Namaanisha speakers za mdundo mzuri na radio selector yake zinaweza kunigharimu bei gani wakuu.
Ambavyo ukifungulia muziki watu wa kitaa wanaweza kuenjoy muziki mzuri
Nimewaza sana mjue hizi Team za Kariakoo hua zinapata favor sana katika ratiba ya Ligi,
Kuna mda unajiuliza hizi ni Team za Taasisi inayoongoza Mpira Nini?
Hizi Team kipindi zinaelekea Derby hua zinapewa almost week nzima ya kujiandaa Yani hawachezi hata kombe la FA angalia Kuna Team zimecheza...
Goba kulangwa surveyed plots for sale
1.5 km.for main road
50000tsh per square meter
Kuwahi kwako ndio kupata
Viwanja vinaanzia square meters 400 mpaka 2000
Mradi huu vimebaki vichache
0742 892 195
Call whatsapp
Kama kila anayefeli malengo anaambiwa akalime kwa nini kilimo kisifundishwe kuanzia chekechea?
Kifundishwe pote hadi IST ili wao nao wakifeli maisha wasije kusumbua motaani angalau wawe na option ya kulima maana imeonekana ni kimbilio na mkombozi na option kwa wote wanaofeli malengo ya maisha...
Hizi siku tatiu
NImEKUWA na shida sana na mtandao WA max yas
Imefika wakati UNANUNUA luku token za. Tanesco huzion
Unapiga OFISIN mfanyakazi anawaza kupokea simu 10 mins kama ANAPOKEA condom
Sio hayo tu HATA kununua bundle imekuwa shida
Na Hilo bundle ukinunua kulifanyia kazi shida una gb 1...
Tuendelee kuchukua hatua wakuu. Inaweza kuwa ngumu sana kukimbia huu mtindo wa mlo na maisha ila inawezekana kubalance.
TUKIWEZA KUBALANCE HIZI MAMBO:
Soda drinks. Milo, cocoa, coffee
Energy drinks. Carbonated milk
Carbonated drinks. Kiti moto
Spirits...
Wakuu,
Makamba na Ummy washamaliza kutumikia vifungo vyao, sasa hivi wapo vizuri na mama. Rais Samia kaonesha leo ni mtu wa visasi sana, ukionesha kitabia cha kumchallenge tu unafinywa fastaaa.
Naona safari ya Tanga ilikuwa maalum kwaajili ya kutoa msamaha🌚.
Pia soma: Pre GE2025 - Rais Samia...
Husika na kichwa habari hapo juu;
Nashauri, masuala yanayohusu Elimu nchini yashughulikiwe kipekee zaidi kuanzia usimamizi na uratibu wake.
Hivyo basi: nashauri wizara ya Elimu iwe ndo mratibu mkuu wa shughuli zote za Elimu nchini kuanzia halmashauri mpaka Taifa, na vibao vyote vya shule...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Temeke limewatangazia wateja wake kuwa kutakuwa na maboresho katika kituo cha kupokea, kupoza, na kusambaza umeme cha msongo wa Kilovolti 220 kilichopo Ubungo, jijini Dar es Salaam.
Kutokana na kazi hiyo, huduma ya umeme itakosekana kwa nyakati...
BRELA, wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Business registration and licencing agency). Kwa nchi ya Tanzania ilianzisha hitaji la Kurudisha Taarifa za Mwaka kwa makampuni kama sehemu ya Sheria ya Makampuni ya mwaka 2002. Hata hivyo, utekelezaji wa mfumo wa mtandaoni kupitia ORS (Online...
Ikiwa mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu, leo nimeona tuwakumbuke wabunge wa zamani na hapa tuanzie mwaka 2010 kurudi nyuma.
Mimi naanza na Idd Mohamed Simba, alikuwa mbunge wangu wa Ilala.
Endelea…
Chunusi na majipu ni matokeo ya maambukizi ya ndani, usawa wa homoni, au sumu ya ndani, ambayo husababisha kuvimba kwa follicles ya nywele na, kwa acne, tezi za sebaceous. Wanapaswa kutibiwa juu ya uso wa ngozi na ndani. Chunusi kwa ujumla hutokea wakati wa ujana na kusababisha vipele vyeupe...
Katika Kipindi cha kuanzia mwezi Julai hadi Desemba mwaka 2024 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh Trilioni 16.5 ambapo kati ya fedha hizo, Trilioni 13 zilikusanywa katika Mkoa wa Dar es Salaam.
Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
#samiaapp
#kaziiendelee
#tumejipatanamama
Kinujumu (Kinyota) na hata Kihistoria ya Klabu yetu ya Simba ikiwa na Mechi zake katika Siku za Alhamisi kama ya hii Leo huwa inapata Matokeo makubwa mawili tu ambayo ni ama Kusare au Kufungwa.
Tukishinda leo basi ni Asante Kubwa kwa Mwenyezi Mungu ila kwa Uzoefu wangu na Ubobezi wa mambo...
Miaka 150 Kuanzia Sasa
Miaka 150 kuanzia sasa, hakuna hata mmoja wetu anayesoma ujumbe huu leo atakayekuwa hai. Asilimia 70 hadi 100 ya mambo tunayoyapigania sasa yatakuwa yamesahaulika kabisa. Chora mstari chini ya neno KABISA.
Tukirudi nyuma kwa miaka 150 iliyopita, yaani mwaka 1872...
Serikali imetangaza kwamba ili kuwapunguzia wananchi adha ya foleni wakati wa mkutano wa viongozi wa Afrika unaonza keshokutwa, wageni watakuwa wakitumia njia ya mwendokasi kwenda na kurudi Uwanja wa Ndege.
Akizungumza na waandishi wa habari jioni hii, Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega...
Kama kichwa cha habari kinavyosema wakuu.
1 John Joseph Pombe Magufuli a.k.a JIWE R.I.P jiwe waliokuchukia wapo hoi bin wa taabani.
2 Kim Jong UN 🔥🔥🔥🔥🔥
3 Vladimir Putin 🔥🔥🔥🔥
4 Ibrahim traore🔥🔥🔥🔥
5 Donald trump 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
6 Robert Mugabe R.I.P giant
NB. Zingatia namba tano
Mpaka sasa nimepokea offer tano za wabunge ili nikawasaidie kufanya robbing Majimboni .
Nasikitika kusema kuwa hawa jamaa Kazi wanayo na ngumu Sana .
Mtu umekula bata Sana Ila unajisahau unasubiri dakika za majeruhi ili kushinda Uchaguzi. (SAD).🇹🇿
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.