Habari wana JF
Katika harakati za kusaka ajira, au kibarua au kujitolea, katika mashirika, taasisi, kazi za serikali au makampuni binafsi , kitu muhimu kitakacho kuuza kiufanisi ni wasifu wako wa kazi au Curriculum Vitae inayojulikana kama CV yako.
Hii ndio zana muhimu yako itakayokuwezesha...