Natabiri kuanzia saa 3 usiku wa leo, wale nzi na vyura wa kijani popote pale hapa nchini, watakuwa kimya huku wale ngedere na simba wekundu wakipiga kelele za hapa na pale. Wakishangilia wenzao wakipata kipigo na mateso makali kama yale ya Yesu msalabani toka kwa Masandawani.
Natabiri. kuanzia...
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo ya mafuta zilizoanza kutumika leo Aprili 3, 2024 ambapo kuna ongezeko la bei ya nishati za Petroli na Dizeli huku Mafuta ya Taa bei ikibaki kama ilivyokuwa Machi 2024.
Upande wa Dar es Salaam bei ya Petroli ni Tsh 3,257 ikiwa...
Kuna ujumbe nimeuona huku kupitia DStv, kifurushi cha Compact kitapanda na kuwa tshs 64,000/= kwa mwezi kutoka tshs 60,000.
Sijajua kww upande wa vifurushi vingine. Tumeipenda wenyewe, wacha tuisome namba eeeehhh….
Kulingana na kampuni ya Meta, inayosimamia Facebook na Instagram, iliyotangaza mwezi Februari 2022, itaanza kulipa waandaaji wa maudhui katika nchi 20 za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, ikiwemo Afrika Kusini, Shelisheli, Senegal, Rwanda, Nigeria, na Kenya.
Kampeni hiyo inatarajiwa...
Eneo Duka Lilipo : DAR - STOP OVER
MAJUKUMU :
1.Kuuza Vitu Dukani
2.Kuwashawishi Wateja Kununua Kwa kuwaelezea Faida na Hasara ya Kutotumia Bidhaa Husika.
3.Usafi wa Vitu na Duka Zima kwa Ujumla
4.Ku record Mauzo ya Siku husika/Matumizi ya Siku Nzima,nk.
SIFA ZA BINTI ANAEHITAJIKA
1.Uwe...
Huu ndio ukweli kwani humu katika makundi na kufuzu kuingia hatua ya makundi, huwa kuna timu dhaifu sana kutegemea na ligi yao na pia kwa kanuni za siku hiz,i wanaoshiriki sio wote ni mabingwa katika ligi zao bali ni utaratibu tu wa siku hizi unawabeba tofauti na zamani.
Hivyo, kuanzia hatua ya...
Rejea kichwa cha habari. Kwangu mini marehemu mzee wetu Ally Hassan Meinyi ndiye rais peke ambaye alistafu kiuhalisia na kuacha wengine waongoze nchi kwelikweli.
Ukiachia yeye wengine wamekuwa wakiingilia tawala na kuwa kikwazo hasa kwa maendeleo na kukua Kwa demokrasia ya nchi yetu.
Baadhi...
Baadhi ya hospital binafsi zimeshaweka matangazo kama yanavyosomeka hapo juu
Nini sulihisho la hili?tiririka ili serikali ipate madini na kuyafanyia kazi inawezekana kabisa hawajui nini cha kufanya kunusuru hilo suala nyeti la afya.
Tanzania fence factory:(0789020813) tupigie.
Tunatengeneza na kuuza fence wire aina zote na senyenge Kwa bei ya kiwandani.
2.0mm bei yake ni 55,000/=
2.5mm bei yake ni 75,000/=
2.5mm(kijani)bei yake=80,000/=
Fence wires zote ni mita 11.
Tupo Kinondoni mkwajuni dsm
Tunafanya delivery Kokote ulipo...
Inasemekana eneo la Uyole mara zote nyakati za usiku huwa na watu wengi, hii ni kutokana na eneo hilo kuwa njia panda ambayo Magari mengi hupita, Magari ya kwenda Malawi na yale ya kwenda zambia yote hupita hapo.
Lakini umati unaokusanyika usiku huu kwenye eneo hilo si wa kawaida , watu ni...
Desemba 24, 2010: Aliyekuwa Meneja Uhusiano wa TANESCO, Badra Masoud, alitangaza kuanza kwa Mgawo Mkali wa Siku 30 nchi nzima na kuahidi utaisha Januari 2011
Machi 2011: Aliyekuwa Meneja Uhusiano wa TANESCO, Badra Masoud, alisema Mgawo utaisha mwaka 2013
Juni 2014: Aliyekuwa Katibu Mkuu wa...
Wanakumbi.
🚨🇮🇱ISRAEL KWENYE KESI YA ICJ - NCHI 52 KUTOA USHUHUDA KUANZIA FEB 19-26
Kesi za ICJ zitaendelea hadi Februari 26. Baadaye, majaji wanatarajiwa kuchukua miezi kadhaa kujadili kabla ya kutoa maoni ya ushauri.
Kikumbusho: Hata iwe uamuzi gani, ni juu ya nchi kote ulimwenguni kutunga...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza siku tano za maombolezo kuanzia leo February 10,2024 kufuatia kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Edward Lowassa (70) ambaye amefariki Dunia saa nane mchana leo katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam...
Wasalaam Tanzania.
Nimekuwa mwingi wa kufuatilia mikutano ya ndugu Paul Makonda mwenezi wa CCM.
Amekuwa akipokelewa na wananchi kwa wingi na mabango mengi yenye malalamiko dhidi ya watumishi wa Serikali n.k
Kila ambaye amekuwa akipeleka malalamiko, anapoulizwa ni tangu lini, wengi wao...
Shirika la Umeme la Kenya Power limetangaza nafuu ya punguo la bei ya Umeme kwa Wakenya baada ya kupunguza tozo za tokeni katika ukaguzi wa hivi punde wa bei ya umeme.
Katibu Mkuu wa Nishati Alex Wachira alifichua kuwa gharama ya umeme kwa aina zote itapunguzwa kwa Ksh3.44 kwa kila uniti...
Nitafurahi mno nikisikia kuna mabadiliko haya kwani kwangu mimi GENTAMYCINE naona Overall Performance ya Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya kwa sasa ni below standard (very poor)
Natumai kwakuwa Mteuwaji Mkuu huwa Ananisoma sana GENTAMYCINE na tuko nae hapa JamiiForums tena hii mida ya Saa 10...
Ni story ambayo naisikia kwa muda mrefu sana tangu nikiwa shule ya msingi.
Ningependa kujua ukweli wake wa uhalisia uliokuwepo.
Kiutawala Uganda ilikuwa chini ya Tanzania hata baada ya Uganda kupata marais katika hicho kipindi?
JWTZ waliondoka kwa hiari ama ni Jeshi la NRA la Museveni...
Kwema wakuu!
Ngoja tupitishe muda kwa stori kidogo.
Zifuatazo ni vigezo na Marks ambazo Mwanamke yeyote aki- score kuanzia 75% anaweza kuwa mke wangu.
1. Awe Mwanamke Mrembo na Mzuri ( Marksi 30)
I. uzuri wa sura 10%
ii. Shape 👉🏼 Kibindo, Chura aka msambwanda wa kati 10%
iii) Rangi maji ya...