Utangulizi
Chama cha Mapinduzi (CCM) kilianzishwa mwaka 1977 kutokana na muungano wa vyama mbalimbali vya kisiasa, ikiwa ni pamoja na Chama cha Umma (ASP) na Chama cha Mapinduzi (SMT) cha Zanzibar. Kuanzishwa kwa chama hiki kumekuwa na athari nyingi katika nyanja tofauti za maisha ya wananchi...
Hongera Lt. Jenerali Eyal Zamir kwa kuwa Mkuu wa 24 wa Wafanyakazi wa IDF.
Kamanda Eyal Zamir Mafanikio yako ni mafanikio ya IDF na mafanikio ya nchi yetu! Tunakuamini utaliongoza jeshi kwa mafanikio katika nyanja na changamoto zote! I kiwa ni pamoja na kuwa tokomeza magaidi wa Hamas,Hezbollah...
Kwa mwenye ufahamu kinachoendelea Zanzibar baada ya kuundwa kwa Shirika la Mawasiliano Zanzibar ni nini?
Mimi nijuavyo mambo ya mawasiliano ikiwemo Posta na Simu ni mambo ya Muungano.
Hata sheria iliyoanzisha Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Act 12 of 2017 imetamka wazi kuwa itatumika...
Tangu mwaka 1992 hadi sasa katika makatibu wote wa CHADEMA ni Dokta Slaa pekee alikuwa na msimamo na speech zenye msisimko.
Mashinji na Mnyika ndiyo wauza sura zaidi hawana ishu.
Ni mfume dume au wanawake hawaaminiki nyani ya vyama vya siasa?
au muundo wake ni kwamba mwanamke marufuku kamati kuu Taifa?
Mungu Inusuru CHADEMA na mpasuko 🐒
Mungu Ibarki Tanzania
1. TAKUKURU ilianzishwa kwa malengo gani? Mwenye kujua tafadhali.
2. Je malengo (angalau moja) ya uanzishwaji wake yametimia?
**Vigezo gani hutumika kupima utendaji bora wa watumishi wa TAKUKURU?
Kisheria bodi ya mikopo ya elimu ya juu pekee ndiyo bodi rasmi ya serikali ya kutoa mikopo, kulingana na vigezo mbalimbali vilivyowekwa. Wako vijana wanaokosa mikopo wakati wanavyo vigezo vyote, kwanini fedha hizo zielekezwe kwa wengine ilihali ni fedha ya umma na inatolewa kwa mfumo na...
Kamishna wa Uendelezaji Sekta ya Fedha Wizara ya Fedha, Dkt. Charles Mwamaja (katikati) akifurahia uzinduzi rasmi wa kampuni tanzu ya Benki ya CRDB inayotoa huduma za bima ‘CRDB Insurance Company (CIC) Ltd’ katika hafla iliyofanyika hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es Salaam 18 Juni 2024...
Miaka ya 1960 mpaka miaka ya 2000 nchini Tanzania runinga nyingi zilitumia mfumo wa analojia ambapo mfumo huo uliwezesha runinga hizo kupata matangazo ya moja bila kuwa na kisimbuzi ambapo mtumiaji alipaswa kuunganisha runinga yake na antena ili kupata matangazo ayo...
Jamii inauhitaji mkubwa wa kujua SHERIA mbalimbali muhimu. Kutojua SHERIA sio sababu ya mtu kujitetea dhidi ya shitaka lolote linalomkabili mbele ya mahakama, hivyo kunauhitaji mkubwa kwa jamaii kujua SHERIA.
Pia kupitia ufundishaji huo wa SHERIA mashureni, utawawezesha pia watoto kujua haki...
Mnamo tarehe 9/05/2024, Halmashauri ya Manispaa ya Moshi ilitangaza kuanzisha kodi mpya ya sherehe katika wilaya hiyo. Kodi hii imeelekezwa kulipwa na wenye sherehe (waandaaji wa shughuli), jambo ambalo limezua mjadala mkali miongoni mwa wakazi wa wilaya hiyo. Wakazi wanahoji mantiki ya mwenye...
KITENGO MAALUM KUANZISHWA KWAAJILI YA KUSIMAMIA MIKOPO YA 10%
Naibu Waziri OR-TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainabu Katimba (Mb) amsema serikali imefanya maandalizi makubwa katika usimami wa mikopo ya 10% kwani imeamua kuanzisha kitengo maalumu cha usimamizi wa Mikopo hiyo kwa ngazi ya...
Mbeya, Tanzania
Tundu Lissu / Kinana wamuibua Chifu Mwaihojo, ataka somo la Muungano kuanzishwa
https://m.youtube.com/watch?v=rsrEtEaFwGg
Source : busokelo tv
Mwanachama wa CCM Chifu Mwaihojo asema Tundu Lissu anahoja nzito lakini viongozi wa CCM wanajibu hoja za Muungano kisiasa bila majibu...
Wakazi wa Kata ya Kwekanga wilayani Lushoto mkoani Tanga wamekumbana na ukosefu wa maji baada ya wazee wa kata hiyo kudaiwa kuzuia chanzo cha maji kutotoa maji hadi kufanyike tambiko, baada ya mkandarasi kuanza mradi bila kuwashirikisha.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara, Meneja wa Mamlaka...
Jogoo limewika Dodoma, wabunge vijana wa CCM wenye umri chini ya miaka 45 wameanzisha umoja wao. Umoja huo umezinduliwa leo ktk Mkutano wa 13 kikao Cha 10. Manaelewa kwanini ni wenye chini ya miaka 45 pekee?
Wale wagombea Urais ndani ya CCM 2015 na kuuringia ujana, Sasa wadogo zenu wamekiwasha...
Mheshimiwa Waziri,
Natumai barua hii inakupata ukiwa katika afya njema. Napenda kutumia fursa hii kuelezea umuhimu wa kuanzishwa kwa Bodi ya Wakemia (Chemists Registration Board) nchini Tanzania. Wakemia ni wataalamu muhimu katika sekta ya afya na viwanda, na wana jukumu kubwa la kuhakikisha...
Ilikua ni mwaka 1917, Arthur Balfour , alitoa azimio la uungwaji mkono uanzishwaji wa taifa la Wayahudi , Israel.
kwa wakati huo, hakukua na nchi iliokua ikiitwa Israel. ili kufanikisha mpango huo, Uengereza ilihamisha maelfu ya wayahudi Palestina, na iliwasaidia kununua ardhi.
Baadae...
Nina mtoto wa kaka yangu amesoma kozi inaitwa oil and gas engineering pale DIT huu ni mwaka wa tano hana kazi.
Wakati anaanza alimwambia mzazi wake ni kozi yenye fursa kwasababu serikali imeanzisha.
Ni nani alishauri kuanzishwa kwa kozi za mafuta na gesi hapa nchini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.