Jeshi la Polisi kwanini mmezuia? Ni haki ya wanaoandamana kama ilivyohaki ya wanaondamana kupongeza juhudi za serikali. Kwanini hawa huwa mnawaruhusu?
Kwani familia zenu zipo Uarabuni au Zimbabwe?
Mkataba ule utatuliza wote mimi na nyingi na Watanzania wote wakati Rais Samia atakuwa kastaafu...
Watu wanaingia Mkataba ambao unasema hata kukiwa na Material breach still party to the Contract can't tarminate the same. Mmhhh hii si hatar sana.
If I were in a position to do something watu wote waliohusika na huu uharamia wangefilisiwa ili kwanza wajue nchi ina wenye nayo nao ni sisi...
---
Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) wameandamana mpaka nje ya Ofisi ndogo za Bunge Dar es salaam kushinikiza Spika wa Bunge, Dkt.Tulia Ackson kuwaondoa Wabunge 19 ambao waliapishwa kuwa Wabunge huku wakidai hawakuteuliwa na Chama hicho.
Video: BAWACHA wakifanya maandamano
Baada ya ofisi...
Wakati Baraza la wanawake Chadema (Bawacha) likieleza kuwa wameruhusiwa kufanya maandamano kesho, Jeshi la Polisi Kanda Maalum limesema linasubiri siku hiyo ifike.
Mei 7, mwaka huu Bawacha walipanga kufanya maandamano ya kushinikiza Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson kuwaondoa wabunge 19 ambao...
Baraza la wanawake CHADEMA (BAWACHA) wametangaza kuandamana leo Dar es Salaam kuishinikiza serikali kuwaondoa bungeni wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA maarufu kama COVID 19.
Ni nini maoni yako.
Karibuni.
Hizi ni jamhuri mbili tofauti:
Odinga katangaza kurejea barabarani.
Kama wanaoyaitisha maandamano Kenya ni wananchi kwa nini yasiwe kabla au baada ya hiyo May 2?
Kama wanaoyaitisha ni wananchi kwa nini yaliyopita yalianza kwa kuitishwa na Odinga? Kulikoni hata yakasimamishwa naye alipoamua...
Wakazi wa kata ya Sinoni, na Ungalimited wanaotumia barabara kuu ya Engosengiu inayotokea mjini kuelekea katika Kata hizo mbili wamedai kuchoshwa na ubovu wa barabara hiyo kiasi cha kuwaletea usumbufu mkubwa hata katika vyombo vyao vya moto.
Baadhi ya madereva wa Bajaji na Hiace wanaotumia...
Mashabiki wa Arsenal waliokamatwa Jijini Jinja wakisherehekea ushindi wa klabu hiyo dhidi ya #ManchesterUnited katika mechi ya Ligi Kuu ya Uingereza Januari 22, 2023 wameachiliwa huru
Mashabiki hao waliokuwa wamebeba Kombe la 'Mfano' walikamatwa baada ya Polisi kudai kuwa hawakuwa na kibali...
Zaidi ya Wauguzi 10,000 wanaosimamiwa na Huduma ya Afya ya Afya ya Taifa (NHS) Nchini England, Wales na Ireland Kaskazini wanatarajia kushiriki katika maandamano hayo, Jumatano Desemba 21, 2022.
Aidha, wahudumu wa magari ya huduma ya kwanza wa England na Wales nao watashiriki, isipokuwa tu kama...
Yaani wakisimama nshale, wakikaa nshale.
Inaonekana CDM wanaoptions mbili kubwa. Maandamano au maridhiano. Zote ni options ngumu kwao zenye nafasi ndogo sana ya kufanikiwa.
1. Watu hawawezi kuandamana kama hujawapa sababu ya kufanya hivyo. Waanzania hawaandamani si sababu ni waoga, bali...
Mapolisi ya kijihadi yanazunguka kwenye shule za wasichana na kutembeza kichapo cha mbwa kwa vibinti huku wakisababisha mauaji, hii yote kisa wanampigania "mungu" na uislamu....
Huku mayatollah yakiendelea kulaumu Marekani na Israel....
Security forces are increasingly raiding schools and...
Utafiti wa Taasisi ya Utafiti REPOA unaonesha Watanzania wana hofu ya kukosa huduma muhimu za kijamii endapo watamchagua kiongozi yeyote kutoka vyama vya upinzani.
Utafiti huo umeonesha kuwa asilimia 88 ya wananchi waliohojiwa walisema hawapo tayari kuandamana kuishinikiza Serikali kuwapatia...
Juzi hapa waislamu nchini india waliandamana baada ya kiongozi wa ngazi za juu wa Chama cha Kihindu kutoa matamshi ya kuukashfu uislamu.
Baada ya matamshi ya dhihaka dhidi ya uislamu na mtume Mohamed, nchi nyingi za kiislamu zililaani sana hilo tukio na baadhi ya vijana wa kiislamu huko India...
Majaji nchini Tunisia wanatarajiwa kugoma kwa muda wa wiki moja na kufanya maandamano ya kupinga hatua ya rais kuwafuta kazi wenzao 57.
Rais Kais Saied aliwafukuza kazi majaji 57 wiki hii baada ya kuwashutumu kwa ufisadi na kuwalinda magaidi, na pia mnamo mwezi Februari alivunja Baraza Kuu la...
Urusi imezuia matumizi ya mtandao wa Facebook unaomilikiwa na Kampuni ya Meta Platforms Inc's (FB.O) nchini kwao kile kilichoelezwa kupishana katika masharti ya vitu vya kuweka mitandaoni wakati huu wa vita yao na Ukraine.
Maamuzi hayo yameongeza presha kubwa kwa vyombo vya ndani ya Urusi...
Ifahamike Ukraine na Urusi ni watu wamoja, na lugha inayotumika sana Ukraine ni Kirusi, maelfu ya Warusi hawaungi mkono huu uvamizi dhidi ya ndugu zao, ukiingia kwenye mitandao ya kijamii wengi wanatukana sana maana hawaelewi nini sababu za mauaji yanayoendelea au tija yake kwa Urusi, pia kuna...
Mimi kama mfuasi namba moja wa Chadema nalaani uonevu mkubwa wanaofanyiwa viongozi wangu na chama dharimu cha CCM, na njia pekee ya kupambana na hili ni kupata katiba mpya. Sio kupata katiba mpya tu bali tuipate mapema.
Nawashauri viongozi wangu wa chama, hasahasa Mnyika na Lissu waweke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.