kuandamana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtakaoenda kuandamana zingatieni haya. Lazima tupinge ufisadi

  2. Wananchi wanayohaki ya kuandamana kwa hili

    Jeshi la Polisi kwanini mmezuia? Ni haki ya wanaoandamana kama ilivyohaki ya wanaondamana kupongeza juhudi za serikali. Kwanini hawa huwa mnawaruhusu? Kwani familia zenu zipo Uarabuni au Zimbabwe? Mkataba ule utatuliza wote mimi na nyingi na Watanzania wote wakati Rais Samia atakuwa kastaafu...
  3. Yanga Princess kuandamana kudai malipo yao

    My Take Utopolo ni kikundi cha wahuni
  4. Mkisikia kuna kikundi cha Watanganyika wanataka kuandamana kwa ajili ya bandari yao nipeni taarifa nami niungane nao

    Watu wanaingia Mkataba ambao unasema hata kukiwa na Material breach still party to the Contract can't tarminate the same. Mmhhh hii si hatar sana. If I were in a position to do something watu wote waliohusika na huu uharamia wangefilisiwa ili kwanza wajue nchi ina wenye nayo nao ni sisi...
  5. Maandamano Dar: Baraza la Wanawake Chadema [BAWACHA]

    --- Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) wameandamana mpaka nje ya Ofisi ndogo za Bunge Dar es salaam kushinikiza Spika wa Bunge, Dkt.Tulia Ackson kuwaondoa Wabunge 19 ambao waliapishwa kuwa Wabunge huku wakidai hawakuteuliwa na Chama hicho. Video: BAWACHA wakifanya maandamano Baada ya ofisi...
  6. BAWACHA wadai wameruhusiwa kuandamana, Polisi yasema inasubiri siku ifike

    Wakati Baraza la wanawake Chadema (Bawacha) likieleza kuwa wameruhusiwa kufanya maandamano kesho, Jeshi la Polisi Kanda Maalum limesema linasubiri siku hiyo ifike. Mei 7, mwaka huu Bawacha walipanga kufanya maandamano ya kushinikiza Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson kuwaondoa wabunge 19 ambao...
  7. BAWACHA kuandamana leo Dar es Salaam

    Baraza la wanawake CHADEMA (BAWACHA) wametangaza kuandamana leo Dar es Salaam kuishinikiza serikali kuwaondoa bungeni wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA maarufu kama COVID 19. Ni nini maoni yako. Karibuni.
  8. B

    Odinga kurejea barabarani Mei 2

    Hizi ni jamhuri mbili tofauti: Odinga katangaza kurejea barabarani. Kama wanaoyaitisha maandamano Kenya ni wananchi kwa nini yasiwe kabla au baada ya hiyo May 2? Kama wanaoyaitisha ni wananchi kwa nini yaliyopita yalianza kwa kuitishwa na Odinga? Kulikoni hata yakasimamishwa naye alipoamua...
  9. Arusha: Wananchi watishia kugoma kudai lami, wachoshwa na ubovu wa barabara

    Wakazi wa kata ya Sinoni, na Ungalimited wanaotumia barabara kuu ya Engosengiu inayotokea mjini kuelekea katika Kata hizo mbili wamedai kuchoshwa na ubovu wa barabara hiyo kiasi cha kuwaletea usumbufu mkubwa hata katika vyombo vyao vya moto. Baadhi ya madereva wa Bajaji na Hiace wanaotumia...
  10. Uganda: Mashabiki wa Arsenal waliokamatwa kwa kuandamana, waachiwa huru

    Mashabiki wa Arsenal waliokamatwa Jijini Jinja wakisherehekea ushindi wa klabu hiyo dhidi ya #ManchesterUnited katika mechi ya Ligi Kuu ya Uingereza Januari 22, 2023 wameachiliwa huru Mashabiki hao waliokuwa wamebeba Kombe la 'Mfano' walikamatwa baada ya Polisi kudai kuwa hawakuwa na kibali...
  11. Uingereza: Wauguzi kuandamana kwa mara ya pili kupinga malipo

    Zaidi ya Wauguzi 10,000 wanaosimamiwa na Huduma ya Afya ya Afya ya Taifa (NHS) Nchini England, Wales na Ireland Kaskazini wanatarajia kushiriki katika maandamano hayo, Jumatano Desemba 21, 2022. Aidha, wahudumu wa magari ya huduma ya kwanza wa England na Wales nao watashiriki, isipokuwa tu kama...
  12. CHADEMA wamebanwa katikati ya 'A rock and a hard place'

    Yaani wakisimama nshale, wakikaa nshale. Inaonekana CDM wanaoptions mbili kubwa. Maandamano au maridhiano. Zote ni options ngumu kwao zenye nafasi ndogo sana ya kufanikiwa. 1. Watu hawawezi kuandamana kama hujawapa sababu ya kufanya hivyo. Waanzania hawaandamani si sababu ni waoga, bali...
  13. Askari wa kidini Iran waanza kuingia kwenye shule za wasichana na kufanya mauaji kwa wanaoshukiwa kuandamana

    Mapolisi ya kijihadi yanazunguka kwenye shule za wasichana na kutembeza kichapo cha mbwa kwa vibinti huku wakisababisha mauaji, hii yote kisa wanampigania "mungu" na uislamu.... Huku mayatollah yakiendelea kulaumu Marekani na Israel.... Security forces are increasingly raiding schools and...
  14. REPOA: 88% ya Watanzania hawawezi kuandamana dhidi ya Serikali

    Utafiti wa Taasisi ya Utafiti REPOA unaonesha Watanzania wana hofu ya kukosa huduma muhimu za kijamii endapo watamchagua kiongozi yeyote kutoka vyama vya upinzani. Utafiti huo umeonesha kuwa asilimia 88 ya wananchi waliohojiwa walisema hawapo tayari kuandamana kuishinikiza Serikali kuwapatia...
  15. Vijana wa kiislamu walika mkong'oto baada ya kuandamana huko India

    Juzi hapa waislamu nchini india waliandamana baada ya kiongozi wa ngazi za juu wa Chama cha Kihindu kutoa matamshi ya kuukashfu uislamu. Baada ya matamshi ya dhihaka dhidi ya uislamu na mtume Mohamed, nchi nyingi za kiislamu zililaani sana hilo tukio na baadhi ya vijana wa kiislamu huko India...
  16. Majaji nchini Tunisia kuandamana kupinga kufutwa kazi kwa wenzao 57

    Majaji nchini Tunisia wanatarajiwa kugoma kwa muda wa wiki moja na kufanya maandamano ya kupinga hatua ya rais kuwafuta kazi wenzao 57. Rais Kais Saied aliwafukuza kazi majaji 57 wiki hii baada ya kuwashutumu kwa ufisadi na kuwalinda magaidi, na pia mnamo mwezi Februari alivunja Baraza Kuu la...
  17. M

    Video: Kumbe unaweza kuandamana huko USA na ukala mkong'oto

  18. Urusi: Facebook yazuiwa kisa taarifa tata katika vita yao na Ukraine

    Urusi imezuia matumizi ya mtandao wa Facebook unaomilikiwa na Kampuni ya Meta Platforms Inc's (FB.O) nchini kwao kile kilichoelezwa kupishana katika masharti ya vitu vya kuweka mitandaoni wakati huu wa vita yao na Ukraine. Maamuzi hayo yameongeza presha kubwa kwa vyombo vya ndani ya Urusi...
  19. Maelfu ya Warusi waanza kujitokeza na kuandamana kupinga kinachofanyika dhidi ya ndugu zao Ukraine

    Ifahamike Ukraine na Urusi ni watu wamoja, na lugha inayotumika sana Ukraine ni Kirusi, maelfu ya Warusi hawaungi mkono huu uvamizi dhidi ya ndugu zao, ukiingia kwenye mitandao ya kijamii wengi wanatukana sana maana hawaelewi nini sababu za mauaji yanayoendelea au tija yake kwa Urusi, pia kuna...
  20. Kwanini tusidai katiba kwanza, tukiipata ndio twende kuandamana Mbowe aachiwe huru?

    Mimi kama mfuasi namba moja wa Chadema nalaani uonevu mkubwa wanaofanyiwa viongozi wangu na chama dharimu cha CCM, na njia pekee ya kupambana na hili ni kupata katiba mpya. Sio kupata katiba mpya tu bali tuipate mapema. Nawashauri viongozi wangu wa chama, hasahasa Mnyika na Lissu waweke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…