Historia ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)
1986 – Wazo lilizaliwa katika kikao cha ‘Interstate Intelligence Gathering’ ambapo iliazimiwa Tanzania na Uganda kutoa vitambulisho vya taifa kama ilivyokuwa kwa Kenya na Zambia ili kuimarisha mahusiano ya kiusalama yanayozingatia Utawala wa Sheria...