOPANGA KUANDAMANA wameibuka WASHINDI hata kama leo hii...
  7. N

    Afande Muliro: Atakayethubutu kuandamana Dar es Salaam kesho atakiona

    WAKATI mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe akitangaza uwepo wa Maandamano ya Chama hicho Siku ya jumatatu September 23 ,Jeshi la Polisi Nchini limeweka mkazo wake kuwa piga marufuku maandamano hayo . Kuwa maandamano hayo yana viashiria vyote vya uvunjifu wa...
  8. K

    Watu wakiuliwa kikatili ni haki wananchi kuandamana! Hii hapa mifano kutoka nchi mbalimbali duniani

    India https://youtu.be/F6fkGJ_3yQc?si=xzOYkBmFdJ_Ux7OY UK https://youtu.be/Kb9inxsQGTc?si=wcxd1UF13Jic_1ts Ukrain https://youtu.be/E3bnkIqB_sw?si=q8hqcfQaTkfkRBte Nigeria https://youtu.be/5hrzaPpPBfs?si=tGZRFleL6w3vrl_l Zimbabwe https://youtu.be/vU8mLzt6QQ0?si=jlAayqdtinLbqCxs Port au Prince...
  9. K

    Wananchi polepole wameanza kuandamana wenyewe

    Serikali ilikuwa inafikiri maandamano nchini ya Chadema hayana tija. Sasa bila Chadema kuna maandamano makubwa matatu kwenye ngome za CCM! 1. Kuhusu kutekwa watu huko Simuyu 2. Ngorongoro-kuhamishwa 3. Simanjiro kudai maji
  10. Juice world

    Siwezi kuingia barabarani kwaajili ya kumpambania Lissu au Mbowe aingie Ikulu

    Kwanini nimeamua kwamba siwezi kuandamana. Wala kupigania chama Chochote Cha upinzani sababu mojawapo siwezi Mimi niingie barabarani nipigwe Shaba nife nizikwe nioze Kwa ajili ya kumpambania Lissu au mMbowe aingie ikulu itakuwa ni ujinga wa Hali ya juu Watoto wangu wakisikia baba yao nimekufa...
  11. GENTAMYCINE

    Leo kuna Bomu linaenda kupigwa Mochwari, halafu bado kuna Watu watafurahia na kujisifu hata kwa Kuandamana

    Ngoja niendelee kujenga Kikosi changu kwani bado ni Kipya hivyo hata kama nisipochukua Ubingwa msimu huu sitojali kwakuwa nimeshawapeni Kisingizio changu Tukuka kuwa najenga Kikosi japo nimesajili kwa Mbwembwe, nimeweka Kambi kwa Farao na tayari naongoza ligi na natamba kabisa huku wanaojua na...
  12. Roving Journalist

    Simiyu: Wananchi wavamia Kituo cha Polisi wakidai kuna matukio mengi ya Watoto kupotea

    Baadhi ya Wananchi wameandamana na kuvamia Kituo cha Polisi cha Lamadi wakidai askari Polisi wa eneo hilo wameshindwa kuwajibika wakidai kuna muendelezo wa matukio ya Watoto kupotea Mkoani hapo. Baadhi ya Wananchi wengine pia walifunga Barabara ya Kuu ya Mwanza-Simiyu-Mara, baada ya tukio hilo...
  13. Li ngunda ngali

    Tetesi: Inasemekana waliohamasisha wamasai kuandamana wanatafutwa usiku huu

    Duru zinatabanaisha walio ongoza mgomo wa masai kule NGORONGORO leo wanafuatiliwa kukamatwa usiku huu. Kama una ndugu yako yupo huko mshitue.
  14. K

    Mbinu waliyoitumia Wamasai Kuandamana ili Kudai haki yao ni Effective kwa Hakika

    Hiyo Mbinu ya Wamasai wa Ngorongoro waliyotumia Leo itaisumbua mno Serikali. SERIKALI italazimika kuangalia upya sera yake ya kuwahamisha hao Wamasai vinginevyo utalii kwa maeneo ya Serengeti na Ngorongoro utaathirika sana. Na watalii watasaidia sana kusambaza taarifa za kilio cha Wamasai hao...
  15. T

    Je, Lissu akishika Urais leo, atakubali kila siku vijana wawe wanaingia barabarani kuandamana kutimiza wajibu wao wa kikatiba kwa lengo lolote lile?

    Habari JF Najiuliza hapa, maandamano ni "haki kikatiba", Je leo hii Lissu au mpinzani yoyote akiwa Rais ataruhusu tu Raia wake mda wowote wakiamua kuandamana hata kwa sababu zisizo na mashiko, waangie tu babarani sababu ni haki yao .? Soma Pia: Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa...
  16. peno hasegawa

    Nimekunywa Panadol za Kenya, ninajisikia kuandamana

    Kwa hali ninayo yaona Tanzania!!
  17. Shooter Again

    Siwezi kuandamana hata siku Moja ni ujinga

    Yaani Mimi niandamane nipigwe risasi nife nizikwe nioze eti kisa Kuna mizee ambayo yenyewe enzi zao yalikua yamezubaa nchi ikatafunwa Sasa hivi yanasema vijana wa gen z andamaneni kwajili ya tanzania mnaumwa nyie wazee pambaneni na hali zenu kama maisha yamekua magumu kwenu hamna kijana...
  18. L

    Soma uchambuzi huu wa kina ili kuelewa kwanini Watanzania hawawezi kamwe kuandamana

    Ndugu zangu Watanzania, Kinachopelekea na kuchochea maandamano,machafuko na vurugu katika nchi yoyote ile kwa wananchi wake kuanza kumwagika na kumiminika mitaani kuandamana na kufanya vurugu kwa kiasi kikubwa huwa inatokana au kuchochewa na watu kukata tamaa na kukosa Matumaini ya kesho iliyo...
  19. ndege JOHN

    Mimi siwezi kuandamana nchi nzuri kama Tanzania

    Niwe tu mkweli bado sijaona sababu za kufeli maisha mazuri hapa Tanzania kwa sababu mimi nimekuja duniani na nimekuta mazingira yote nayoyataka sasa kwanini nipinge formula nzuri kama hio. Yaani nchi yenye ardhi inilishe na kuninywesha halafu niikanyage Kwa dharau hio ardhi sitaki...
Back
Top Bottom