Historia ya kuanzishwa kwa Redio
Mwaka 1886 Mjerumani Heinrich Hertz alitambua mawimbi ya sumaku umeme. Wataalamu na muhandisi mbalimbali walifanya majaribio katika miaka iliyofuata kutumia mawimbi haya kwa mawasiliano, kati yao Mwitalia Guglielmo Marconi, Mmarekani Nikola Tesla na Mrusi...