Jana limetumwa tangazo la agizo la kufanyika kwa pre-form one, English course kutoka kwa makatibu tawala wa mikoa lililotoka OR-TAMISEMI.
Agizo hili limeelekezwa kwa walimu wa shule za sekondari za serikali.
Hivi ndani ya OR-TAMISEMI au wizara ya elimu, viongozi hawajui utofauti wa formal na...
Wadau hamjamboni nyote?
Sabato njema
Nimeweka Orodha ya Makanisa duniani kwa kuzingatia mwaka wa kuanzishwa na jina la muasisi wake.
Nimevutiwa kuona kanisa langu limeasisiwa mwaka 1844
Karibuni tujadili na tupate elimu
Kama Kuna makosa yeyote kwenye takwimu hizo basi tunaomba muwe huru...
Jamani hili Taifa letu tunaendaje? Vyeo vinakuwa vingi Sana. Ina maana ofisi ya Waziri Mkuu imekuwa kubwa sana mpaka utendaji unakuwa Mdogo na kuamua kuiongeza nguvu kumpa msaidizi vipi? Vipi wizara zilizo chini yake?
Ningependa kujua majukumu ya Naibu Waziri Mkuu yatakuwa yapi kwa mujibu wa...
cheo
huwa
katiba
kisheria
kuanzishwa
majukumu
manaibu
mkuu
mujibu wa sheria
nafasi
naibu waziri
nyeti
ovyo
sana
sheria
ufafanuzi
viongozi
waliowahi
waziri
waziri mkuu
yapi
Utangulizi
Bunge mkononi litakuwa ni bunge/mkutano utakaompa nafasi kila mwananchi kuwa mbunge. Bunge hili litakuwa kwa njia ya mtandao, na mshiriki ataweza kushiriki kupitia sim janja ya mkononi. Mtu aliye tayari atajisajiri katika mtandao wa bunge utakaoanzishwa, na maombi yatatumwa selikalini...
Nimesoma maelekezo ya Waziri wa Elimu, nimeona ni vema Walimu hao hao wakifaulu mitihani yao pia wasajiliwe kwenye board yao.
Hivyo ni vema kuanzishwa kwa Teachers Registration Board sasa.
Hii itasaidia walimu kuepukana na chama cha unyonyaji cha CWT.
Kodi ndiyo roho ya serikali kiasi kwamba bila kodi hakuna serikali na kwa vile kodi inatokana na biashara, basi kimantiki biashara ndiyo serikali. Kwa tuliyoyashuhudia hali si shwari kati ya wasimamizi wa kukusanya kodi na wafanyabiashara wanaolipa hizo kodi; kwa misingi hiyo ipo haja ya kuundwa...
Update ya Msiba wa Mwana JF Mwenzetu, William Malecela (Le Mutuz).
Kwanza natoa pole sana kwa familia ya Mzee John Malecela kwa msiba mkubwa na mzito wa mtoto wake, William Malecela, kwa jina maarufu Le Mutuz, aliyefariki leo asubuhi jijini Dar es Salaam. Msiba upo nyumbani kwa Baba yake Mzee...
Sarafu Mpya kwa Nchi za BRICS.
Nchi za BRICS zinaripotiwa kufanya kazi katika kuunda aina mpya ya sarafu na mpango wa kuwasilisha maendeleo yake katika mkutano wa kilele wa viongozi wa BRICS mnamo Agosti mwaka huu, Naibu Mwenyekiti wa Jimbo la Duma Alexander Babakov alisema Alhamisi kando ya...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema uanzishwaji wa Mahkama maalumu ya rushwa na uhujumu uchumi itaisaidia Serikali katika mapambano dhidi ya vitendo vya ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi na rasilimali za umma.
Aidha, Rais Dk.Mwinyi alieleza...
Kwanza niseme tu, sijaribu kukosoa kazi ya uumbaji wala kuzodoa watu kwa jinsi walivyoumbwa, maana hakuna mtu aliyechagua mwili wake na kutia saini kabla ya kuzaliwa, bali najaribu kuona jinsi tunavyoweza kufanya ‘mitigation measure’ / (Damage control).
KAtika mradi huu, Ziainishwe kanda na...
Msinichoshe wala nisiwachoshe, rejea kichwa cha habari hapo juu kuhusu hizi redio kubwa hapa Tanzania kuanzisha michezo ya kubahati ya kimkakati, nime 'experience' kwa redio zifutazo;
Clouds wana #mchongo pesa
Wasafi wana #chota mahela
East africa wana #peseka
Radio free wana #bustika minoti...
Hoja hii naitoa kwa ufupi mno. Ni kwamba haiwezekani mtu anaacha milioni 100 kwenye akaunti benki, majumba, magari nk; halafu ukienda kwenye kaburi lake utasema ni mzoga wa mbwa umefukiwa hapo.
Nimemaliza na sitaki maswali.
It's advantage mikopo yake hutolewa haraka sana baada ya bank kujirizisha na thamani ya asset iliyopo na actually value it has,
It's loan are very fast even good for businessmen.
Kampuni hii itaomba vibali vyote kutoka mamlaka husika kwa ajili kufunga Camera katika sehemu zote za makutano ya barabara (Junctions), mitaa mikubwa ya wilaya zote 5 hasa hasa katikati mwa mji, Sinza, Kinondoni, Masaki Nk.
Linapotokea tukio lolote, mfano wizi wa vifaa vya gari, wizi wa gari...
TANESCO NA TENDA KWA KAMPUNI BINAFSI;TTCL NA KAMPUNI BINAFSI ZA SIMU KUANZISHWA TCRA.
Leo 12:15pm 03/05/2022
Tanesco wameazimia kuongeza ufanisi na kasi katika kuunganisha umeme kwa wateja,Tanesco itaanza kutoa tenda kwa kampuni binafsi kufanya kazi hiyo huku wao wakijikita kwenye uzalishaji...
Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimesema kipo hatua za mwisho za majadiliano na kampuni ya Skyleader yenye makao makuu nchini Czech ili waje kuwekeza nchini Tanzania.
Skyleader ni kampuni inayotengeneza ndege ndogo za wazi ambazo huwa na siti moja hadi mbili. Kampuni hiyo inaweza kuanza...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya TZS trilioni 2.51 Desemba 2021, kikiwa ni kiwango cha juu zaidi kuwahi kufikiwa tangu kuanzishwa mamlaka hiyo mwaka 1996.
Aidha, Julai - Desemba 2021, TRA imekusanya TZS trilioni 11.11, sawa 98% ya lengo la TZS trilioni 11.302.
Na Caroline Nassoro
Huu ni mwaka wa 21 tangu Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) lilipoanzishwa. Katika kipindi hicho, mambo mengi yamefanyika na kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa pande mbili za China na Afrika.
Mkutano wa kwanza wa ngazi ya mawaziri ulifanyika mjini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.