kuapishwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. donlucchese

    Tukutane hapa tunaosubiri United States Presidential Inauguration!

    Yes wakuu, Muda si mrefu POTUS anachukua kiti chake kimya. Maeneo ya Capitol building naona ulinzi umeimalishwa hatari, naona jet fighters za SANDF na SAA zinapita pita flani kuhakikisha ulinzi. Sijui inaugural ball itakua leo Leo ama?
  2. TODAYS

    Msanii wa Nigeria Burna Boy amejumuishwa katika orodha ya wanamuziki ambao album yake itakayochezwa wakati wa sherehe ya kuapishwa kwa Joe Biden

    Kwanza unaweza kufikilia inakuwaje asichukuliwe mwanamuziki wa Marekani au mataifa mengine yaliyoendelea, pili ni kiasi gani cha pesa analipwa mwanamuziki huyo kutoka Afrika ya kaskazini? Lakini ni kwamba orodha ya nyimbo zipatazo 46 zimeandaliwa katika sherehe ya kuapishwa kwa Biden, taarifa...
  3. YEHODAYA

    Umebaki muda mfupi tu wa Rais mpya wa Marekani kuapishwa. Balozi wa Marekani Tanzania hatima yake haijulikani

    Rais mpya wa Marekani akiapishwa mabalozi wengi huwa pressure zinawapanda sababu kila Rais akiingia huwafungasha virago mabalozi na kuchangua wapya Balozi aliyepo na akina Pompeo Secretary of state wa Marekani hawakuwa rafiki sana wa CCM na Serikali yake! Mwisho wao ni leo anapoapishwa Rais...
  4. MakinikiA

    Kuelekea kuapishwa Biden kuwa Rais wa Marekani raia na askari hawatambuliki wote wamebeba silaha

    Vikosi vya usalama viko nje ya majengo mbalimbali ya serikali Vikundi vidogo vya waandamanaji - baadhi yao wakiwa na silaha - wamekusanyika nje ya majengo ya serikali ya Marekani, ambapo kuna mvutano mkubwa baada ya jengo la Capitol Hill kuvamiwa huko Washington. Maandamano yanafanyika katika...
  5. J

    Zanzibar 2020 Maalim Seif asema licha ya kuapishwa madai yao ICC yako pale pale!

    Akihojiwa na Zuhura Yunus wa BBC Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif amesema licha ya ACT Wazalendo kujiunga na SUK bado madai yao ICC yapo pale pale. Maalim Seif amesisitiza kuwa anamwamini Rais Hussein Mwinyi na ana imani naye katika kujenga Zanzibar mpya. Nadhani hizi zitakuwa...
Back
Top Bottom