KWA NINI NILINYANYUA KALAMU?
Naona ukumbi kama vile umejaa na kinachosubiriwa ni kuanza mazungumzo.
Najiuliza mwenyewe kwa nini niliamua kuandika kitabu hicho hapo juu kueleza historia ya TANU ilhali tayari historia ya TANU mbayo ndiyo historia ya uhuru wa Tanganyika ilishaandikwa na Chuo Cha...
Ukifuatilia siasa za Tanzania kuna mambo mengi sana yanachukuliwa poa lakini kiuhalisia yanaweza kuwa kikwazo cha Tanzania kutofanikiwa kwenye mambo mengi.
Kuna jambo ambalo najua mimi sitakuwa wa kwanza kulizungumza, hili suala la Wabunge wetu kuwa sheria au niite kigezo cha kwanza lazima ajue...
Simu hiyo mahiri inayofanya kazi kwa sauti inalenga soko kubwa ambalo halizingatiwi kutoka nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara ambako mamilioni ya watu wanakabiliwa na changamoto za kutojua kusoma na kuandika
Itatumia mfumo wa uendeshaji unaoitwa "Kone" ambao umeundwa na kampuni ya Cerco...
Taarifa iiyotolewa Afisa Elimu wa Mkoa, Benjamin Oganga imeonesha pia kuwa mkoa huo umeshika nafasi ya 5 kitaifa kwa kuwa na wanafunzi wanaohitimu darasa la 7, bila kujua kusoma na kuandika.
Oganga ameongeza kuwa ufatiliaji uliofanywa unaonesha ndani ya miaka mitano, wanafunzi 350,000 katika...
Kujua kusoma na kuandika bado ni inabaki kuwa ndoto kwa watu wengi duniani, ilihali elimu ni huduma ya msingi inayotolewa kwa wananchi ili kuwapa stadi na maarifa.
Kwa mujibu wa Takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa la UNESCO, vijana/watu wazima milioni 771 hawana msingi wa kujua kusoma na...
Habar wakuu
Mdogo wenu nshavurugwa huku nina 8086 Trainer kit sijui kuitumia kuandika assembly language program naweza kuzipata online shida ni kuziandika nifanyeje
Shukran
Habari za majukumu wadau, ni matumaini yangu kuwa wote tumeonesha uzalendo kwa kushiriki vizuri zoezi la sensa 2022.
Dodoso za sensa zimenifanya nikumbuke visa nilivyowahi kukutana navyo kwenye mahusiano. Ilikuwa mwaka 2010 enzi hizo nilikuwa naishi Masaki, Haille Selassie Road(nyumbani)...
Tunaaminishwa kwamba ili kuondoa migogoro ya kugombea mali za Marehemu ni muhimu kuandika wosia.
Maana ya wosia: refers to the document written by a testator that details what is to happen to property owned by that testator upon death.
Kwa mantiki hiyo wosia ni matakwa ya mwenye mali kuamua...
Salamu wapendwa
Katika kitu ambacho nilikuwa natamani basi ni kuwa na kitabu changu (Ni passion yangu). Nime-plan kuandika vitabu kadhaa Kama reference kwa wanafunzi.
Basi Kwenye hii likizo nilianza kuandika kitabu kimoja, ni ngumu lakini naona inawezekana.
Nimepanga kuandika vitabu sita...
Habari zenu wana Jamii forums.
Jumapili hii tulivu ya leo nimechekecha kichwa kidogo nimepata wazo la kuandika kitabu kisha nikipeleke kampuni ya ucapishaji na usambazaji kiwe kinnapatikana kwenye stationary na naduka ya vitabu.
Kabla sijaanza kukiandika nimeona ni vema niyajue kwanza...
Tunatoa maelekezo na msaada kwa wanachuo na wasio wanachuo ambao wanahitaji kuandika Proposals, business plan, Research na Esay. Haijalishi ni ya conpetition au ya submission ambapo hakuna competition.
Wasiliana nasi twitter @trade_ip_const au kwa email: tradeandintellectualpropertyc@gmail.com...
KATIBU ITIKADI NA UENEZI CCM SHAKA HAMDU SHAKA AFANYA ZIARA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE, MUHIMBILI.
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo akiwa...
Hili ni gazeti lilijizolea umaarufu siku za nyuma kwa kuanika maovu mbalimbali ya watendaji wa serikali na chama tawala.
Lakini Kwa sasa hali ni tofauti sana hakuna tena zile habari za kusisimua ambazo zilikua zikitufungua wananchi macho na maskio ili kujua mambo mbalimbali maovu yanayoendelea...
Niko ktk harakati za kuandika kitabu kitakachoelezea madhila ambayo Taifa letu limepitia kwa kipindi cha miaka 5 na miezi 5 (Novemba 2015-March 2021). Kitabu hiki kitaelezea mateso na ukandamizaji watanzania waliopitia ktk kipindi hiki chini ya utawala wa rais Magufuli.
Na nikishauza kopi za...
Kaa mbali sana na mwanamke anayeandika jina lake kwa staili hii akiamini amelipatia
- Mtu anaitwa Lilian yeye anajiandika Lilyan/Liliani au Lylyany.
- Janeth yeye anaandika Janethi/Janeti/Janethy
- Mary au Maria yeye anaandika Marry/Merri/Meli/Malia
- Priscilla/Priscillah anaandika...
MKATABA MZURI HUWA NA HAYA:
( a ) Lazima uwe na majina ya wahusika ambayo yatakuwa yameandikwa kwa urefu na kwa kueleweka.Mfano jina liwe Paschal Mayenge Archard. Epuka kuandika vifupi mfano P.M. Archard. Jina linatakiwa liwe katika ukamilifu wake na hasa pawe na majina matatu kamili. Pia...
Habari za jioni wapambanaji, Nawasalimu kwa jina la jamuhuri.
Mimi ni kijana mtafutaji, lakini tokea nipo chuo(Mzumbe) nilijikuta napenda tu kuandika proposal za biashara, kipindi hicho tulikuwa tunaandika wakati wa zile party za kukaribisha wanafunzi wapya maarufu kama freshers Bash. Basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.