Ningependa kujua na nyinyi wenzangu mnajiskiaje pale mnapokua mkifanya mambo yenu kwenye simu au PC kisha akatokea mtoto/watoto na wao wakaanza kuangalia unachofanya?
Binafsi huwa nina kawaida ya kwenda kusalimia ndugu ninapopata muda na huwa nakutana sana na hii changamoto hasa ukizingatia...
Wana sports leo ilikuwa mfululizo wa kipigo kwetu wana blues, kiukweli huwa naumia sana sasa kwa kuwa sisi huu msimu hatuna timu kabisa
Yaani usajili wote ni majeruhi na flop nimeamua kujiweka pembeni kwanza maana nitakua sina amani kabisa
Mpaka siku nikijaliwa kuingia kabsa Stamford Bridge...
Series nilizocheki ni nyingi sana ni za kimarekani, kikorea na kilatini.
Yani hapa kupata series mpya imekuwa shughuli nzito sana
Napenda series za uhalifu, misukosuko ya kutoboa zero to hero,
Habari za saa hizi wote kwa ujumla.
Tumshukuru Mungu kwa uzima .
Nakuja kwenu nikiwa nawaletea habari njema wale wenye maduka ,supermarket,pharmacy na kadhalika.
Tuna mfumo wa mauzo ambao utakusaidia kuangalia faida,mauzo na manunuzi ya biashara yako ukiwa online sehemu yoyote ile hata kama...
Nimeona watu wengi wakitoa historia uchwala. Wengine wakijaribu kulazimisha kwa kuweka baadhi ya vifungu/ aya za kwenye bible. Tujiulize kwa akili ya kawaida tu, wazungu wamefikaje mshariki ya kati, watu wa mashariki ya kati wote ni Waarabu, imekuwaje mzungu ajikute katikati ya Waarabu.
Jambo...
Nimeona katazo la Tcra kuzuia matumizi ya Vpn nakusema kuwa kuna faini ya mil 5. Sasa kwa sababu karibu kila Mtanzania mwenye smart foni amedownload VPN na anaitumia kuangalia mambo yake binafsi ya kifaragha .
Je, TCRA itawag'amua vipi watu wakiwa na simu zao mkononi.
Msaada wa kitalaamu
Ni miaka 2 mfululizo sijakaa chini serious kuangalia TBC 1. Maisha yamekuwa mazuri na yenye furaha tele.
Naamini maisha yatakuwa bora zaidi 2025 pale chama changu pendwa kitakapo kata jina na kutuwekea chuma toka Cuba.
Mimi nipo kwenye mahusiano na mwanaume yapata miaka mitatu, kabla sijamkubalia alikuwa muda mwingi tunawasiliana ila nilipoanza nae mahusiano tu alibadilika; akawa bize muda mwingi na akipata mapumziko atatumia kuangalia mpira tu.
Hatuishi mbali sana ila kuonana inaweza pita mwezi mzima...
Wapendwa kimtazamo ni movie gani ambayo ilikuvutia sana au ilikukugusa kwa namna moja hadi nyingine
Mfano. Kuna bongo movie moja inaitwa vivia ukiangalia unaweza kulia
Pia kuna
Captain Philips bonge la movie
Death race
Kuna moja mauwaji ya #Rebel
Wakuu imekuwa nongwa sasa ,Sometimes tabia hii inakera, Nipale ambapo umekaa either kwenye gari yaani safarini, au sehemu yoyote yenye mkusanyiko Public, Uko bize na simu yako, unashangaa jirani yako na yeye anakosoa mimacho kwenye simu yako
Hii tabia sio nzuri na inakera, Pia haileti picha...
Me mara yangu ya mwisho kuangalia movie za kihindi ni mwaka 2017 ilikuwa movie moja hivi inaitwa 'Shanklaj'
Kwenye hii movie bana starling alipiga teke tembo, hadi tembo ikapaa, nikasema sitokaa tena niangalie Hindi movies.
wewe kwa upande wako ilikuwa lini? au bado unatazama.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa rasmi ya Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai hapa Nchini, kutoka kwa Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, Mwenyekiti wa Tume hiyo leo tarehe 15 Julai, 2023 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete -...
Kampuni ya OceanGate Expeditions inayomiliki chombo cha majini cha Titan imetangaza safari zake kwa msimu wa 2024 kwa gharama ya $250,000 [TZS milioni 603] kwenda kuona mabaki ya meli ya Titanic.
Hivi karibuni watu watano walifariki dunia baada ya chombo chao kupotea kikiwa karibu na mabaki ya...
Sasa imejulikana rasmi kuwa nyambizi ya mchongo iliyokuwa ikifanyiwa biashara na kampuni ya Ocean Gate imepasuka na abiria wote watano kufariki dunia.
Waliofariki ni pamoja na mzamiaji maarufu wa kifaransa Paul-Henri Nargeolet. Wengine ni tajiri mkubwa wa kipakistani Shahzada Dawood na...
NAIBU WAZIRI EXAUD KIGAHE - SERIKALI INAANGALIA FURSA KUWAWEZESHA WANAWAKE KUWEKEZA KATIKA KATA
Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe amesema Serikali inaendelea kuangalia fursa mbalimbali kwa ajili ya kuwawezesha wanawake kuanzisha vituo mahususi vya uwekezaji na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.