HABARI NDUGU ZANGU WANA JF
...NATAFTA MWALIMU WA KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI YEYE AJE MBULU MJI MIMI NIENDE ARUSHA AU KILIMANJARO LAKINI HATA BABATI TAKUA NMESOGEA SOGEA. ASANTEN. Phy & Chem
SIMU: 0623450048/ 0746443601
Urusi wameachia makomando wakiwemo wale wa Marioupol 215 ili kubadilisha na Warusi 50, raia wa Urusi wamekerwa sana yaani nchi yao imefika mpaka kwenye kudhalilika kiasi hiki.....
Aprisoner exchange between Russia and Ukraine that included senior Ukrainian commanders was hailed as a victory by...
Habari wana JF.
Mimi ni mtumishi wa umma Mteknolojia maabara msaidizi niliepo Mtwara DC naomba kubadilishana na mtumishi alieko tayari kutoka halmashauri ya Chalinze.
0656797325
Naomba ushirikiano wenu wakuu
Urusi imeonesha dalili za kuwa tayari kwa mazungumzo ya kubadilishana wafungwa siku moja baada ya Mahakama ya Urusi kumuhukumu mchezaji wa kikapu wa Marekani, Brittney Griner kifungo cha miaka tisa jela.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergey Lavrov amesema wapo tayari kwa mazungumzo hayo kwa...
Kuna wimbi kubwa ya biashara haramu ya ngono vijijini hivi sasa. Biashara hii ni mpya kabisa kutokea sio kama inayofanyika mjini.
Wadada wanakuja vijijini ,hasa wakati wa mavuno ,wanaweka kambi kwa kupanga vyumba hivi hivi vya tembe. Kisha wanaanza biashara ya kubadilisha .
Iko hivi ,kule...
Kwema wadau kuna jambo nimefikiria nikaona niwashirikishe wadau je kwa mikoa ya simiyu shinyanga au mwanza kuna uwezekano wa kubadilishana bidhaa vijijini kwa mikoa tajwa hapo juu.
Mfano nikaenda na dagaa nikarudi na kuku au nikaenda na sabuni na vyombo vya ndani nikarudi na mahindi.
Je barter...
ORODHA YA WATUMISHI WALIOPATA VIBALI VYA UHAMISHO WA KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI KUANZIA NOVEMBA,2021 – JANUARI,2022 Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI
Prof.Riziki Shemdoe ameridhia kufanyika kwa uhamisho wa watumishi 1544 wa kubadilishana vituo vya kazi kwenye Mamlaka za Serikali za MItaa...
Nafuatilia hotuba mbalimbali za viongozi wastaafu kuelekea miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika.
Nimefurahishwa na hii ya Nyerere anayomzungumzia mchagga mmoja aliyempa mzungu tanzanite na yeye akapewa golori kisha yule mrombo akatoka hapo akicheka na kurukaruka kama ZUZU.
Nimeona pia ile ya mbunge...
Habari wakuu.
Kwanza tutoe pongezi kwa uongozi wa Jamii Forum kutuwekea jukwaa maalum la ujenzi, jukwaa tulolisubiri kwa kitambo.
Tunalo tiper la mchanga, hivyo tuna ukaribu wa mchanga. Pia tunajua humu JF kuna watu wana cement ,wengine mabati n.k . Kwenye huu uzi utaeleza unahitaji...
Kiongozi wa Ujerumani Angela Merkel amekuwa chancellor wa Ujerumani toka 2005
Jakaya Kikwete kamkuta kamuacha
John Pombe Magufuli kamkuta kamuacha
Samia Suluhu Hassan kamkuta
Huko duniani kafanya kazi na:-
Marais 4 wa Marekani,
Mawaziri Wakuu 2 wa Canada,
Mawaziri Wakuu 3 wa Japan,
Marais 4 wa...
Kubadilishana lugha ya Kichina na nyingine duniani kunakuza utandawazi na maendeleo
Na Ronald Mutie
Utandawazi unavyozidi kukua ndivyo mahitaji ya kujifunza yanaongezeka kutoka kwa nchi moja hadi nyingine.
Mojawapo ya vikwazo vya kujifunza hata hivyo imekuwa ni tofauti ya lugha na tamaduni...
Members natumain ni wazima.
Namtafuta mkulima wa ndizi kibiashara na mzoefu vya kutosha hasa shamba la umwagiliaji tuweze kubadilishana uzoefu na kuboresha mashamba na kipato kwa ujumla.
Mfano aina za migomba na changamoto na uzalishaji wake.
Masoko yaliopo na mahitaji...
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na...
Hivi kwa nini hizi taasisi zisibadilishane watumishi yaani watumishi wa nida waende tcra na wale wa tcra waende nida ili wajaribu kuona jinsi ilivyo kazi kuwapatia watz wote vitambulisho kabla ya tarehe 20
Mimi Mwalimu wa Shule ya Msingi Wilaya ya Momba Mkoa wa Songwe. Natafuta Mwalimu wa kubadilishana nae yeye aje Momba mimi niende Mkoa wa Lindi, Manispaaa,
kwa taarifa njoo PM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.