Wakuu Kila mmoja na mawazo msimamo na akili yake!.
Sijaona point yoyote ya muhimu au kama kunasababu nyingine iongezwe, haijalishi mama atanidhulumu atakuwa amedhulumu Cha mwanae. Haijaliishi ndugu zangu wakagawana na Mali zangu Haina shida na ni jambo jema tu.
Shida ni mwanamke achukue Mali...
Mtandao wa kijamii wa X zamani (Twitter), umesimamisha na kuifungia akaunti ya lugha ya Kiebrania ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei.
Hatua hiyo imekuja saa chache baada ya akaunti hiyo kutuma ujumbe unaosema, “Utawala wa Israel ulifanya makosa. Ulikosea katika...
Maji ni muhimu sana kwa maisha ya viumbe hai.
Sasa inapotokea huduma hii haipatikana tena kwa nchi iliyobarikiwa vyanzo vingi vya maji kama Tanzania, natatizika sana moyoni mwangu.
Wenzangu watanzania weusi mliopewa dhamana ya kuzisimamia rasilimali za nchi hii basi niwaombe tu kuwa mtimize...
Hongera kwa watunzi wa vitabu, hongera kwa wahakiki .
Vitabu vile vya Lugha ya Kiswahili darasa la pili mpaka darasa la nne vinatosha kabisa kufanya kumfanya mtu ajue kuzungumza na kuandika Kiswahili fasaha.
Nyie ambao mnatia aibu hebu nendeni mkatafute hivyo vitabu viwatoe tongotongo.
Ni...
Wakati fulani nyuma, habari na hadithi zetu zilikuwa zinatoka tu kwenye magazeti na vitabu. Lakini sasa, mambo yamebadilika sana. Uandishi wa mtandaoni umekuwa na nafasi kubwa, na kama bado hujui thamani ya kuandika kwa ajili ya mtandao, basi bro, unapitwa na mambo mengi!
Siku hizi, kila kitu...
Nimekuwa mhanga wa kutafsiriwa Mihutasari ya mashitaka iliyoandikwa Kwa lugha ya Kingereza.Mara nyingi Huwa najiuliza maana ya hii kitu Huwa ni Nini...Kwa nini isiandikwe Kwa kiswahili kama ilivyosikilizwa Mahakamani...au lugha ya maandishi ya mahakama ni kingereza hata kama asilimia 99 ya...
Je una utamaduni wa kuandika ndoto unazoziota?
Ndoto ni lango la taarifa, maarifa NK. Taarifa na maarifa hayo huweza kuwa mazuri/ mema au mabaya/ maovu.
Fikiria unaota kila mara uko makaburini, hushtuki, wala hufuatilii mwenendo mzima wa maisha yako kuanzia umeanza kuota ndoto hiyo.
Mwingine...
Nimekutana na wazawa wa Morogoro kutoka sehemu tofauti tofauti, wanaume kwa wanawake.
Watu hawa ni kawaida kukuta mume na mke hawajui kusoma na kuandika vizuri na wengine ni ukoo mzima, wanatatizo gani hawa.
Ndugu zetu?
Katika mpango mkakati wa JamiiForums (JF) wa miaka 5 (2020-2024), JF ilidhamiria kuendesha shindano lenye kuwawezesha wananchi kushiriki katika kuongeza ubora wa maudhui ya Kiswahili yenye kuchochea mabadiliko. Shindano hili lianza rasmi mwaka 2021 na huendeshwa kila mwaka.
Mwaka 2023 kuanzia...
Habari zenu wana jamvi? Ninataka kuandika bango kwenye shuka Mimi mwenyewe bila kupeleka kazi kwa fundi. Ninauliza ni wapi nitapata rangi maalumu kwa ajili ya kuandika kwenye mashuka?
Nipo dsm.
With much thanks in advance
Moja kwa moja kwenye hoja yangu
Kipimo cha elimu ni uwezo wa kuwasilisha hoja kwa kuzingatia mtiririko wa wa ushahidi unaokubalika kwenye jumuiya ya wasomi duniani na kwa mpangilio sahihi.
Maana yake nini uwezi jiandikia tu upuuzi ambao uwezi uthibitisha nje ya uelewa wa dunia kuhusu hilo...
Habari za Leo wanajforum?
Tafadhari, naomba tupeane elimu ya talaka hapa jamvini. Elimu ya talaka ni muhimu sana lakini bado haitolewi vya kutosha, tangu nisome elimu yangu, sikuwahi kukutana na mada ya kutalikiana kwa wanandoa, huenda ni elimu ya watu wazima tu. Lakini hatuna budi kujifunza...
Kuuliza sio ujinga jamani kwani mitihani ya kuandika (Written) ya secretarieti ya ajira ni nani anayekuwa anaitunga? Maana nilikutana na mabinti kwenye BUS wanalalamika wamepewa maswali yote yanayowausu watu wa Social Development Officer wakati nafasi ya ajira ni kwa ajili ya kada ya Social...
Ni wazi unakubaliana na mimi kuwa kwa asilimia kubwa watoto wengi wanaosoma shule za English medium ni watoto wanaojua kusoma na kuandika lugha ya kingereza kuliko wale wanaosoma shule za msingi za serikali, kwa kweli watoto wanaosoma English medium ni watoto wanaojua sana kingereza hasa kwenye...
Habari wajf Leo nimeshangaa kuona eti Bado watoto wanafundishwa kuandika barua ya kirafiki mashuleni zama hizi za sayansi na Teknolojia?
Kwa maono yangu wafundishwe kutumia simu nanna ya kutuma sms.
Leo hii wadau wewe ulimwandikia lini ndugu au rafiki barua ya kirafiki?
Nimeamua kuoa mke darasa la 2, ukimchunguza sana ni kama hazijatimia. Lkn yuko fertile kinyama, ukigusa tu mimba.
Nimeamua kufanya hivi ili kuwakwepa mafeminist, wajuaji, wapenda hela, wapenda mawigi, watembea uchi, wachezaji vikoba na watafuta utajiri kwa kupitia mume.
Je, mwanaJF, unadhani...
Kuna mtu namjua na kumfahamu vilivyo, ni kijana msomi ana elimu nzuri ila kawa chawa,
Kila timu inapokwenda kucheza na yeye huenda, ni miongoni mwa wale vijana wa kibegi cha makombe na kapu la magoli, na anamulikwa sana na camera za azam, ana kitambulisho maalumu, anapewa mpaka access ya kupiga...
Ninawasanua makada wenzangu wa chama chetu CCM, hebu tujaribu kulijibu hilo swali kimantiki!!
Hoja za lissu tumeshindwa kujibu na hilo swali tunaweza kulijibu?
Ifikie hatua tuache kujibu mipasho masuala mtambuka ya kitaifa na nchi yetu Kwa ujumla.
Mzee Warioba ni mwanaccm na anaitaka Katiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.